Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Rais wetu apewe ulinzi mkubwa. Wazalendo wa kweli wa nchi hii wanataka maendeleo ya kweli. Wanataka uozo uliopo katika jamii yetu utokomezwe kwa kasi. Viongozi wamekuwa kama miungu watu. Wezi ndio wanapewa nafasi katika taasisi zetu. Waadilifu katika nchi hii ni kama hawatakiwi. Wahuni tu wanapewa madaraka makubwa kwa kujipendekeza kwa viongozi. CCM kumeoza kwa sababu ya kubebana. Serikali nako kumeoza kwa kuwa CCM kumeoza. Taasisi za CCM zimeoza hazina viongozi wa maana wamejaa wababaishaji. Taasisi za serikali nazo zimeoza kwakuwa wanawekwa watu wasio na uwezo. Asilimia 90 ya wakuu wa wilaya hawana uwezo. Uozo uko pia kwenye halmashauri. Halmashauri zimekuwa kitovu cha ulaji. Nchi hii ni lazima ikombolewe kutoka kwa viongozi mafisadi. CCM ijisafishe na serikali nayo isafishwe.

Umenigusa sana mkuu.
Yaani mimi nitaendelea kumchukia kikwete mpaka anaenda kuzimu. Kikwete alishatuharibia nchi. Taasisi nyingi za serikali kuko hovy hovyo tu. Hii ni kwa sababu ya kuendekeza ushikaji. Pia Kikwete alikuwa na ki-element cha udini (najua wengi watapinga lakini wanaomjua kikwete watakubaliana nami). Yaani viongozi wengi wa taasisi za umma walishajiona miungu watu na kama vile wao wana hati milki na taasisi hizo. wengi wao wahana uwezo kabisa, kazi iliyokuwepo ni kuiba tu pesa za walala hoi bila kuogopa chochote. Mungu atamlinda Magufuli ili atukomboe wanyonge.
 
JK mdini sana...

Aliharibu nchi na watu mamilioni kuichukia CCM sana, nikiwemo mm

Aligawa madaraka hovyo sana... ukiwa na mzigo mzuri kwa mdada na unajua kuyatumia, u DC unao...!!
 
JK mdini sana...

Aliharibu nchi na watu mamilioni kuichukia CCM sana, nikiwemo mm

Aligawa madaraka hovyo sana... ukiwa na mzigo mzuri kwa mdada na unajua kuyatumia, u DC unao...!!
Kwa hiyo sasa hivi umejisalimisha CCM safi sana umeachana na drama za Lowassa.
 
Tunajua yote hayo.Tunachomsifia ni kwamba kaanza vizuri kwa vitendo.Si kwa maneno matupu na kucheka cheka kama ....
tutampima kwa matokeo kama vifaa vya kutosha mahospitalini, madawa ya kutosha, wafanyakazi wa kutosha hasa elimu na afya, vitendea kazi vya kutosha mashuleni, wanafunzi wenye sifa elimu ya juu wote wanapata mikopo, barabara nzuri, maji salama, umeme wa uhakika, uchumi wa mtu mmoja mmoja umekua n.k hatutampima kwa ziara maofisini
 
JK mdini sana...

Aliharibu nchi na watu mamilioni kuichukia CCM sana, nikiwemo mm

Aligawa madaraka hovyo sana... ukiwa na mzigo mzuri kwa mdada na unajua kuyatumia, u DC unao...!!

Wauza unga yeye yumo pia. Mwaka jana mwezi wa 3 kuna meli ilikamatwa ikiwa na mzigo umeandikwa kabisa president' cofee
Lakini hiyo kesi wameichezesha mpaka leo hii haijulikani. Vyombo vya ulinzi na usalama vilipuuzwa sana wakati wa utawala wa huyu Mkwere. Mzigo uliokamatwa ni kilo 679 za sembe.
attachment.php

attachment.php
 
Attachments

  • IMG_0188.JPG
    IMG_0188.JPG
    223.1 KB · Views: 346
  • IMG_0194.JPG
    IMG_0194.JPG
    231.1 KB · Views: 341
Kwa hiyo sasa hivi umejisalimisha CCM safi sana umeachana na drama za Lowassa.

Siku Ritz1 King of Drugs akitumbuliwa majipu na Magufuli nitarudi team Magufuli sio CCM... right now nampa credit mazuri tu Magufuli anayofanya... but there is alot still to be done..!! Kwani kaanza na TRA na TPA tu.....bado mengiii...

Esp. kuyatumbua majipu huko TANESCO, IPTL, PPRA, TCRA, TAA, BOT, TTCL, ATCL, TANAPA, NCAA, TRL, TGFA, PCCB, POLICE, NIDA- Vitambulisho vya uraia, RITA, UHAMIAJI, DRUG LORDS, TAMISEMI, Ma RC & DCs, Makatibu WAKUU, NBC,
SIGARA, mabodi ya Korosho, Kahawa etc etc....!!!

Akifanya hayo, nitakuwa TEAM MAGUFULI ila sio CCM... Hivi sasa lazima bila kujali vyama Magufuli anafanya vyema sana... tumpongeze..!! 🐵
 
Nilikua nawaza hapa hivi Ni wanasiasa gani kutoka chama cha CCM wamesifia jitihada za Mheshimiwa sana Magufuli hadharani? Mfano FB twitter name magazetini? Anaweza weka uthibitisho wa Huyo mtu kutoa hizo sifa?
 
