Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Wanamuogopa kuliko hata wanavyo iogopa covidWatoto wa marehem , mbowe aliwatombea wake zenu? Kila saa mbowe..masaa 24 mnamuwaza mbowe..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanamuogopa kuliko hata wanavyo iogopa covidWatoto wa marehem , mbowe aliwatombea wake zenu? Kila saa mbowe..masaa 24 mnamuwaza mbowe..
Nadhan huelewi stephen4440,Kwanza nianze kwa kukiri kwamba mimi ni sio mwanasiasa ila kwa kipindi fulani nilikuwa shabiki mkubwa wa chadema. Kiukweli miongoni mwa wale waliokuwa wakimponda sana na hata kutokuhuzunishwa na kwenda kwa mwendazake na mimi nilikuwemo. Ninakiri wazi kuwa nilifanya makosa makubwa sana na sikujua kuwa nilikuwa nakataa almasi kwa kukusanya kokoto.
Ni miezi miwili sasa mzigo wangu umekwama bandarini kwa madai kuwa taratibu za ushuru kutokukamilika hali ya kuwa risiti zote halali ninazo. Mbaya zaidi ni mzigo wa biashara hivyo kadri muda unavyoenda nazidi kupata hasara.Sikujua kuwa ukali wa kiongozi mkuu unaweza kusaidia watendaji wa chini wakatimiza majukumu yao kwa weledi na uharaka kwa kumjali mwananchi.
Pili hali ya umeme huku mtaani kwetu ni tete, Kila mara umeme unakatika,Na mita za luku system hazifanyi kazi mara kwa mara umeme haununuliki. Ninajiuliza mbona kipindi cha mwendazake haya mambo hayakuwepo? Ina maana utendaji wa hawa wafanyakazi unaangalia zaidi kiongozi mkuu aliyepo juu yao?
Kiukweli nimeshuhudia mambo mengi ya hovyo ndani ya muda huu mfupi, Tukiachilia mbali la kuahirishwa mechi ya Simba na Yanga bila kiongozi yoyote kuchukuliwa hatua, Madawa ya kulevya yameongezeka kwa kasi huku mitaani, wizi na ujambazi navyo vinashamiri ndani ya muda mfupi,Kwanini?
Kwakweli niseme tu kuwa ninajuta sana kumponda mwendazake popote alipo anisamehe na Mungu anisamehe.Na ninamuombea azidi kupumzika kwa amani.
Wewe ni kilaza kilicho oza maana hakina thamani.Nimesikiliza Clip moja ya Mbowe akiwa nyumbani alikozaliwa imenisikitisha sana kwa kweli mwanzoni nilikuwa najua ni siasa tu lkn kumbe nimeamini huo ni ukweli mtupu Mbowe amefirisika kisiasa adhibitiwe mapema ni hatari kwa Taifa
Ninapingana naye kwa 100% Kuwa Magufuli alichukia watu wa kaskazini kwa hoja kwamba
Magufuli ndani ya miaka 5 amefanikiwa kupeleka Reli ambayo ilikuwa imekwama kwa zaidi ya miaka 30 iliyopita huu ni upendo mkubwa Sana upendo wa Agape umewasaidia kwa kiwango kikubwa sana watu wa kaskazini lkn wewe Mbowe hao watu wa kaskazini umewasaidia nn kwa miaka yote hiyo yote uliyokuwa mwanasiasa zaidi ya kuwa mfanya fujo uliyepelekea hata mikoa hiyo kupoteza hadhi yake? Mbowe umekuwa mbunge wa Hai kwa miaka mingi vipi Hai imekuwa kama Ulaya? vipi umeajiri wananchi woote w Hai? Mbona unakuwa na siasa za kishenzi kipumbavu na kitapeli?
wewe Mbowe nakuuliza kuwa haujaona kiwanda Cha ngozi na viatu kilichozinduliwa na JPM mkoa wa Kilimanjaro? hivi hauoni kwamba ni maelfu ya wananchi watasaidiwa kwa kupata ajira? kwa nn weww huna shukrani? unataka nn? kwa nn una roho mbaya kiasi hiki?
wewe Mbowe nakuuliza haujaona Mradi wa Maji wa kiasi cha billioni 500 unaojengwa Arusha mbona nyie mlishindwa? mbona mliwatesa ndugu zenu kwa kufanya mambo yenu binafsi? wewe Mbowe mbn muongo sana unataka nn au umeishiwa hoja?
Hivi hapa Tanzania kuna sekta gani muhimu kama kuwa na Mkurugenzi wa TISS ambaye ni mtu wa kaskazini akina Agrey Mwanry wa wapi kweli? Masawe BOT wa wapi kwli? Lyimo, Masawe, Makundi, Reiza, Mfuru, watu wa wapi?
