Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Post kama hzi akisoma Mange kimambi hata pozi la kugegedwa linamuishia na msaliti aliyeko Nairobi akisoma post kama hii nahsi vidonda vinaanza kuuma upya..duh
 
Makufuli si nizile za kubania malango!
Kuna Rais anaitwa makufuli,,?
Yaani umemng,ong'a Live alafu mshamba mmoja anakutetea.
 
Post kama hzi akisoma Mange kimambi hata pozi la kugegedwa linamuishia na msaliti aliyeko Nairobi akisoma post kama hii nahsi vidonda vinaanza kuuma upya..duh
Akili yako Na mtoa mada zinaendana!
Ndio maana mnavizia mamod wakilala kuleta vithread uchwara hapa jf
 
Yaani Kati ya vitu vinavyonifurahishaga ni hawa wanaojiita watu wa lumumba...huwa Ni mazwazwa hawajuagi kujenga hoja kabisa..hivi ukisoma hiyo thread hata mara2 hupati hamu ya kusoma,ukisoma Mara ya kwanza tu inaboaa..hey muwe mnajifunza kujenga hoja ,mtu mwenye akili timamu unajengaje hoja kizembe hivyo, wakati kuna evidence na ushahidi woote kuwa jamaa yako uliyemwita makufuli ni muongo anahadaa wananchi..pande 3 zote yaani barrick Accasia na GoT zimetofautiana kauli..makufuli wako Ni muhuni tu mpiga deal...
Shame on u poor gal
 
Miji2 mingine bhn.....sa si ungempgia direct ukampa hizo pongezi zako.....kupotezeana usingizi 2 nyt kal hii.....ka huna ile namba yake ya airtel sema nkupm....
 
Makufuli si nizile za kubania malango!
Kuna Rais anaitwa makufuli,,?
Yaani umemng,ong'a Live alafu mshamba mmoja anakutetea.

Akili yako Na mtoa mada zinaendana!
Ndio maana mnavizia mamod wakilala kuleta vithread uchwara hapa jf

Yaani Kati ya vitu vinavyonifurahishaga ni hawa wanaojiita watu wa lumumba...huwa Ni mazwazwa hawajuagi kujenga hoja kabisa..hivi ukisoma hiyo thread hata mara2 hupati hamu ya kusoma,ukisoma Mara ya kwanza tu inaboaa..hey muwe mnajifunza kujenga hoja ,mtu mwenye akili timamu unajengaje hoja kizembe hivyo, wakati kuna evidence na ushahidi woote kuwa jamaa yako uliyemwita makufuli ni muongo anahadaa wananchi..pande 3 zote yaani barrick Accasia na GoT zimetofautiana kauli..makufuli wako Ni muhuni tu mpiga deal...
Shame on u poor gal

Mtu mwenye akli timamu hapotezi mda kujibu hoja mfu....akli zenu ni sawa na za mtoa uzi na huenda anawazidi..kiufupi kinachowasumbua ni chuki tu na hii inawezatokana na kukosa ajira au kufukuzwa kazi
 
Serikali ya awamu ya tano imeonyesha njia kuwa nchi inaweza kutumia makusanyo ya ndani katika kutekeleza miradi ya maendeleo.

Rais Dr Magufuli akitoa vyeti kwa wajumbe wa kamati za madini kufuatilia makinikika jana Ikulu alieleza baadhi ya miradi inayotumia pesa za ndani katika utekelezaji wake mfano Barabara ya kutoka Kigoma mpaka Nyakanazi,na barabara zingine, Ununuzi wa meli kubwa ziwa Victoria,mradi wa umeme Stiglers,ujenzi wa reli standard gauge n. k

Kwa muelekeo huu itafika mahali nchi itasimami kwa miguu yake yenyewe na hata maneno ya Dr Magufuli kuwa hii nchi itakuwa donors country itatimia
 
