babatovu
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 2,739
- 1,602
Wateule wa Mungu hutawala kwa busara, hekima na maarifa. Huyo uliyemuita mteule anavyo hivyo vitu. Neno la Mungu linasema Heri wale wapatanishi maana wataitwa wana wa Mungu. Sasa rejea yaliyojiri Znz, huyu ni mpatanishi? Nachukua fursa kukukanya, usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako.