Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Unajua toka Enzi za Mwalimu wa kenya walikuwa wanazimia sana utendaji kazi wa WaTz....wakaiga jina la TANU wakaita chao KANU!! Sasa zilipoingia mashudu ikulu tu kaanza kudharaulika!
 
Kenya wanamkubali Mshua JPM
 
Attachments

  • 1448360309118.jpg
    1448360309118.jpg
    49.9 KB · Views: 188
Walo mchagua JPM ni watanzania millioni 8, hawa wote sio CCM peke yao ni watanzania.
Lakini kuna walo kua hawakumchagua pia hawo ni watanzania.

Kwa maana hiyo kazi kubwa ya JPM ni kuhakikisha walo mchagua wana baki na kufanya kazi mara mbili zaidi ili wale walokwa hawakumchagua wafurahi nae.

Pili ni kuunda serikali ya watanzania sio ya wanaCCM.
Tunaona mwanzo mbaya:
Spika na msaidizi wake CCM
Mwanasheria CCM,
Hatujuwi mawaziri itakuwaje
Hatujuwi makatibu wakuu , wakuu wa mikoa wakuu wa vyombo vya dola itakuwaje

Mapendekezo yangu kuwa Makatibu wakuu , wakuu wa vyombo vyote vya dola, wakuu wa mikoa , ofisi ya mwana sheria na mahakama wakawa watu kwa mujibu wa uwezo wawo wakazi na siosifa za Chama au ukada wachama.

Wakurugenzi wasichaguliwe na Raisi ila bodi ya utumishi.

Huu utakuwa mwanzo mzuri wa mageuzi ya maendeleo.

Shukuran
 
Miaka mi5 ni mingi mno, hiyo kasi ya sasa ni moto wa kifuu.

Pole sana utasubiri sana huo moto wa kifuu uzimike uta-observe ndio kwanza unakolea! HAPA KAZU TU! Unadhani kwa changamoto za Wizara ya Miundo alidumu wizara hiyo bure!
 
kweli watanzania tumekuwa katika dimbwi la umaskini kwa zaidi ya miaka 50, huku vigogo na matajiri wacheche wakitumia ujinga wetu kutuambia Nchi yetu ya Tanzania ni Masikni, tangu Nyerere hatujawahi shuhudia rais mwenye Uzalendo na nia njema kwa watanzania, Nafikiri Mungu ametusikia yuko kazini. Tusubiri mambi mazuri na Makubwa zaidi, maana huyu Magufuli ana sifa zifuatazo:
1. Mzalendo
2. Mpenda watu kwa dhati
3.Mchapa Kazi kwa Bidii
4.Mwenye kutaka kwa shauku maendeleo ya Tanzania
kILA LA KHERI MAGUFULI WETU MUNGU YUPO PAMOJA NA WEWE, TUNAKUOMBEA SANA BABA. ILI ADUI ASIPATE NAFASI. HATA KIDOGO. DAMU YA YESU IKUFUNIKE, MALAIKA WENYE UPANGA ULAO KUWILI WAKUZINGIRE KIPEKEE SANA.
 
kweli watanzania tumekuwa katika dimbwi la umaskini kwa zaidi ya miaka 50, huku vigogo na matajiri wacheche wakitumia ujinga wetu kutuambia Nchi yetu ya Tanzania ni Masikni, tangu Nyerere hatujawahi shuhudia rais mwenye Uzalendo na nia njema kwa watanzania, Nafikiri Mungu ametusikia yuko kazini. Tusubiri mambi mazuri na Makubwa zaidi, maana huyu Magufuli ana sifa zifuatazo:
1. Mzalendo
2. Mpenda watu kwa dhati
3.Mchapa Kazi kwa Bidii
4.Mwenye kutaka kwa shauku maendeleo ya Tanzania
kILA LA KHERI MAGUFULI WETU MUNGU YUPO PAMOJA NA WEWE, TUNAKUOMBEA SANA BABA. ILI ADUI ASIPATE NAFASI. HATA KIDOGO. DAMU YA YESU IKUFUNIKE, MALAIKA WENYE UPANGA ULAO KUWILI WAKUZINGIRE KIPEKEE SANA.[/QUOTE]
 
Naimani wana CCM sasa wanaanza kumwelewa Magufuli kuwa siyo mtu wa chama sana maana mambo anayofanya yameanza kuwashitua huku mitaani na maofisini mwao.
1.Wakuu wa wilaya na mikoa kupeleka CV zao si dalili nzuri kabisa kwa wale waliopewa vyeo hivyo kiupendeleo
2.Safari za nje kufutwa ni furaha sana kwa watumishi wa umma ambao walikuwa wanalinda maofisi wakati watoto wa wakubwa wao ni semina za nje mara kwa mara
Kwa nimwonapo Magufuli kama hashauriki vile hivyo Chama kijiandae kuwa katika hali ngumu kifedha(Financial crisis) maana walitumia hela nyingi kipindi cha kampeni.
NB: CCM Msije mkabadilisha katiba yenu ili kumnyima kuwa Mwenyekiti wa Chama maana kwa sasa ndani ya Chama hata Nape an?mzidi kwa cheo. Mkitaka afanye vema zaidi Kikwete amwachie umwenyekiti wakati damu yake inachemka kuwatumikia Watanzania atungue jipu bila kikwazo chochote.
 
