nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Hivi fisadi Lowassa angeweza kweli kutumbua haya majibu ambayo Magufuli anayatumbua bila ya kugusa maafiki zake? Lowassa angeweza kumgusa Karamagi?
Ni wapi karamagi kaguswa? mwambie Aguse ticks au jamaa wa home shopping center aone motoHivi fisadi Lowassa angeweza kweli kutumbua haya majibu ambayo Magufuli anayatumbua bila ya kugusa maafiki zake? Lowassa angeweza kumgusa Karamagi?
usipende kujionesha kwamba eti nawewe unaelewa vitu kwa kutumia kigezo cha kupinga wafanyacho wenzako...tuambie umeifanyia nini hata familia yako tu.. ili ikiwezekana tukuige.
Hili muvi vijiwe vyote nchini linajadiliwa si wakubwa si wadogo limeshika mpaka kina mama likasambaa mpaka nje ya mipaka aiseee lipo kimataifa zaidi Mamovie km haya mwisho wake Sterling hugeuka Zombie subiri tuone
Eti wanamtenganisha Magufuli na CCM! Ni watu wasio na akili tu ndiyo wanaweza kufikiri hivi! Magufuli ni CCM na CCM ni Magufuli!
Wewe mwimba taarabu unafanya nini humu?Wamelalwa Doroooh hao! kwani wameshakiri kuwa MAGUFULI ni rais wao.....
usipende kujionesha kwamba eti nawewe unaelewa vitu kwa kutumia kigezo cha kupinga wafanyacho wenzako...tuambie umeifanyia nini hata familia yako tu.. ili ikiwezekana tukuige.