Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Hakuna binadamu alie kamili kwa kila jambo
Magufuli kuna mambo anakosea, atakosea na kuna mengine amesha kosea. Wote tukiwa tuna msifu kwa kila kitu huo unaitwa "unafki" .

Sifia panapo stahili na kosoa panapo stahili . Wa TZ Si wajinga kukubali kila kitu .
 
Nakuunga mkono mleta mada TumainiEl,

Umeibua hoja nzito sana na atakayekupinga mchawi tu

Ni lazima tupate maendeleo makubwa sana katika kipindi chake hiki ndio maana

1)Yeye Mwenyewe ameanzisha mchakato wa kubadili vifungu vya katiba au katiba yote na kuweka ya Warioba ili alipe kodi na Mshahara wa Rais ulunguzwe na atengeneze Mfano kwa wengine

2)Bajeti hii inajali watu wa hali ya chini maana Viwanda vitajengwa sana na kutoa ajira na mabinti wa kitanzania hawataenda kuuzwa nje

3)Hakuna kodi nyingi na bajeti haitegemei walevi kama Kitwanga bali kuna vyanzo vipya vya mapato

4)Rais ni Mwanadiplomasia wa Kutisha .Hakuna kama yeye hata Uenyekiti wake wa EAC aendelee nao miaka Mitatu.Tutafika mbali

5)Sukari sijui Lugumi au wanafunzi wa UDOM ni mambo ya kutupilia mbali.Kwanza wanamhusisha Jesca mtoto wa watu kwa mambo yao ya kijijinga tu
 
Nakuunga mkono mleta mada TumainiEl,

Umeibua hoja nzito sana na atakayekupinga mchawi tu

Ni lazima tupate maendeleo makubwa sana katika kipindi chake hiki ndio maana

1)Yeye Mwenyewe ameanzisha mchakato wa kubadili vifungu vya katiba au katiba yote na kuweka ya Warioba ili alipe kodi na Mshahara wa Rais upunguzwe na atengeneze Mfano kwa wengine

2)Bajeti hii inajali watu wa hali ya chini maana Viwanda vitajengwa sana na kutoa ajira na mabinti wa kitanzania hawataenda kuuzwa nje

3)Hakuna kodi nyingi na bajeti haitegemei walevi kama Kitwanga bali kuna vyanzo vipya vya mapato

4)Rais ni Mwanadiplomasia wa Kutisha .Hakuna kama yeye hata Uenyekiti wake wa EAC aendelee nao miaka Mitatu.Tutafika mbali

5)Sukari sijui Lugumi au wanafunzi wa UDOM ni mambo ya kutupilia mbali.Kwanza wanamhusisha Jesika (Nikiandika ile nyingine itawekewa *** maana ni tusi sasa huku) mtoto wa watu kwa mambo yao ya kijijinga tu
 
Hakuna binadamu alie kamili kwa kila jambo
Magufuli kuna mambo anakosea, atakosea na kuna mengine amesha kosea. Wote tukiwa tuna msifu kwa kila kitu huo unaitwa "unafki" .

Sifia panapo stahili na kosoa panapo stahili . Wa TZ Si wajinga kukubali kila kitu .
Hebu twambie amepatia wapi na amekosea wapi?
 
Nakuunga mkono mleta mada TumainiEl,

Umeibua hoja nzito sana na atakayekupinga mchawi tu

Ni lazima tupate maendeleo makubwa sana katika kipindi chake hiki ndio maana

1)Yeye Mwenyewe ameanzisha mchakato wa kubadili vifungu vya katiba au katiba yote na kuweka ya Warioba ili alipe kodi na Mshahara wa Rais ulunguzwe na atengeneze Mfano kwa wengine

2)Bajeti hii inajali watu wa hali ya chini maana Viwanda vitajengwa sana na kutoa ajira na mabinti wa kitanzania hawataenda kuuzwa nje

3)Hakuna kodi nyingi na bajeti haitegemei walevi kama Kitwanga bali kuna vyanzo vipya vya mapato

4)Rais ni Mwanadiplomasia wa Kutisha .Hakuna kama yeye hata Uenyekiti wake wa EAC aendelee nao miaka Mitatu.Tutafika mbali

5)Sukari sijui Lugumi au wanafunzi wa UDOM ni mambo ya kutupilia mbali.Kwanza wanamhusisha ***** mtoto wa watu kwa mambo yao ya kijijinga tu
Naona mkurugenzi wa utafiti siku hizi 24/7 JF unafanya utafiti.
 
ukweli ndio huo japo kwa upinzani ni vigumu kuumeza unakuta mtu anataka serikali impe ajira imepelekee huduma za kijamii kama vile hospital elimu na nk ila linapokuja swala la kulipa kodi anakuwa mbogo !!! ivi magufuli ana kisima cha hela ??? tujifunze kuwa wazalendo tulipe kodi tuache kupenda cheap politics za wapotoshaji
 
Ngoja nijaribu" Jesca Kishoa amsaidia aliyefungwa kwa makosa ya mtandao" Where we dare to talk openly..
 
