Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mleta mada anaonekana hajafika hata kigali.. anyway hizo pesa hakutoa mfukoni kwake
Mkuu,kwahiyo ukitaka kufurahia Daraja la nchi yako unatakiwa kwanza ufike Kigali?

Jirani yako akimiliki Range rover kisha wewe ukaja ukanunua Vits hutakiwi kufurahia maendeleo yako kisa jirani yako yeye anamilili Range rover?
 
Ni bonge la mega structure.

Vyombo vinapishana tu.

Mzee alikuwa anaona mbali kwa sababu hii ni solution ya vizazi na vizazi.

Namshangaa mama anayatoa jela majizi.

JPM peponi!
hebu nenda tuition wewe mtoto acha kuchezea keyboard
 
Mwendakuzimu alikuwa mbinafsi sana, alituaminisha hatatokea rais mwngne wa kujenga reli na madaraja, lkn cha ajab hata kabla mzoga wake funza hawajaumaliza, maza Huyo tayari kaanza kujenga daraja kubwa la busisi na reli kutoka isaka to mwanza.
Ona haka kataahira!

Daraja la busisi anaanza kujenga maza?

Na hiyo reli unajua kama ni mwendelezo wa hii ya dar to moro?

Vijana piganeni muondokane na umasikini kwenye koo zenu kwanza haya mambo yapo juu ya uwezo wenu,
 
Ni bonge la mega structure.

Vyombo vinapishana tu.

Mzee alikuwa anaona mbali kwa sababu hii ni solution ya vizazi na vizazi.

Namshangaa mama anayatoa jela majizi.

JPM peponi!
Akili hizi ata punda ana afadhali
 
Ni bonge la mega structure.

Vyombo vinapishana tu.

Mzee alikuwa anaona mbali kwa sababu hii ni solution ya vizazi na vizazi.

Namshangaa mama anayatoa jela majizi.

JPM peponi!
Nenda nairobi ukashangae zaidi ,na nairobians wala hawana habari na Rais Uhuru
Haki yako halafu unataka kuwa mtumwa nayo.
 
Mipovu mingi point mavi
 
Ni bonge la mega structure.

Vyombo vinapishana tu.

Mzee alikuwa anaona mbali kwa sababu hii ni solution ya vizazi na vizazi.

Namshangaa mama anayatoa jela majizi.

JPM peponi!
Unatumia kilevi gani?
 
Ila isipotimiza wajibu wake unatakiwa kuishutumu?

Umeandika ujinga
Ndiyo... Haki yako ni kuishutumu...kuidai...kuilalamikia...kuipigia kelele serikali itimize wajibu wake kikamilifu!

Tatizo lenu mnajenga urafiki na watawala na vitengo vya serikali hadi mnakuwa hamnazo!
Mkipewa haki zenu mnahisi kama mmepewa vile msivyostahiki!!
Shame!!
 
TANZANIA ILIKUWA BADO INAMUHITAJI SANA MH.JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI.

TUTAMKUMBUKA MPAKA TUTAKAPO KUTANA NAE KWA MUNGU.

LEO NIMEMLILIA TENA UPYA.
Uzuri ni idadi ya wanaomkumbuka mtukufu Hamnazo inazidi kupungua kila sekunde!
 
Ingekuwa peponi wanaenda kwa kujenga madaraja na mimi ningejitutumua nijengepo hata moja
 
Daraja limeanza kujengwa huu ni mwaka wa pili na pia reli ya Mwanza Isaka ilisha aanza kujengwa toka mwaka jana
Kwa hiyo ukikamilika credits zinaenda kwa mwendakuzimu? Hebu tuwekee asilimia za utekelezaji mpaka sasa?
 
Ni bonge la mega structure. Vyombo vinapishana tu. Mzee alikuwa anaona mbali kwa sababu hii ni solution ya vizazi na vizazi. Namshangaa mama anayatoa jela majizi. JPM peponi!
Yaelekea hujavuka border kupitia anga, na pengine hata passport huna. Zipo zilizokata kona kulia, kushoto, na u-turn, zote za juu, chini ni kwa waenda kwa miguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…