Hakika wewe ni baraka kutoka kwa mungu rais wa mioyo yetu sisi maskini kile kilio chetu cha muda mrefu sasa tumepata mtetezi tunakuunga mkono mheshimiwa rais wetu na yoyote atakaye kupinga sisi wananchi wako tuko tayari kukupigania mkombozi wetu mheshiwa dr john magufuli mungu akulinde na akupe afya njema ili ututetee sisi maskini milele amiiiina!
 
Amina. Tunamuomba Rais wetu asiwe rais wa kisiasa tu... awe na rais wa TFF ili litimu letu la taifa lijue mpira ni Kazi!!
 
Rais Magufuli shikamooo...!!

Yaani ilikuwa ni kawaida, na lazima ukiwa TRA, TPA, Traffic Police, BOT etc kwa mwaka mmoja tu alafu HUJANENEPA utakuwa una ugonjwa basi... na ukienda kupima kweli unakuta una tatizo la afya.. kama mwili wako sio wa kunenepa BASI UTAVIMBA TU, au utanenepeswa tu kama ng'ombe wa mnadani, UNAJUA KWA NINI..? wee acha tu...

Kuna dada mmoja ana kama mwaka na miezi 4 hv TPA, tena hana cheo...alikuwa kapaukaa, mwembamba kabisa... hivi sasa, tobaaaaa... Astagafirullaah, naumia tu moyoni... acheni tu, utajiuma ulimi ufe, NI MITIKISIKO TU YA KUFA MTU... nguo hasimtoshi, akivaa dela hata kubwa vipi ni aibu, asalaleeee... yaani, na log off...!!

Mh. Rais wakondesheeeee... g9t..!!
 
JK mdini sana...

Aliharibu nchi na watu mamilioni kuichukia CCM sana, nikiwemo mm

Aligawa madaraka hovyo sana... ukiwa na mzigo mzuri kwa mdada na unajua kuyatumia, u DC unao...!!

Na ndo maana ccm ilipata ishindi mdogo sababu kubwa ni yeye kaharibu sanaaaaa.... na hakiyamungu kwenye kamati kuu angepitishwa mwingine tofauti na Magufuli leo tungekuwa tunaongea mengine
 
Aendelee na kasi tu atakae jaribu kumzuiya ashindwe na alegee
 
Umenigusa sana mkuu.
Yaani mimi nitaendelea kumchukia kikwete mpaka anaenda kuzimu. Kikwete alishatuharibia nchi. Taasisi nyingi za serikali kuko hovy hovyo tu. Hii ni kwa sababu ya kuendekeza ushikaji. Pia Kikwete alikuwa na ki-element cha udini (najua wengi watapinga lakini wanaomjua kikwete watakubaliana nami). Yaani viongozi wengi wa taasisi za umma walishajiona miungu watu na kama vile wao wana hati milki na taasisi hizo. wengi wao wahana uwezo kabisa, kazi iliyokuwepo ni kuiba tu pesa za walala hoi bila kuogopa chochote. Mungu atamlinda Magufuli ili atukomboe wanyonge.

usimchukie jk chukia waliowafanya wa Tz wamchague jk,kwa sie tunaomjua nje ndani hata hayo machache kajitahidi sana. yule ni mtu wa bata mwanzo mwisho, ishu ya udini sikubaliani nawe Viongoz wote wa tz tangu uhuru wamekuwa wakishutumiwa na dini tofauti lakin zile ni siasa nyepesi Kuanzia Mwl Nyerere mpaka Jk wamekuwa wanalaumiwa na watu wa dini tofauti lakin hakuna ushahidi mzito zaid ya ule wa kimazingira
 
hakika wewe ni baraka kutoka kwa mungu rais wa mioyo yetu sisi maskini kile kilio chetu cha muda mrefu sasa tumepata mtetezi tunakuunga mkono mheshimiwa rais wetu na yoyote atakaye kupinga sisi wananchi wako tuko tayari kukupigania mkombozi wetu mheshiwa dr john magufuli mungu akulinde na akupe afya njema ili ututetee sisi maskini milele amiiiina!

aminaaaaa....!!!!! Mungu ameshatenda
 
Siku Ritz1 King of Drugs akitumbuliwa majipu na Magufuli nitarudi team Magufuli sio CCM... right now nampa credit mazuri tu Magufuli anayofanya... but there is alot still to be done..!! Kwani kaanza na TRA na TPA tu.....bado mengiii...

Esp. kuyatumbua majipu huko TANESCO, IPTL, PPRA, TCRA, TAA, BOT, TTCL, ATCL, TANAPA, NCAA, TRL, TGFA, PCCB, POLICE, NIDA- Vitambulisho vya uraia, RITA, UHAMIAJI, DRUG LORDS, TAMISEMI, Ma RC & DCs, Makatibu WAKUU, NBC,
SIGARA, mabodi ya Korosho, Kahawa etc etc....!!!

Akifanya hayo, nitakuwa TEAM MAGUFULI ila sio CCM... Hivi sasa lazima bila kujali vyama Magufuli anafanya vyema sana... tumpongeze..!! 🐵

Zaidi tumuombee sana
 
Katibu mkuu kiongozi naye ni part ya matatizo, mheshimiwa Raisi wetu mpendwa Dr. Magufuli naye usimuache is part of the major problem of poor work performance of government institutions. Please deal with him.

Apigwe chini tu
 
Back
Top Bottom