Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Wateule wa Mungu hutawala kwa busara, hekima na maarifa. Huyo uliyemuita mteule anavyo hivyo vitu. Neno la Mungu linasema Heri wale wapatanishi maana wataitwa wana wa Mungu. Sasa rejea yaliyojiri Znz, huyu ni mpatanishi? Nachukua fursa kukukanya, usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako.
 
Endelea kumwombea mwenyewe usisahau na mapambio......

Mimi usiniusishe ...........
 
Kwa maana hiyo Mungu alipora haki zetu za kuchagua?

katuletea huyu jamaa..............
 
Wateule wa Mungu hutawala kwa busara, hekima na maarifa. Huyo uliyemuita mteule anavyo hivyo vitu. Neno la Mungu linasema Heri wale wapatanishi maana wataitwa wana wa Mungu. Sasa rejea yaliyojiri Znz, huyu ni mpatanishi? Nachukua fursa kukukanya, usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako.
Zanzibar ni nchi
 
Yaan namshukuru sana, manake jamaa vichwa vigumu... Sasa kawatia cha moto hali mbaya, mimi binafsi sioni kama kuna ugumu nilishazoea...
 
Mkuu wanaoponda ni mission town na club yao ndio hiyo imetaifishwa usicheze na Hapa Kazi tu!
 
Attachments

  • IMAG0583.jpg
    IMAG0583.jpg
    194.4 KB · Views: 30
Hakika tuliochaguliwa ni wengi bali wateule ni wachache.Natazama namna Magufuli anavyolijenga upya taifa letu sina shaka huyu ni mteule wa Mungu.Basi na tuzidi kumuombea ili wale waovu wa harakati hizi za maendeleo Mungu akazibatilishe nia zao!
Wapuuzi kama nyinyi ndio mnafanya ukristo udharauliwe. Tafadhali tambua kuwa "Mungu hadhihakiwi"! Watoto wa maskini wananyimwa mikopo ya chuo kikuu, askari wanaruhusiwa kunyanyasa raia, haki za msingi za raia zinabanwa, mahospitalini hata chanjo ya tetenas hakuna halafu wewe unasema ni Mteule wa Mungu??? Mungu yupi huyo??Au umenufaika na chanjo ya bure ya busha???
 
Wewe unafikiri "mazingaombwe" ya kina Gwajima ndio uKristo?ile ni sanaa tu kama ngoma za kibisa.Ukristo wenyewe ni matendo mema yenye kibali machoni pake Mungu.Leo hii nenda muhimbili wagonjwa sugu wanapona ni Mungu huyo anatenda!
 
Back
Top Bottom