Habari wanaJf, kipindi tunaelekea uchaguzi mkuu mwaka 2015 , kelele nyingi kwa watanzania wengi ilikuwa ni kumpata RAIS mkali na mwenye maamuzi magumu , na hii ilitokana na uongozi wa Rais Kikwete kuonekana kutokuwa sawa katika masuala mbalimbali ya kiuongozi na kuchukua hatua sitahiki juu ya vitendo vya;
  • Ufisadi
  • Matumizi mabaya ya madaraka
  • Rushwa
  • Kutowajibika kwa viongozi juu ya tuhuma mbalimbali.
Sasa baada ya kumpata Rais Magufuli na ameshaonesha kiu ya wananchi walichokuwa wakihitaji maamuzi magumu na ukali juu ya rasilimali za nchi watu wamegeuka na kusema anakiuka sera , sheria na kiujumla KATIBA ya nchi hii.. Kitu ambacho si kweli !! Sasa mpewe nini watanzania !! Kifupi tumepata hitaji letu!!

Pambana na hali yako acha kulalama wewe!!

Nasubiri mapovu kutoka kwa waleeeeeeee!!!!

M.J.Kipoma
IRINGA
TANZANIA
 
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.

Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!

Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!

Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.
kuwakataa haitoshi wapotezwe kabisa tubaki na watu wa ndioo tu,
 
Mheshimiwa Magufuli ni mpango wa Mungu katika Taifa hili. Amerudisha nidhamu na uwajibikaji serikalini na kila mtu sasa anakula kwa jasho lake. Wale wachache wasaliti wa Taifa ni kuwashughulikia tu hadi wakione cha moto. Huu sio wakati wa lelemama na kuchekeana. Ikulu tumeenda kufanya kazi ya watanzania na sio kukenua meno au kutafuta wachumba. VIVA MAGU, JULIUS NYERERE WA PILI, 2020-2025 TENAAAAAAAAAAAAAA.
 
Kiukweli Raisi Magufuli Anastaili Pongezi Kubwa Sana, Kwa Wanaombeza Tusishughulike nao Pasipo Shaka Wana Matatizo yao Ambayo mimi Binafsi huwa siyaelewi.
 
Maendeleo ni pamoja na kuruhusu mawazo mbadala, mijadala huru, kukosoana kwa hoja na shughuli za kisiasa. Huwezi kujenga nchi yenye umoja na mshikamano kama ukizuia mambo hayo kufanyika.
 
Habari wanaJf, kipindi tunaelekea uchaguzi mkuu mwaka 2015 , kelele nyingi kwa watanzania wengi ilikuwa ni kumpata RAIS mkali na mwenye maamuzi magumu , na hii ilitokana na uongozi wa Rais Kikwete kuonekana kutokuwa sawa katika masuala mbalimbali ya kiuongozi na kuchukua hatua sitahiki juu ya vitendo vya;
  • Ufisadi
  • Matumizi mabaya ya madaraka
  • Rushwa
  • Kutowajibika kwa viongozi juu ya tuhuma mbalimbali.
Sasa baada ya kumpata Rais Magufuli na ameshaonesha kiu ya wananchi walichokuwa wakihitaji maamuzi magumu na ukali juu ya rasilimali za nchi watu wamegeuka na kusema anakiuka sera , sheria na kiujumla KATIBA ya nchi hii.. Kitu ambacho si kweli !! Sasa mpewe nini watanzania !! Kifupi tumepata hitaji letu!!

Pambana na hali yako acha kulalama wewe!!

Nasubiri mapovu kutoka kwa waleeeeeeee!!!!

M.J.Kipoma
IRINGA
TANZANIA
 
Jaman huyu rais hatotokea tena speed yake hata cheater anaachwa kule...
Jamaa anamalengo kelele kaziba masikio anasubiria matokea nawote macho kodo uku mkiandika legacy yake..
Mjamaa ametisha jamani
Alafu sysyem wanamsaidia sana mawaziri wambea kule..
 
Back
Top Bottom