Hoja yako ni nn? mbona wewe baba una roho mbaya sana kiukweli wewe umewatumia ndg zako kwa masilahi yako binafsi unazani unafurahisha watu kumbe unaharibu haya saa endelea
.
wakati Kaskazini ikitoa mwaziri wakuu wengi kuliko kanda yoyote ss tuko kimya kuna Lowassa sumayi, Sokoine, Msuya sisi hatukuongea lolote wewe mbaba wewe una roho mbaya sana
Mawaziri wa Fedha akina mramba Daniel yona waliotamba enzi hizo ss hatukusema lolote
Mkurugenzi CRDB DR KIMEI amekaa 20years sisi hatukusema lolote. Wachaga wamejazana BOT,kwenye mabank sisi hatukusema lolote wachaga wamejazana kwenye mabandari sisi hatukusema lolote wewe mbowe wewe ni babu kuwa na heshima kabisa
Nani alipita bila kuhonga hata kule Ufipa?Huyo dogo ni mkemia last time alikuwa anafanya kazi arusha magu alimfanya bilionea na hakushinda kawaida alihonga balaa magu alikuwa anamuaminia gwajima kwa uchawi na ndo muasisi wa SUKUMA GANG ipo voice inasambaa kwenye magroup gwajima akipendekeza namna wasukuma waendeshe nchi ni mambo ya aibu
Pole kwa jaziba 🤕 na plain brain!.Leo siyo zamu yako ya kuilinda kaburi?
Kwani alijua kama atakufa mwaka huu? alijua atapiga mpaka 2035 Ndugai alikuwa amejiandaa kwenda kubadili katibaHayati Magufuli hakuwa na ukabila, udini wala ukanda bali alizingatia sifa za wateule na namna alivyowafahamu kiutendaji.
Pale Kawe aligombea ubunge mtoto wa dada yake Magufuli akawa namba 1 na Pascal Mayalla akawa wa 176 lakini hayati Magufuli hakumpendelea mpwa wake akapitishwa Gwajima.
Hata Joseph Magufuli watu wamemjua siku ya msiba ila Magufuli angekuwa na upendeleo Joe angeweza kuwa mbunge au na wadhifa wowote mkubwa kama akina Merinyo.
Niishie hapo.
Nawatakia Utatu Mtakatifu wenye baraka!
ndo madhara ya kuwapa wachawi nchi.Je, wajua kazi aifanyayo Joe Magu hadi umfananishe na kupewa ubunge?
Je, wajua kuwa Magu Sr alikuwa genius sana na comedian wa kiwango cha SGR hivyo asengeweza kumleta mwanae smart kwenye ubunge wala ukuu wa mkoa?
Rejea:
1. "Maendeleo hayana chama (vyama*)" lakini matendo yake yalionesha wazi kuwa aliwapendelea wanaccm na kutokupeleka maendeleo majimbo pinzani.
2. "Nchi hii imechezewa sana" huku akiichezea sana- 1.5trilioni ikaingia kibindoni mwake na jamaa zake.
3. Vyeti feki akawafyeka ila akamwacha Makonda akidai haangalii vyeti isipokuwa uchapa kazi
Na mengine mengi
Hayati Magufuli hakuwa na ukabila, udini wala ukanda bali alizingatia sifa za wateule na namna alivyowafahamu kiutendaji.
Pale Kawe aligombea ubunge mtoto wa dada yake Magufuli akawa namba 1 na Pascal Mayalla akawa wa 176 lakini hayati Magufuli hakumpendelea mpwa wake akapitishwa Gwajima.
Hata Joseph Magufuli watu wamemjua siku ya msiba ila Magufuli angekuwa na upendeleo Joe angeweza kuwa mbunge au na wadhifa wowote mkubwa kama akina Merinyo.
Niishie hapo.
Nawatakia Utatu Mtakat
Je, wajua kazi aifanyayo Joe Magu hadi umfananishe na kupewa ubunge?
Je, wajua kuwa Magu Sr alikuwa genius sana na comedian wa kiwango cha SGR hivyo asengeweza kumleta mwanae smart kwenye ubunge wala ukuu wa mkoa?
Rejea:
1. "Maendeleo hayana chama (vyama*)" lakini matendo yake yalionesha wazi kuwa aliwapendelea wanaccm na kutokupeleka maendeleo majimbo pinzani.
2. "Nchi hii imechezewa sana" huku akiichezea sana- 1.5trilioni ikaingia kibindoni mwake na jamaa zake.
3. Vyeti feki akawafyeka ila akamwacha Makonda akidai haangalii vyeti isipokuwa uchapa kazi
Na mengine mengi
Jambo la kushukuru MUNGU ni kwamba mpaka sasa hatupo nayeJe, wajua kazi aifanyayo Joe Magu hadi umfananishe na kupewa ubunge?
Je, wajua kuwa Magu Sr alikuwa genius sana na comedian wa kiwango cha SGR hivyo asengeweza kumleta mwanae smart kwenye ubunge wala ukuu wa mkoa?
Rejea:
1. "Maendeleo hayana chama (vyama*)" lakini matendo yake yalionesha wazi kuwa aliwapendelea wanaccm na kutokupeleka maendeleo majimbo pinzani.
2. "Nchi hii imechezewa sana" huku akiichezea sana- 1.5trilioni ikaingia kibindoni mwake na jamaa zake.
3. Vyeti feki akawafyeka ila akamwacha Makonda akidai haangalii vyeti isipokuwa uchapa kazi
Na mengine mengi
Alijua atawapa vyeo mwishoni mwishoniHuyo dogo ni mkemia last time alikuwa anafanya kazi arusha magu alimfanya bilionea na hakushinda kawaida alihonga balaa magu alikuwa anamuaminia gwajima kwa uchawi na ndo muasisi wa SUKUMA GANG ipo voice inasambaa kwenye magroup gwajima akipendekeza namna wasukuma waendeshe nchi ni mambo ya aibu
Mbona hayo ya magu yameshapita muachen mzee wa watu apumzike huko aliko.Hayati Magufuli hakuwa na ukabila, udini wala ukanda bali alizingatia sifa za wateule na namna alivyowafahamu kiutendaji.