Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Utendaji wake ni wa kupigiwa mfano, ni kisiki cha mpingo. Tangu ameikamata dola amefanya mambo makubwa ambayo sisi wanyonge, walala hoi na walala hee hatukuyatarajia maana tumezoea wanasiasa wanapopata madaraka wanatugeuka, lakini imekuwa tofauti kabisa kwa Jembe MAGU ambapo yeye anaenenda na kutembea kwenye maneno yake.

NAMUOMBA AENDELEE KUYATUMBUA MAJIPU YALIYOSALIASALIA ILI YAISHE KABISA HATIMAYE TUIONE TANZANIA YENYE NEEMA.

TANZANIA KUIFADHILI MAREKANI INAWEZEKANA. KILA MTU AWAJIBIKE IPASAVYO KWA NAFASI YAKE ALIYOPO.
 
Akamvushe mama yako anayetahabika kijijini kwenu chato

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haijapata kutokea nchi kuwa na Rais anayeongea kweli tupu huku akisimamia nidhamu, uadilifu na uchapakazi kama alivyoahidi kwenye kampeni. Magufuli ni mtu pekee alieonyesha kusimama pale pale aliposimamia juzi jana na leo, tunatarajia abaki hapo hapo na kesho, kesho kutwa na mtondogoo. huyu ni rais wa mioyo ya watu, THE PRESIDENT WE WANTED. ASANTE MUNGU KWA ZAWADI HII NONO KWA WATANZANIA. TULINDIE IDUMU NASI TUNAMUOMBEA.

SWALI LINALOGONGA VICHWA VYA GREAT THINKERS NI JE, WANAOMPINGA MAGUFULI, WANAMUUNGA MKONO SHETANI? MAANA SHETANI NI MPINZANI WA MAMBO MEMA NA YA KHERI ILI ATUINGIZE MOTONI.
 
Tanzania ina mijitu ya ajabu sana, sikutarajia ajitokeze mtu yeyote kumpinga rais wetu mpendwa MAGUFULI KWA JINSI ANASHUGHULIKIA WAHALIFU
 
Kweli huyu ndiye rais niliyemsubiri kwa miaka mingi sana. Sikuhizi yule jamaa yangu aliyekuwa anafanya kazi pale halmashauri ya manispaa ya kinondoni simuoni tena. Yaani yeye alikuwa anatembepea maeneo mawili tu. Kwenye ATM na BAR. Anajifanya eti yuko serikalini ndo maana hafanyi kazi. Na kama wiki hivi sijamwona alafu nikimpigia simu anasema yuko busy. ***** ngoja aje amkute hayuko apigwe chini ntacheka alafu hata hana nyumba.
Magufuli hebu mtembelee na huyu umfinye kidogo ajifunze kuishi kwa kuchubuka kama sisi
Roho ya kimasikini.
Unafurahi kuona mwenzako anateseka kama wewe.
 
Anatekeleza Sera za Chama gani? kama ni zile zile za chama kile, HATUWEZI KUVUKA. Pure facts, no political correctness.
 
Back
Top Bottom