Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] leo wengi wanatukana wanalia [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Dkt. John Joseph Pombe Magufuli, the president of Tanzania dream!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] leo wengi wanatukana wanalia [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Dkt. John Joseph Pombe Magufuli, the president of Tanzania dream!
Mie hata saut sitaki kuisikia huwa nikimsikia hasira kali sana zinanishika now adays siangalii kbs TV wala siskizi radioKwa mwendo wa serikali ya Dr Jpm ipo siku kila post ya jamii forum itakuwa ni ya kumpongeza Jpm
Anaomba cv yako ili awasiliane na wewe direct unaweza kuiweka hapa.Mh. Rais nimevutiwa sana na kasi yako. Hakika ninatamani nami niwe miongoni mwa watendaji wako ili nikusaidie katika kukimbiza gurudumu la maendeleo la nchi yetu. Mm ni msomi, matured person, mchapakazi na ninayeamini Katika kasi na utendani wako.
Ninachukua nafasi hii nikiamini kuwa wewe ni mpitiaji Mzuri wa mtandao huu wa jamii forum..
Nakuhaidi utokuja kujuta kunipa nafasi.
Naomba unitume baba.
Siyo swala la ugumu wa maisha Kama unavyofikiri. Sina maisha magumu.Duu kweli maisha haya tumefikia hapa
Na mimi hapo sijazungumzia ugumu wa maisha soma vizur mkuuSiyo swala la ugumu wa maisha Kama unavyofikiri. Sina maisha magumu.
Mh. Rais nimevutiwa sana na kasi yako. Hakika ninatamani nami niwe miongoni mwa watendaji wako ili nikusaidie katika kukimbiza gurudumu la maendeleo la nchi yetu. Mm ni msomi, matured person, mchapakazi na ninayeamini Katika kasi na utendani wako.
Ninachukua nafasi hii nikiamini kuwa wewe ni mpitiaji Mzuri wa mtandao huu wa jamii forum..
Nakuhaidi utokuja kujuta kunipa nafasi.
Naomba unitume baba.
[emoji15]Duu kweli maisha haya tumefikia hapa