Mkuu hata Mwalimu alisema kitendo cha kuingiza dini katika siasa ni KUFILISIKA kisiasa.Habarini watanzania wote!!!!!!!
Kutokana na unabii ambao niliwaii kuuweka hapa kuhusu ujio wa Yesu Kristo kama Mfalme ktk Taifa la Tanzania,,,,,,,,dalili zaanza kuonekana.
Kiufupi ni kwamba Mungu ametukumba watanzania,,,,,,na ameamua kushuka kama Mfalme kwa ajili ya mambo mawili makubwa.
1>> Mungu amekusudia kuliinua Taifa hili kiuchumi kwa viwango vikubwa ambavyo itapelekea mataifa mengi kuja kuomba msaada hapa.
2>> Neema ya Mungu itakua kubwa sana na Watu wote watakaoamua kumtafuta Mungu wa kweli ataonekana kwao kwa viwango vya juu sana.
Na hao watakaokuja kuomba msaada wa kiuchumi watakutana na Mungu hapa ambapo wataponywa pia magonjwa yao.
Hivyo basi kutokana na Ujio wa Kifalme wa Mungu hapa Tanzania,,,,,,dalili za kifalme zimeanza kuonekana kupitia Utawala wa Rais wa awamu ya Tano Mh JP Magufuli. Ambapo ktk utawala wa kifalme,,,,,neno la Mfalme ndo SHERIA akisema jambo ndilo linalopaswa kufanyika,,,
Kwasbb iyo nguvu zinazomsukuma Rais ni dhahiri kabsa ni Nguvu za Mungu ktk kuleta mabadiliko.
Mungu uzidi kumtia nguvu Rais aweze kufanya sawasawa na kusudi lako Tanzania.
NAWASILISHA
Mshana Jr, kumbuka pia hata shetani hutumia maandiko matakatifu kwa manufaa yake. Nina wasiwasi kama muanzisha thread si mmojawapo wa kundi hilo.Huyu Mungu huyu anasingiziwa mengi na kubebeshwa mizigo mingi
Hayo ni mambo ya Rohoni kweni ninyi wafuasi wa MleviSomeni vizuri alicho kiandika siokurupuka kujibu,haya no mambo ya rohoni,alichokiandika ni sahihi na ndivyo ilivyo.
C nilikuwa nawaza2 kalekandoto ka raisi wa ARKwani alitakiwa kupumzika lini?
kama ni nabii kwanini aliwapola rambirambi za wahanga bukoba na kumsafisha mke hadi kwa TB Joshua? na hicho kibali nani alimpa kwenda nje ya nchi na huku akipiga marufuku kutoa vibari vya nje ya nchi?labda nabii wa rambirambi za wahang
swissme
Jaman cjasema kwamba Rais ni Yesu,,,,,,,ila unabii huu niliwai kuutoa hapa,,,,na nikaandika mambo hayohayo mawili makubwa ambayo Mungu amekusudia kufanya ndani ya Tanzania.Mshana Jr, kumbuka pia hata shetani hutumia maandiko matakatifu kwa manufaa yake. Nina wasiwasi kama muanzisha thread si mmojawapo wa kundi hilo.
mshana jrHuyu Mungu huyu anasingiziwa mengi na kubebeshwa mizigo mingi
Ww mm ni zaidi ya huyo!!!! Jaman ebu tafuteni ule unabii ambao niliuweka hapa ili muamini nilichokiandikaMada za Waumini wa Lusekelo hizi.
Samahani nahisi sikukuelewa. Samahani.Jaman cjasema kwamba Rais ni Yesu,,,,,,,ila unabii huu niliwai kuutoa hapa,,,,na nikaandika mambo hayohayo mawili makubwa ambayo Mungu amekusudia kufanya ndani ya Tanzania.
Na hapa mm nazungumzia namna ya utawala wake na c yeye.
Kwamba utawala wake ni kama utawala wa Kifalme kwamba neno la Mfalme ndo sheria. Ambapo na mm nilisema hapa kuwa Mungu anakuja kama Mfalme