CCM ilimuogopa Lowassa kwa sababu ya uroho wake wa kutafuna mali za umma (wengi mnao mshabikia Lowassa hamumjui)...ila CCM ilimnadi Magufuli (tunajua kuwa ni dikteta grade B) ili arekebishe mapungufu mbalimbali ya kimfumo wa serikali. Hivyo kuna a very huge gap hapo kati ya Lowassa na Magufuli....tafadhali usiwafananishe hata kidogo.
 
Naimani wana CCM sasa wanaanza kumwelewa Magufuli kuwa siyo mtu wa chama sana maana mambo anayofanya yameanza kuwashitua huku mitaani na maofisini mwao.
1.Wakuu wa wilaya na mikoa kupeleka CV zao si dalili nzuri kabisa kwa wale waliopewa vyeo hivyo kiupendeleo
2.Safari za nje kufutwa ni furaha sana kwa watumishi wa umma ambao walikuwa wanalinda maofisi wakati watoto wa wakubwa wao ni semina za nje mara kwa mara
Kwa nimwonapo Magufuli kama hashauriki vile hivyo Chama kijiandae kuwa katika hali ngumu kifedha(Financial crisis) maana walitumia hela nyingi kipindi cha kampeni.
NB: CCM Msije mkabadilisha katiba yenu ili kumnyima kuwa Mwenyekiti wa Chama maana kwa sasa ndani ya Chama hata Nape an?mzidi kwa cheo. Mkitaka afanye vema zaidi Kikwete amwachie umwenyekiti wakati damu yake inachemka kuwatumikia Watanzania atungue jipu bila kikwazo chochote.

Mungu si Athumani!! JPM sio close substitute Bali ni Shubiri, ngumu kumeza kwa maccm!
 
Duh! Mmeanza kunyooka sasa yale madai kuwa hana uwezo wa kubadili mfumo mmeachana nayo
 
Naimani wana CCM sasa wanaanza kumwelewa Magufuli kuwa siyo mtu wa chama sana maana mambo anayofanya yameanza kuwashitua huku mitaani na maofisini mwao.
1.Wakuu wa wilaya na mikoa kupeleka CV zao si dalili nzuri kabisa kwa wale waliopewa vyeo hivyo kiupendeleo
2.Safari za nje kufutwa ni furaha sana kwa watumishi wa umma ambao walikuwa wanalinda maofisi wakati watoto wa wakubwa wao ni semina za nje mara kwa mara
Kwa nimwonapo Magufuli kama hashauriki vile hivyo Chama kijiandae kuwa katika hali ngumu kifedha(Financial crisis) maana walitumia hela nyingi kipindi cha kampeni.
NB: CCM Msije mkabadilisha katiba yenu ili kumnyima kuwa Mwenyekiti wa Chama maana kwa sasa ndani ya Chama hata Nape an?mzidi kwa cheo. Mkitaka afanye vema zaidi Kikwete amwachie umwenyekiti wakati damu yake inachemka kuwatumikia Watanzania atungue jipu bila kikwazo chochote.

Sasa Nimeamini Kuwa Mwezi Ukiandama Tu Hasa Tarehe Kama Hizi Hata WENDAWAZIMU Nao Huongezeka KUNAKOTUKUKA.
 
Heshima inachukuwa nafasi yake well done mkuu piga Pushup kwa sana tutaelewana tuu.
 
Zikiwa ni Takribani siku 20 tangu aapishwe kushika Madaraka ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mh. Dr. JPM ameteka mijadala takribani katika viunga vyote vya jamhuri ya muungano wa Tanzania kutokana na kasi aliyoanza nayo.

"Tunamuunga mkono na atakayemkwamisha atueleze sisi wananchi tuko tayari kupambana ili kumsaidia kusafisha serikali" alisikika mkazi mmoja wa Morogoro, katika viunga vya mwanjelwa Mbeya ambapo JPM aliwahi kukutana na changamoto za vijana wa ukawa mmoja wa vijana katika maeneo hayo alisikika akijutia kwa kutokumuamini JPM wakati akiomba kura "Natamani uchaguzi urudiwe leo nimpe kura yangu, mimi nilijua lazima atafuata ilani ya chama chake tu" alisikika kijana huyo aliyeonakana kutokujua hata maana ya ilani.

Katika viunga vya stand ya mabasi nyegezi vikundi vya vijana vimeonekana kuingia hamasa ya kujadili kila jambo ambalo JPM amekuwa akilifanyia maamuzi "afadhali tulimuamini tungechagua wasanii tungekuwa tumeshaanza kujuta" alisikika mmoja wa mama ntilie katika stand hizo.

Katika utafiti wa jumla niliofanya katika takribani mikoa 28 inaonyesha gumzo kubwa ni namna JPM alivyouanza uongozi wake kwa style ya kipekee huku wengine wakitamani hata asitangaze baraza la mawaziri "Natamani Rais aendelee kuongoza yeye na Makatibu wakuu maana naona mabo yaliyokwama kwa miaka mingi yanaenda" alisikika Profesa mmoja Nguli kutoka chuo kikuu kimoja kikubwa cha umma nchini.
 
Huyu ndiye MAGUFULI wa CHATO! ni yule yule habadiliki misimamo! Tunakuombea uendelee ...utapata changamoto kutoka kwa wachache hasa wale wabinafsi na wapenda Madaraka....tupo pamoja Sana! Tupo tayari kuzisoma namba kwa maslahi mapana ya KITAIFA!
 
Back
Top Bottom