Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Kinana anawasi wasi sana.

1. Kama magufuli akichukua kiti cha ukuu wa ccm kinana aatapigwa chini na ndio mwisho wa kinga yake dhidi ya ujangili alio fanya.

2. Kinana anamwogopa sana magufuli kiasi cha kuto kuwa na uhakika wa maisha kutokana na mabaya aliyo kuwa anafanya.

3. Mambo yake yamelala
 
honestly rais wetu ni mzuri isipokuwa tu watanzania tumesahau kuwa no one is perfect under this world
 
Hizo ni porojo zako at least ungesema lowassa lkn sio magufuli Tena noo wanasema ngoma ya MTT haivumi. Sukari tu jasho ataweza kupambana na hao manguli akina kinana waliomuweka kwa nguvu zote weweeee

Kinana anawasi wasi sana.

1. Kama magufuli akichukua kiti cha ukuu wa ccm kinana aatapigwa chini na ndio mwisho wa kinga yake dhidi ya ujangili alio fanya.

2. Kinana anamwogopa sana magufuli kiasi cha kuto kuwa na uhakika wa maisha kutokana na mabaya aliyo kuwa anafanya.

3. Mambo yake yamelala
 
Sasa hivi huku duniani habari ya mujini ni Magufuli...sio mzee sio mwanamke sio kijana sio mwanaume...wanaimba jina la kamanda magufuli kuwa ni chuma cha pua.

Chuma cha moto. Usiguse utanasa. Kasi yake ya kupambana na maovu imemvutia kila mtu Duniani isipokuwa mafisadi pekee ndio wanasaga meno.

Nchi za Kenya Uganda, Ethiopia, Mali, Ghana zilishatangaza kuwaomba watanzania tuwaazime Magufuli awe rais wao kwa wiki moja....Sisi tumegoma hadi amalize kufyeka magugu kwanza. nawashauri wanaompinga watubu dhambi zao haraka
Tusubiri kwanza tuone mafanikio hapa kwetu
 
Kutokana na wingu la utendaji mbovu ktk nyadhifa andamizi serikalini {Wizara,Mashirika ya Umma,na Wakala wa Serikali} unaodhihirishwa na wimbi la utumbuaji wa majipu {tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka na ufisadi}.

Teuzi zinazofanywa na Mh JPM zimekuwa zikiakisi thamani kubwa ya wasomi wabobezi/waandamizi ktk kushiriki moja kwa moja kwenye kuchangia kwa karibu maendeleo ya taifa letu kisiasa,kiuchumi na kijamii.

Ilifikia wakati ufahamu pevu wa wasomi watanzania umekuwa ukitumika kwa faida mtambuka kwenye nchi mbalimbali..huku nchi yao ikiwa ktk lindi za umaskini na uhitaji wa misaada na utalaam ushauri ktk nyanja mtambuka.

Mungu ibariki Tanzania,Mungu Ibariki Afrika.
 
NANI ATAMFUNGA PAKA KENGELE??
Swali gumu sana kulijibu hasa kwa wabunge ambao ni wabunge maslahi, kodi yapaswa kukatwa kutoka kwenye mafao yao, walitaka kugomea suala ili la kukatwa kodi kwenye mafao yao lakini mh rais akaridhia mafao yake yakatwe kodi tuone ni mbenge gan ataleta FYOKOFYOKO ZAKE, huku Kenya thika wanawivu kuona rais wa Tanzania anafanya haya wakati marais wao hawajawahi fikiria jambo ili, wameenda mbali na kusema hiyo mutu ni genius sana , anafanya vile wengine hamuwez predict impact ya baadae, na vyenye malengo mazuri, fuatilia aina ya utendaji wake wa wa ubunifu mpaka wapinzani wamepotea kwenye headlines, sasa wamekuwa kama wanaomba kuhurumiwa na wananchi, UPINZANI WA KWELI UPO KENYA NA WANAJUA WANACHOTETEA , TANZANIA YAPO MAMBO MENGI YA KUTETEA KWA AJILI YA WANANCHI LAKIN WALICHOAMUA NI KUZIBA MDOMO ILI WASITETEE, kwakweli nashangaa vyenye Wapinzani wa TZ wanafanya,
 
