Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

viva ukawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Huu mtindo wa kubarn thread ya mtu alafu inaungwa kwa mwingine c mzur...itambulike basi kama jukwaa hili ni la watu wa vyama flan kuliko kinachofanyika na admn plz.
 
UKAWA hawana uwezo wa kumbeza Magufuli.Magufuli ana akili mno na ni msiri UKAWA hawamuwezi.Nakumbuka aliposhika tu madaraka akasema elimu bure inaanza UKAWA wakakurupuka mbio kwenye vyombo vya habari wao na wasomi wao koko waliokariri vitabu wakasema hilo haliwezekani sababu bajeti iliyopitishwa haina elimu bure popote hela hakuna anazuga tu!!!!! Wakaoingeaa weee Magufuli anawatazama tu wanavyochonga sana na kuongea kwenye TV live na wapiga makofi koko wakiwapigia!!! Magufuli yuko kimya tu.

Ghafla akaibuka mbio akafuta sherehe na safari za nje pesa hiyo ikapatikana Elimu bure ikaanza.Wakaufyata

Niwasihi UKAWA awamu hii serikali imeshikwa na watu wenye akili nyingi mno na wasiri ambao hamjui wakisema hivi watatokea wapi.Mtajikuta mnaadhirika mkijifanya kuibuka tu kama walevi na kupinga pinga tu.Mtaonekana ZI COMMEDY kwa wananchi.Sasa hivi tu wananchi wameshaanza kuwaona ZI COMEDY.mAMBO MNAYODAI NA KUSUSIA NI ORIGINAL ZI COMEDY.

Hii serikali ya hapa kazi tu kuibeza unatakiwa uwe na akili za kupindukia na sio za kushikiwa
 



UKAWA WANAENDA KWA MATUKIO, SASA KAMA HAMNA MATUKIO HAWANA HOJA, WANATAKIWA WABADILIKE KIFIKRA, TIME WILL TELL
 
Inashangaza sana leo watanzania tumekuwa vigeugeu cjui kwann ? Sisi si ndyo tulikuwa tunasema Kikwete mpore,anacheka na watu hajui kukalipia watendaji !!au siyo sisi ? Leo hii tunataka tena rais mpole ? Kweli binadamu hawana fadhira !!
 
Inashangaza sana leo watanzania tumekuwa vigeugeu cjui kwann ? Sisi si ndyo tulikuwa tunasema Kikwete mpore,anacheka na watu hajui kukalipia watendaji !!au siyo sisi ? Leo hii tunataka tena rais mpole ? Kweli binadamu hawana fadhira !!
*Hata ukitembea majini wapinzani watasema hujui kuogelea..* nukuu
 
Inashangaza sana leo watanzania tumekuwa vigeugeu cjui kwann ? Sisi si ndyo tulikuwa tunasema Kikwete mpore,anacheka na watu hajui kukalipia watendaji !!au siyo sisi ? Leo hii tunataka tena rais mpole ? Kweli binadamu hawana fadhira !!
Kukalipia=Kukaripia
Fadhira=Fadhila
 
hara Egypit imepata heshimasababu ya Falao Filauni ndio aliijenga Misiri na kua na Maajabu ya Dunia alikua hana mchezo na kujuana Kazi Kazi tu ukizuba unagewa Tofari la Pramid wa Ezarariel na wa Misiri wenyewe wafanya kazi Hapa Kazi tu..
 
Wakati raisi Magufuli ameanza kazi yake ya Uraisi kuna Gazeti la AK liliandika kwamba ,,he is so un- African..." au kwa kikwetu ni Mwafrika lkn hana tabia za Kiafrika, hili swala nilikuwa sijalielewa sasa nimelifikiria sana na sasa nimeanza kuelewa kwa nini lile Gazeti la AK liliandika vile, kwa kweli kwa tabia anazoonyesha Raisi Magufuli pia unaweza kusema siyo MtanZania angalau MtanZania wa kawaida ninayemjua mimi, chukulia mfano tu swala la kwenda Ulaya na kuponda raha, ni Mtanzania gani au niseme ni Watz wangapi uwajuwao leo hii ambao utawaambia fedha hii hapa chukuwa ndege first class uende Ulaya au USA ukae Hoteli ya nyota saba, ufanye shopping ya masuti ya nguvu, ule vyakula na vinywaji kama akina Bill Gates halafu akatae?

Jiulize hilo swali, fikiria kidogo tu halafu labda na wewe utaelewa na wewe kwa nini, lile Gazeti la AK lilimuita ,,he is so un-African"!
 
Dah mada zingine hata kuzisoma unahitaji u twist akili yako kwa muda iendane na viongozi na wanachama wa chama cha mwendokasi (ccm)
 
Yule raisi wenu wa ukawa je?tumchambue tujaze seva.
 

nyie makada muacheni mstaafu apumzike, zuga yote uliyoandika hapa ni kumsema tu mzee wetu mstaafu. muacheni apumzike
 
Imeibuka tabia ya watanzania kulalamika sana. Wengine hawakuwa na hela tangu mwanzo...hawataki kuhangaika. Imekuwa magufuli katubana. Tuacheni kusingizia magufuli jamani. Wengine hatukuwa na hela tu tangu mwanzo....tuacheni RAIS afanye kazi yake.....

We kama unafanya kazi zako kwa haki hela utapata tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…