Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,375
- 6,958
Unajua toka Enzi za Mwalimu wa kenya walikuwa wanazimia sana utendaji kazi wa WaTz....wakaiga jina la TANU wakaita chao KANU!! Sasa zilipoingia mashudu ikulu tu kaanza kudharaulika!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka mi5 ni mingi mno, hiyo kasi ya sasa ni moto wa kifuu.
Naimani wana CCM sasa wanaanza kumwelewa Magufuli kuwa siyo mtu wa chama sana maana mambo anayofanya yameanza kuwashitua huku mitaani na maofisini mwao.
1.Wakuu wa wilaya na mikoa kupeleka CV zao si dalili nzuri kabisa kwa wale waliopewa vyeo hivyo kiupendeleo
2.Safari za nje kufutwa ni furaha sana kwa watumishi wa umma ambao walikuwa wanalinda maofisi wakati watoto wa wakubwa wao ni semina za nje mara kwa mara
Kwa nimwonapo Magufuli kama hashauriki vile hivyo Chama kijiandae kuwa katika hali ngumu kifedha(Financial crisis) maana walitumia hela nyingi kipindi cha kampeni.
NB: CCM Msije mkabadilisha katiba yenu ili kumnyima kuwa Mwenyekiti wa Chama maana kwa sasa ndani ya Chama hata Nape an?mzidi kwa cheo. Mkitaka afanye vema zaidi Kikwete amwachie umwenyekiti wakati damu yake inachemka kuwatumikia Watanzania atungue jipu bila kikwazo chochote.