Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Angalia usijikute unahangaika gerezani kama Lema, uzuri labda kwa kuwa ndoto yako haijahusu jambo baya kwa Jpm!
 
Habarini watanzania wote!!!!!!!

Kutokana na unabii ambao niliwaii kuuweka hapa kuhusu ujio wa Yesu Kristo kama Mfalme ktk Taifa la Tanzania,,,,,,,,dalili zaanza kuonekana.

Kiufupi ni kwamba Mungu ametukumba watanzania,,,,,,na ameamua kushuka kama Mfalme kwa ajili ya mambo mawili makubwa.

1>> Mungu amekusudia kuliinua Taifa hili kiuchumi kwa viwango vikubwa ambavyo itapelekea mataifa mengi kuja kuomba msaada hapa.

2>> Neema ya Mungu itakua kubwa sana na Watu wote watakaoamua kumtafuta Mungu wa kweli ataonekana kwao kwa viwango vya juu sana.

Na hao watakaokuja kuomba msaada wa kiuchumi watakutana na Mungu hapa ambapo wataponywa pia magonjwa yao.

Hivyo basi kutokana na Ujio wa Kifalme wa Mungu hapa Tanzania,,,,,,dalili za kifalme zimeanza kuonekana kupitia Utawala wa Rais wa awamu ya Tano Mh JP Magufuli. Ambapo ktk utawala wa kifalme,,,,,neno la Mfalme ndo SHERIA akisema jambo ndilo linalopaswa kufanyika,,,

Kwasbb iyo nguvu zinazomsukuma Rais ni dhahiri kabsa ni Nguvu za Mungu ktk kuleta mabadiliko.

Mungu uzidi kumtia nguvu Rais aweze kufanya sawasawa na kusudi lako Tanzania.

NAWASILISHA
Mkuu hata Mwalimu alisema kitendo cha kuingiza dini katika siasa ni KUFILISIKA kisiasa.
 
Ndio tatizo la misukule ! Wewe kama mkristo uwezi mfananisha binadamu na Yesu
 
Mungu wetu ni Mwema na Mpenda Haki, Pls Pls Mkuu Usimuhusishe Mungu na Tawala zetu za kiafrika, Utamkosea sana, Viongz wanaiba kura, tume zinawatangaza kibabe hata kama kura zao ni chache, afu leo useme ni Unabii na chaguo la Mungu, Aisee Achen kumdhihaki Mungu kiasi hicho, yan Mnadhurumu alafu Mnaligeuza neno la Mungu, ili Mfanikishe Mambo yenu,!!
 
Unabii wa hivi ndio juma punda makazi anaupenda. Ukimnabii kinyume atakavyo utamfata lema
 
Tetezi niliyonayo mkulu ataendelea kuinyoosha tanzania hadi 2020 bila kupunzika
15202647_1076896555756431_8777428274702588043_n.jpg
 
kama ni nabii kwanini aliwapola rambirambi za wahanga bukoba na kumsafisha mke hadi kwa TB Joshua? na hicho kibali nani alimpa kwenda nje ya nchi na huku akipiga marufuku kutoa vibari vya nje ya nchi?labda nabii wa rambirambi za wahang

swissme

Rais Magufuli hana chembe yoyote ya Ukristo,Uislamu,Unabii wala Utume!
Rais anayefanishwa na Dikteta hawezi kuhusishwa na mambo ya Kiungu.
Tayari mpaka ameingia kwenge mgogoro na Waislamu kwa kufanya Teuzi zenye upendeleo wa uwiano wa 90% Wakristo kwa 10% ya Waislamu!
Nani hajui kuwa JPM kashinda Uchaguzi kwa njama za NEC na CCM yake? Rais anayeligawa Taifa kwa UDINI,UKANDA na SIASA za KI- CCM hawezi kuwa kawekwa na Mungu!
 
Mshana Jr, kumbuka pia hata shetani hutumia maandiko matakatifu kwa manufaa yake. Nina wasiwasi kama muanzisha thread si mmojawapo wa kundi hilo.
Jaman cjasema kwamba Rais ni Yesu,,,,,,,ila unabii huu niliwai kuutoa hapa,,,,na nikaandika mambo hayohayo mawili makubwa ambayo Mungu amekusudia kufanya ndani ya Tanzania.

Na hapa mm nazungumzia namna ya utawala wake na c yeye.
Kwamba utawala wake ni kama utawala wa Kifalme kwamba neno la Mfalme ndo sheria. Ambapo na mm nilisema hapa kuwa Mungu anakuja kama Mfalme
 
Jaman cjasema kwamba Rais ni Yesu,,,,,,,ila unabii huu niliwai kuutoa hapa,,,,na nikaandika mambo hayohayo mawili makubwa ambayo Mungu amekusudia kufanya ndani ya Tanzania.

Na hapa mm nazungumzia namna ya utawala wake na c yeye.
Kwamba utawala wake ni kama utawala wa Kifalme kwamba neno la Mfalme ndo sheria. Ambapo na mm nilisema hapa kuwa Mungu anakuja kama Mfalme
Samahani nahisi sikukuelewa. Samahani.
 
Back
Top Bottom