Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

ngoja waje wakupe za uso, hawaonagi cha maana hata kdg kinachofanywa na serikali
Sasa kama hakuna?
Mtoa mada utabeba mimba kabla ya kuvunja ungo.

 
Si lazma wapayuke....
 
Ambao ni ccm
 
Na hivi lema ameshamuota [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Wow, the last paragraph was very informative, umenichambuwa kama karanaga thanks for that. Look, obviously we are all standing on the opposite sides of the spectrum. Some of us have choose to believe in him, good or bad, as the President said ...his the one at the helm, whenever we like or not. I'm not sure the "leadership journal" you posted will swing the who chosen to look the other way. The country has four more year before we are presented with choice to decide to whom our trust lays. By the way, if JPM is not the right person for the job, who was the right peroson, ENL? I'm assuming that your allegeable to vote in Tz kwasababu humu JF wamejaa watu wa nchi zingine halafu tunazingiwana.
 
The source is not from leadership journal from the start I have been telling you its about the competence of the position.

One expects the president to demonstrate level five skills, they are observable, they can tell people a lot and finally I too think Magufuli was the right choice but that doesn't stop me from criticising and overtime I tend to be right.

Na kama anapitaga humu aina ya watu kama sisi ndio tunataka kuona anafanikiwa ndio maana tunamkosoa viongozi watanzania watamlambaa miguu afanye maamuzi kwa mazoea miaka kumi itapita hakuna significant impact.
 
Aendelee na kasi hii kabisa hakuna cha ajira serikalini, kanyaga katiba, kataza mikutano ya siasa, hakuna cha mikopo kwa wote, punguza mzunguko wa pesa mtaani uone nchi inavyopiga hatua.. Go go JPM
 
Haha, I just mentioned leadership journal as a joke. I Want to agree with you on the competence side but I just keep stopping myself halfway. The reason is, if we judge the president competence as a person it might not get us anywhere, we have to judge the whole team, the whole presidency. Sidhani kama yanahitajika maamuzi makubwa yanayohusu maendelo ya nchi ata yafanya pekeyake bila kushirikisha watendaji. Kama tunalaaunu hao ndio watu wa kuwalaumu. Yes, some president walk into the office with a bag full of ideas, but its up the technical team to streamline them and make them walkable. Sasa about the way he conduct himself in public, sometimes can lead you in to wrong judgment of a person characters. You might judge me from my writing here but that might give a wrong impression about me. Waswahili wanasema "umzaniavyo, sivyo". Criticism is good, we all don't have eyes at back of our heads we need people to advice us, I'm not sure he reads what we always ranting here in JF, but I'm sure they are people who can pass some snippets of what going on in JF.
 
Precisely the point, on the same lines of reasoning despite some of his team members working behind the scenes and far away from the limelight; nevertheless through the president performances people can evaluate his entire team based on overall competence displayed for his role.

Mojawapo katika nafasi yake anatakiwa kujua matendo yake yana baraka gani kwa sheria za Tanzania au political mandate, sio mkato mkato kama alivyo mjibu 'Tido Mhando' kusema sijui wewe mbona uliama huku ukaenda huku huo pia mimi naweza ita udikteta au kama alivyomwmbia Mayalla wewe njaa, mimi naujua uchungu kama mtafutaji badala ya kusema actions zake zinatokana na mandate gani. Anatakiwa atoe maelezo kulingana na nafasi yake and people can detect weaknesses on his level of awareness not just from the president but his entire team contribution slackness.

As for me I am done with this.
 
Haya bwana, ujumbe umefika kwa walengwa. Lakini ukumbuke bad habits die hard.
 
Hayo ni maono na ndoto anayoipenda kwa hiyo ukiyatoa hadharani utapewa ukuu wa mkoa, lakini kinyume cha hapo utapelekwa kisongo kuungana na Lema
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…