Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania


Kwa hili mkuu halina kukata tamaa....wala silipwi na mtu wala spotoshi mtu.....nakupa tu mwongozo
 

Uthibitisho wa hilo ni kwamba hawana hoja waganga njaa hawa ni pale walipoziba midomo yao kwa plasta kukubali kwamba hawana la kusema mbele ya OPERATION COMMANDER DR. JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI MZEE WA VITENDO VINGI MANENO KIDOGO LONG LIVE OUR BELOVED PRESIDENT.
 
Shikamoo Rais wa watu. Kazi yako ina baraka za Mungu. Kila kukicha hatua bilioni naa mbele. Hakuna sababu ya taifa hili kuendelea kuitwa maskini. Sasa inaenda kufika siku Tanzania kuwa ni "African tiger"....kwa kipindi kifupi Uchumi wa Tanzania utaingia katika historia ya Dunia...haya Manyumbu karibuni kwa matusi
 
Kuitwa AFRICAN TIGER cyo tija kama wananchi hawapati huduma za msingi kama maji safi na salama, dawa za kutosha, na maisha ya uchumi wa kati kwa watanzania..
 
Acha kukejeli maskani wewe kijana usitumie tumbo kuwaza.
 
We lala tu ukiamka ndio utajua ulichoandika hapa ni ujuha na umuombe mod afute!!!!
 
Magufuli anapaa Tanzania kuagiza Wataalam wa IT toka kwa kaka yake anaitwa Kagame.
 
Uchumi wa Tanzania umekuwa ukipaa kwa 5% au zaidi toka 1995 awamu ya Mkapa na kuendelea kupaa hadi mwisho wa awamu ya Kikwete, lakini cha kustaajabisha bado kuna umaskini wa kutisha nchini, ajira hakuna, nyingi ya shule nchini ziko katika hali ya kusikitisha, usafiri wetu wa kila aina bado ni duni sana. Barabara zetu nyingi ni below international standards na zinatisha nyingi wakati wa masika hazipitiki, mishahara bado ni ya chini mno. Kumbuka na hizi namba zinazotumiwa ni kutoka BoT hivyo accuracy yake ni very questionable.

Sasa sijui huo uchumi wa nchi unaokuwa kwa miaka 20 sasa kati ya 5% or more inakuwaje hauleti maendeleo ya kweli nchini.

 
Anaweza kabisa Magufuli kubadilisha hali ya Tanzania kwa kipindi kifupi. Angalia Rwanda: uchumi wake ulikuwa wa vita na duni sana lakini Kagame ameugeuza kwa kipindi kifupi, na sasa kila kiongozi anawaheshimu.


Wote mnakubali kwamba Tanzania ina Potential kubwa. Kinachotakiwa ni kiongozi anayethibiti ufisadi na ambaye ni mtendaji zaidi badala ya kuwa Mswahili wa maneno mengi. JPM is that man.


Kuwa African tiger maana yake ni nini? Mnapotosha ukweli. Kuwa a tiger economy (African or otherwise) ni kuwa na uchumi unaokua kwa kasi. Haina maana ya kuwa nchi iliyoendelea. Sasa kama uchumi wa Tanzania unakuwa kwa kasi iweje msikubali ni African tiger?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…