MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,444
- 10,687
nimefuta comment yangu. Sorry!
Sijui nawe mleta uzi utaunganishwa na Lema au utatunukiwa! Kwa vile haikuwepo hapo kabla, hii sharia ya ndoto na maono inaingizwa kwa mlango wa nyuma ili kuwashughulikia watu kama nyie, watch out.Mfalme(Rais Uishi Milele) nakusalimia kwa Utukufu Mkuu ulio nao na Maono,mawazo na fikra sahihi. Zidumu fikra zako.
Nimeona katika ndoto namna ambavyo umepewa maisha meng. Namna ambayo utawala wako utakuwa wa Kihistoria hapa Dunian. Wewe ambaye ulichaguliwa kuliokoa Taifa hili la Tanzania. Kama ambavyo pia wengine walikuwa chaguo la mungu kutuadhib sisi wananchi. Ndivyo nawe ulivyokuwa chaguo hilo pia.
Tunazidi kukuombea ili mapenz yako Mfalme yatimizwe. Na mapenzi ya mungu wako yatimizwe pia kupitia wewe. Wale wenye mioyo ya chuki na husda wasifanikiwe.wale wanaokupinga na kukukosoa wote wabadilike. Wadumishe fikra zako sahihi kabisa kwa mustakabali wa Taifa hili.
Maisha ya Watanzania hawa yanatakiwa kupata funzo jingine kupitia wewe... Maana mioyo yao imekuwa migumu zaidi ya Jiwe.wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii. Nawe umeletwa kuwafarakanisha wao na ndugu zao na vizaz na vizaz vyao.
Mfalme uishi Milele... Wewe ambaye ndiye mwenye maamuzi makuu,sahihi na ya mwisho. Uendelee kuongoza kupitia utashi wako. Na fikra zako sahihi zidumu.
Siyo wewe tu, hata huyu aliyetoa hii post kuna siku si nyingi ataifuta!nimefuta comment yangu. Sorry!
Umesikika. Wengine msiwajibu kupoteza muda.Ndugu wanajf, salaam!
Kama wanavyotumia barabara za lami nchini, kama wanavyotumia maji vijijini na mijini, kama wanavyotumia fursa za kibiashara ndivyo nilivyomwona Mhe. Mbowe juzi akifurahia huduma za ndege zilizonunuliwa na MHE. DKT JOHN POMBE MAGUFULI.
Mbowe ni kati ya viongozi wa juu wa CHADEMA ambao siku zote hubeza juhudi za serikali lakini akiwa miongoni mwa wanaopata huduma hizo siku hadi siku.
My take: Pamoja na tofauti za kivyama, kiitikadi basi ndugu zangu wanachama wa CHADEMA na UKAWA jitahidini kuzungumza maneno kwa kumwogopa Mungu na binadamu wanaowatizama ili awaepushe na roho za lawama, uchochezi, na kuvuruga mshikamano wa kitaifa.
Serikali inayoongozwa na Mhe Dkt John Pombe Magufuli iko makini na inafahamu kilio cha Wanaccm, Wanachadema, Wananccr, Wanatlp, Wananld, Wanaact, Wanacuf na wengine wasiokuwa na vyama vya siasa. Mpeni ushirikiano amalize wakwepa kodi za NHC, TRA, TPA nk
Msakila KABENDE
ndo unamaanisha nini?Sizonje abadilishe beat watu wamechoka music wa kubukabaah
Lazima utakuwa unaota wewe au unatuandikia ndoto uliyomaliza kuiota asubuhi hii.Habarini watanzania wote!!!!!!!
Kutokana na unabii ambao niliwaii kuuweka hapa kuhusu ujio wa Yesu Kristo kama Mfalme ktk Taifa la Tanzania,,,,,,,,dalili zaanza kuonekana.
Kiufupi ni kwamba Mungu ametukumba watanzania,,,,,,na ameamua kushuka kama Mfalme kwa ajili ya mambo mawili makubwa.
1>> Mungu amekusudia kuliinua Taifa hili kiuchumi kwa viwango vikubwa ambavyo itapelekea mataifa mengi kuja kuomba msaada hapa.
2>> Neema ya Mungu itakua kubwa sana na Watu wote watakaoamua kumtafuta Mungu wa kweli ataonekana kwao kwa viwango vya juu sana.
Na hao watakaokuja kuomba msaada wa kiuchumi watakutana na Mungu hapa ambapo wataponywa pia magonjwa yao.
Hivyo basi kutokana na Ujio wa Kifalme wa Mungu hapa Tanzania,,,,,,dalili za kifalme zimeanza kuonekana kupitia Utawala wa Rais wa awamu ya Tano Mh JP Magufuli. Ambapo ktk utawala wa kifalme,,,,,neno la Mfalme ndo SHERIA akisema jambo ndilo linalopaswa kufanyika,,,
Kwasbb iyo nguvu zinazomsukuma Rais ni dhahiri kabsa ni Nguvu za Mungu ktk kuleta mabadiliko.
Mungu uzidi kumtia nguvu Rais aweze kufanya sawasawa na kusudi lako Tanzania.
NAWASILISHA
MUNGU kasimamisha ajiraHuyu Mungu huyu anasingiziwa mengi na kubebeshwa mizigo mingi
[emoji87] [emoji85] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115]MUNGU kasimamisha ajira