Mbona hujawapelekea hao wakenya wako ili akawatumbue? Huku bongo majipu yameisha imebaki kukatwa viungo.
Kuhusu upinzani inategemea na perception yako na mood yako ilivyokaa wakati huo. Siyo kwamba hawawajibiki kama hao waluo wako huko kenya la. Kinachofanyika ni vyombo vyote vya ulinzi na usalama kudili na ukawa as if ni kundi la hatari kwa usalama wa nchi.
Teuzi za majaji hapa bongo hazieleweki vigezo vyake na majaji wa hapa ni wa serikali iliyopo madarakani kiasi kwamba hukumu zao hulinda serikali tofauti na wa huko kenya wenye kuisimamia sheria kwa haki.
Mkiacha uwanja sawa na fursa linganifu kwenye uwanja wa siasa kenya usingewalinganisha na bongo.
NANI ATAMFUNGA PAKA KENGELE??
Swali gumu sana kulijibu hasa kwa wabunge ambao ni wabunge maslahi, kodi yapaswa kukatwa kutoka kwenye mafao yao, walitaka kugomea suala ili la kukatwa kodi kwenye mafao yao lakini mh rais akaridhia mafao yake yakatwe kodi tuone ni mbenge gan ataleta FYOKOFYOKO ZAKE, huku Kenya thika wanawivu kuona rais wa Tanzania anafanya haya wakati marais wao hawajawahi fikiria jambo ili, wameenda mbali na kusema hiyo mutu ni genius sana , anafanya vile wengine hamuwez predict impact ya baadae, na vyenye malengo mazuri, fuatilia aina ya utendaji wake wa wa ubunifu mpaka wapinzani wamepotea kwenye headlines, sasa wamekuwa kama wanaomba kuhurumiwa na wananchi, UPINZANI WA KWELI UPO KENYA NA WANAJUA WANACHOTETEA , TANZANIA YAPO MAMBO MENGI YA KUTETEA KWA AJILI YA WANANCHI LAKIN WALICHOAMUA NI KUZIBA MDOMO ILI WASITETEE, kwakweli nashangaa vyenye Wapinzani wa TZ wanafanya,
 
Aman izidishwe kwenu wana wa jf.

Sii viongozi wa ukawa,sii viongozi wa vyama vinavyounda ukawa,sii wanachama/mashabiki na hata wadau wote wamepoteana na hayupo anayeongoza chombo sasa...

Kama ni ndege nawezakusema haina rubani na kama yupo ndani ya ndege basi kalala fofofo.

Wenye mitizamo mipana wataniunga mkono ila wenye mitizamo mifinyu watanikosoa na kunizodoa kama walivyozoea.

Hivi uko wapi ule utashi mliojaliwa katika kipindi cha nyuma?au kweli jina tu la mh.rais wetu(Pombe)limewalewesha tu kwa hisia?

Au basi inawezekana spidi za mh.rais yamkini zimewachanganya?La hasha msichanganyikiwe na kasi hii...ni kweli hamkuzoea...lakini kwa huyu ndugu yetu,kazi ni jadi yake maana hatujamjua leo.Historically ni mtekelezaji cku zote,wasiomjua ni wanaozaliwa sasa.

Kwa nn nasema haya...?
Mambo yote maovu anayokabiliana nayo mh.rais mf.kutumbua majipu,suala la watumishi hewa,wanafunzi hewa na mengine mengi wao sasa wanayakumbati na kuyatetea kwa gharama yyt kinyume na hapo awali walivyokabiliana nayo.

Wamegeuka kuwa mawakala wa waovu/maovu yote na kukusudia kumkwamisha rais kuyakabili,hali inayonifanya niwaite walevi.

Mbaya zaidi wamekosa uwakilishi hata kwenye jambo mhm(budget)ya serikali ambayo ndio dira ya maendeleo kwa wananchi wote bila kujali vyama.

Kwa makosa ya kujitengenezea wenyewe,viongozi wao mhm kabisa wamefukuzwa bungeni kwa kipindi kirefu,lakin pia waliobaki kwa kukosa busara wamejenga mazoea ya kususia vikao kila cku mpaka bajeti inapita.

Kwa nini nisiwaite walevi?

