Jamani hii ni ya kipekee kwa magufuli kukataa watu wasile fedha kiasi cha zaidi ya sh. milioni 200 kwa kununua soda maji pombe ili walewe hadi kuwa faraja kwa wagonjwa wa muhimbili, haijawahi tokea tangu Nyerere, tumeshuhudia marais watatu hapa katikati wakitumbua fedha kama Ubani Msibani, wajifunze namna anavyotakiwa awe mtu anayeipenda nchi yake,
hata hapo walipo wana miradi mingi walioanzisha wakiwa Maraisi tuna omba wairudishe isaidie elimu bure. tujifunze kwa Kagame alivyobadili nchi yake iliyokuwa maskini kwa ajili ya vita leo inatuzidi, Magufuli mungu Akubariki sana, kweli hatukufikiri wala kujua kama Nchi hii inafedha nyingi kiasi hicho. Jamani marais mliostafu Mnajifunza nini? ebu fanyeni na nyie kwa sehemu kuisaidia nchi hii kutumia miradi mlionayo ambayo mmechuma mkiwa marais. ili mpate baraka, kama magufuli,