wise-comedian
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 3,293
- 3,945
Mkuu hii comment nzito sana.kula like!Umenene vema kwani watu wasio kuwa na maono sio rahisi kuona mbali. Wangekuwa wanauwezo wa kuona mbali wasingemuita Lowassa fisadi kwani wanajuta sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hii comment nzito sana.kula like!Umenene vema kwani watu wasio kuwa na maono sio rahisi kuona mbali. Wangekuwa wanauwezo wa kuona mbali wasingemuita Lowassa fisadi kwani wanajuta sasa.
Tueleze yapi aliyokosolewa JMP hakayataa. Nakama kuna makosa kuna utaratibu wa kufuatilia ili mambo yarekebishwe.Mwaka 1971 General Idd Amin Dada alipompindua Milton Obote alipokelewa kwa shangwe mno na mategemeo makubwa kuwa atairekebisha Uganda. Baada ya muda aliwapa siku 90 waasia wote kuondoka na mali zao kuzitaifisha. Hapo ndio wananchi walipoongeza nyimbo na mapambio kwa Amin na kusema kweli huyu ameshushwa kwa ajili ya taifa lao.
Jambo ambalo linafanana na hapa kwetu kwa sasa ni kuwa Amin hakupenda kukosolewa na mwanzoni alianza kuwashughulikia wanaomkosoa softly, baadae kuwafunga na mwishoni kuwaua. Alipenda asifiwe yeye tuu mpaka akajipa mavyeo ya kijeshi na kifalme na endapo alitokea mwingine anayesifiwa zaidi yake alimpoteza.
Baya zaidi alikosa vision na mission za uchumi hivyo taifa likaanza kudorora kwa kasi na ndipo anguko lake lilipo shika kasi.
Aliweza kukaa madarakani miaka minane sio tena kwa ridhaa ya watu wake waliomshangilia na kumsifu awali bali nguvu za kijeshi.
Kuna kitu twaweza kujifunza hapo, anayekubali kukosolewa ana nafasi ya kufanya vizuri lakini akataaye na kuabudu sifa hana nafasi ya kufanikiwa kwani atakwama
Mbona utaratibu huo hautumiki kwenye kuhamisha matumizi ya fedha za umma? Mbona utaratibu huo hautumiki kwenye kuwashughulikia kina Lugumi, Nyumba za umma, Meli Chakavu, Escrow, Richmond Dowans,Kiwira, rada n.k.Tueleze yapi aliyokosolewa JMP hakayataa. Nakama kuna makosa kuna utaratibu wa kufuatilia ili mambo yarekebishwe.
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.
Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!
Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!
Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.
Wewe naina interest yako ni wadada tu mkuu ha ha haKipindi cha nyuma mtaani tulikuwa sisi wenye kipato cha kawaida au wastan tulikuwa hatuna thamani kwa wadada mtaani. Akina dada walikuwa wanahongwa magari na kupangishiwa nyumba na mafisadi.
Sisi ambao tulikuwa hatuhongi walianza kutukosea heshima.wakawa hata salamu hawatoi. Ukienda kuoa mahari ilikuwa inafika hadi mil 5 kwa familia ya kawaida. Na bado hujatajiwa mambo mambo mengi ambayo nayo yalikuwa yanafika hata mil 5 nayo.
Sasa tunashukuru hata ukienda kuoa unaweza kupewa na mdogo mtu. Yaani waoaji wamekuwa wachache sana. Kuna familia ukienda kuoa wanakutajia mahari ndogo tu na pia wanakwambia kama utapenda kukaa na mdogo wa kike wa mke wako naye mchukue. Unapewa na nyongeza.
Wadada wengi sasa wamerudi mtaani kuishi nasi tena. Tena kwa sasa wanasamilia mara tatu tatu na kama hujasikia anakufata kabisa kukugusa kuwa uncle nakusalimia wewe. Zaman walikuwa wanajifungia tu kwenye tu gari twao.
Sasa nasi tunaanza kuheshimiwa, haya yote ni mabadiliko ya Dr Magufuli. Kwa sasa nguo ambazo ilikuwa ukipita posta suruali ya mtumba wanakwambia 50,000 sasa wanatupigia simu wenyewe kuwa suruali moja tsh 15,000 na mazungumzo yapo au unaweza lipa kwa installment.
Heshima imerud kwa kweli. Ukimpa mtu tsh 20,000 anashukuru mara tatu tatu, wakati zamani ilikuwa ukimpa hii oesa anaichukua tu na kuweka mfukoni kana kwamba umempa karatasi.
Hutaki kulipa kodi ila unataka maendeleo? hii ni hesabu ya wapi hii ya kula bila kutokwa jasho?
Nia njema kwa sukar kg, 5000?Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.
Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!
Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!
Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.
Sithani kama rais amevunja sheria yoyote kuhamisha matumizi mfano mahakama waliagiziwa kupewa hela lakini hawakupewa kama inavyotakiwa alichofanya rais ni kuagiza zipelekwe, jinsi alivyosema ilionekana kama ameamisha lakini ukiangalia kwenye vifungu vya sheria hajavunja sheria. Masuala mengine kuna taasisi zinashughulia hivyo vitu. Mambo ya nyumba muulize mkapa kwani yalifanywa wakati ule na alitekeleza kama boss wake alivyomwagiza.Mbona utaratibu huo hautumiki kwenye kuhamisha matumizi ya fedha za umma? Mbona utaratibu huo hautumiki kwenye kuwashughulikia kina Lugumi, Nyumba za umma, Meli Chakavu, Escrow, Richmond Dowans,Kiwira, rada n.k.
Chama Cha Majipu (CCM) kimekosa pumzi.
weka akiba ya manenoKifuu cha uchawi Wa bibi yako!
[emoji134] Ila Hapo Kwny Rushwa Umewaona Polisi Tu[emoji3] [emoji3]Ni kweli kabisa. Tuko nyuma kwa sababu ya kuleana. Hatuna nidhamu ya kazi wala nidhamu ya maisha. Tunaishi kwa kubabaisha tu. Tumekuwa wachuuzi wa bidhaa za nje ikiwemo mitumba. Hatufanyi uzalishaji wa bidhaa. Polisi barabarani wanakula rushwa kama sala yao. Nenda pale kibaha maili moja uone namna polisi wenye vitambi wanavyokimbilia mabasi ya abiria kutoka mikoani yanavyoingia stendi. Konda wanaweka rushwa kwenye ratiba za mabasi na polisi wanachukua 'posho' hizo haramu. Watu hawafanyi kazi ofisini ......eti wanakweda kunywa chai........... cai Ukiigia .....gia nyi gB
[emoji134] Ila Hapo Kwny Rushwa Umewaona Polisi Tu[emoji3] [emoji3]
Sawa Bana Lakn Futa Kauli Yako Maana Unavunja Kanuni Za Bunge[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ukiweka orodha ya sekta za rushwa humu ni nyingi, huo ulikuwa mfano tu...
Sawa Bana Lakn Futa Kauli Yako Maana Unavunja Kanuni Za Bunge[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sasa Hapa Nitamuita Sajent At Army Akutoe Nje Maana Unakiuka Kanuni Ya 64-1 Kuongea Bila Kituo.Mmmmmmmmmhhhhh kauli gani tena nifute, nimekiuka kanuni gani ya bunge, comrade uniambie mapema kwani hii sheria ya mtandao ni hatari....