Kama sii hivyo basi wote mniunge mkono kwamba kumbe kelele za watu hawa cku zoote za maisha yao ya kisiasa ni kuikwamisha sirikali kwa mazuri inayoyafanya ili wajitwalie sifa kwa mashabiki wao wajinga ambao pia nimeanza kwa kuwaita walevi.

Hawapaswi kuwa mfano wa kuigwa hata kidogo,dhahiri wanafikiri kwa kutumia matumbo na sii akili,tuwaache waendelee na ulevi wao mpaka miaka mitano watakapokutana na hukumu zetu kwenye vichinjio.

USHAURI WA BURE KWAO; Pombe habadiliki, labda wao wabadilike kwa kuacha kulewa hata nyakati za kazi.Wenye mapenzi mema na nchi tutamsapoti rais wetu kwa gharama yoyote ili atufikishe tunakokusudia, maana anayoyafanya ni kwa niaba ya watanzania wa vyama vyote wazalendo na sii kwa niaba ya wasakatonge wachache wenye nia mbaya na hili taifa.

Woooooooote tuseme...Viva magufuli!
 
Aman izidishwe kwenu wana wa jf.

Sii viongozi wa ukawa,sii viongozi wa vyama vinavyounda ukawa,sii wanachama/mashabiki na hata wadau wote wamepoteana na hayupo anayeongoza chombo sasa...

Kama ni ndege nawezakusema haina rubani na kama yupo ndani ya ndege basi kalala fofofo.

Wenye mitizamo mipana wataniunga mkono ila wenye mitizamo mifinyu watanikosoa na kunizodoa kama walivyozoea.

Hivi uko wapi ule utashi mliojaliwa katika kipindi cha nyuma?au kweli jina tu la mh.rais wetu(Pombe)limewalewesha tu kwa hisia?

Au basi inawezekana spidi za mh.rais yamkini zimewachanganya?La hasha msichanganyikiwe na kasi hii...ni kweli hamkuzoea...lakini kwa huyu ndugu yetu,kazi ni jadi yake maana hatujamjua leo.Historically ni mtekelezaji cku zote,wasiomjua ni wanaozaliwa sasa.

Kwa nn nasema haya...?
Mambo yote maovu anayokabiliana nayo mh.rais mf.kutumbua majipu,suala la watumishi hewa,wanafunzi hewa(******)na mengine mengi wao sasa wanayakumbati na kuyatetea kwa gharama yyt kinyume na hapo awali walivyokabiliana nayo.

Wamegeuka kuwa mawakala wa waovu/maovu yote na kukusudia kumkwamisha rais kuyakabili,hali inayonifanya niwaite walevi.

Mbaya zaidi wamekosa uwakilishi hata kwenye jambo mhm(budget)ya serikali ambayo ndio dira ya maendeleo kwa wananchi wote bila kujali vyama.

Kwa makosa ya kujitengenezea wenyewe,viongozi wao mhm kabisa wamefukuzwa bungeni kwa kipindi kirefu,lakin pia waliobaki kwa kukosa busara wamejenga mazoea ya kususia vikao kila cku mpaka bajeti inapita.

Kwa nini nisiwaite walevi?

Kama sii hivyo basi wote mniunge mkono kwamba kumbe kelele za watu hawa cku zoote za maisha yao ya kisiasa ni kuikwamisha sirikali kwa mazuri inayoyafanya ili wajitwalie sifa kwa mashabiki wao wajinga ambao pia nimeanza kwa kuwaita walevi.

Hawapaswi kuwa mfano wa kuigwa hata kidogo,dhahiri wanafikiri kwa kutumia matumbo na sii akili,tuwaache waendelee na ulevi wao mpaka miaka mitano watakapokutana na hukumu zetu kwenye vichinjio.

USHAURI WA BURE KWAO;Pombe habadiliki,labda wao wabadilike kwa kuacha kulewa hata nyakati za kazi.Wenye mapenzi mema na nchi tutamsapoti rais wetu kwa gharama yyt ili atufikishe tunakokusudia,maana anayoyafanya ni kwa niaba ya watanzania wa vyama vyote wazalendo na sii kwa niaba ya wasakatonge wachache wenye nia mbaya na hili taifa.

Woooooooote tuseme...Viva magufuli!
Uzi wako umedoda
 
Back
Top Bottom