Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Kwa mwendo wa serikali ya Dr Jpm ipo siku kila post ya jamii forum itakuwa ni ya kumpongeza Jpm
Mie hata saut sitaki kuisikia huwa nikimsikia hasira kali sana zinanishika now adays siangalii kbs TV wala siskizi radio
 
Kuna watz vichaa nimeamini
Anafurahishwa na kasi ya Magufuli ya kuwanyima vijana wetu 66,000 haki ya msingi ya kupata elimi
Kwa kushindwa kuwasaidia wahanga wa BK ingawaje michango ilipatikana
Kwa kushindwa kununua chanjo za watoto
Kuna nafuu yyt ya huduma za jamii toka JPM achukue nchi mwaka sasa umepita?
 
Mh. Rais nimevutiwa sana na kasi yako. Hakika ninatamani nami niwe miongoni mwa watendaji wako ili nikusaidie katika kukimbiza gurudumu la maendeleo la nchi yetu. Mm ni msomi, matured person, mchapakazi na ninayeamini Katika kasi na utendani wako.

Ninachukua nafasi hii nikiamini kuwa wewe ni mpitiaji Mzuri wa mtandao huu wa jamii forum..
Nakuhaidi utokuja kujuta kunipa nafasi.

Naomba unitume baba.
 
Weka CV yako tuone huo usomi wako usije kuwa na CV kama ya Mwenyekiti wetu.
 
Anaomba cv yako ili awasiliane na wewe direct unaweza kuiweka hapa.
 
Kutokana na usomi wako kipi ambacho ulishawah kukifanya kikaleta tija kwa jamii? Kama kipo kieleze
 
Hakika tuliochaguliwa ni wengi bali wateule ni wachache.Natazama namna Magufuli anavyolijenga upya taifa letu sina shaka huyu ni mteule wa Mungu.Basi na tuzidi kumuombea ili wale waovu wa harakati hizi za maendeleo Mungu akazibatilishe nia zao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…