Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Ni kweli sio fedha zake ila zilikuwepo lakini badala ya kufanya mambo kama hayo wapo waliozitafuna tu na kutunyonya.mleta mada anaonekana hajafika hata kigali.. anyway hizo pesa hakutoa mfukoni kwake
You can imagine mtu analipwa bilioni 400 fedha za wavuja jasho watanzania na kulipwa milioni 400 Kila siku ila ndio hao wanaoachiwa.
Hii nchi Kuna watu wanaifaidi sana, Ila ipo siku Mungu atasikia kilio Cha wanyonge na kuwarejeshea Nchi yao.
Ipo siku na siku hiyo haipo mbali sana.