Huu unabii wa kuwaongezea masikini mzigo wa kodi?, pombe inaingiza Pesa nyingi kuliko dhahabu au gesi halafu unasema kaja kuwakomboa wanyonge
Hutaki kulipa kodi ila unataka maendeleo? hii ni hesabu ya wapi hii ya kula bila kutokwa jasho?
 
Basi mwambie maghufuli aache kutudanganya kuwa nchi hii Ni tajiri Kuna madini, gesi, misitu na bahari wakati vitu hivyo havileti faida inayotakiwa watuambie tu kuwa tz Kuna raia matajiri na wafanyabiashara tu ambao wanatakiwa kukamuliwa kodi tu
 
Mkuu hatuachi kulipa kodi kwasababu nchi ni tajiri na wala hatulipi kodi kwasababu nchi ni maskini. Ni vyema ukajiridhisha kwa uelewa kidogo kuhusu haya mambo naamini utaelewa tu.
 
Nabii asiye na hekima......

Nabii wa uwongo........

Hayo yote yalishatabiriwa na sasa yanatimia
 
Nakuunga mkono mleta mada TumainiEl,

Umeibua hoja nzito sana na atakayekupinga mchawi tu

Ni lazima tupate maendeleo makubwa sana katika kipindi chake hiki ndio maana

1)Yeye Mwenyewe ameanzisha mchakato wa kubadili vifungu vya katiba au katiba yote na kuweka ya Warioba ili alipe kodi na Mshahara wa Rais upunguzwe na atengeneze Mfano kwa wengine

2)Bajeti hii inajali watu wa hali ya chini maana Viwanda vitajengwa sana na kutoa ajira na mabinti wa kitanzania hawataenda kuuzwa nje

3)Hakuna kodi nyingi na bajeti haitegemei walevi kama Kitwanga bali kuna vyanzo vipya vya mapato

4)Rais ni Mwanadiplomasia wa Kutisha .Hakuna kama yeye hata Uenyekiti wake wa EAC aendelee nao miaka Mitatu.Tutafika mbali

5)Sukari sijui Lugumi au wanafunzi wa UDOM ni mambo ya kutupilia mbali.Kwanza wanamhusisha Jesika (Nikiandika ile nyingine itawekewa *** maana ni tusi sasa huku) mtoto wa watu kwa mambo yao ya kijijinga tu

Naona MBOWE kakuajiri rasmi kudili na hoja yoyote inayomsifia jpm hatakama hoja yenyewe ni ya msingi lazima utie tu neno ili DJ atakapo log in aone mataptap yako hongera
 
Asomaye na afaham. Ndugu wa Tz upo msemo unasema nabii huwa hapati heshima kwao ila nje ya kwao anapata heshima kubwa sana. Kama taifa Mungu ktk nyakati hizi ametupa nafasi kiongozi shupavu na mwenye nia ya dhati kuliondoa taifa hili ktk umasikini na kusema ukweli atafanikiwa.
Nilazima wa Tanzania tujuwe Mh Magufuli alipata uteuzi wa chama cha mapinduz kwa ajili yakuleta mabadiliko na sio porojo. Hii ni bahati yakipekee sana baada yamiaka takriban hamsin Tz tumepata Kiongoz wa aina yake.
Hili taifa lilishafika mahali kukawepo na kundi la sisi na wale. Watu ambao walikuwa hawatoki jasho kukuza utajiri wao ila wanakula na kunywa na pesa zinaingia mifukoni mwao. Wakati wachache wakila na kunywa mpaka kusaza. Mamilion walikuwa hawana chakula. Huyu Rais ameamua kuacha yote nakuhakikisha wote tunapata na ili kuhakikisha azima hiyo inatimia yapo machungu tutayapata ili kufikia nchi ya maziwa na Asali. Haya tunayaona sasa nilazima yatokee ila mh Rais uwenda akawa Rais watofauti kabisa ktk taifa hili akibadilisha kila sector ya uchumi nakuleta mabadiliko makubwa ya kiuchumi ktk kila nyanja. Wakati makundi ya watu wachache yana mng'ong'a lipo kundi kubwa litamsifia nakumvika nishani kwakuleta mabadiliko makubwa ktk taifa. Niswala la muda haya yote yatakuwa dhahiri mbele yetu sote. Na asomae afaham.
Unajua maana ya unabii? Hopeless kabisa
 
Unabii sawa, lakini maajabu ya Afrika ni kuwa hata kama viongozi wake wakuu wawe ni PhD holders, demokrasia kwao ni ndoto, maana uwezo wao wa kujenga hoja ni shaka tupu. Unawezaje kuleta maendeleo kwa kukandamiza watu wasiokusifu! Wawezaje kuleta mafanikio kwa kukanyaga miguuni intitutions za kidemokrasia! Unawezaje kufanikiwa ikiwa unawaona wananchi wako katika makundi ya wanaostahili mabomu na wanaostahili kuvikwa vilemba!
 
Back
Top Bottom