Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Wakati wa mchakato wa kumpata mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2015 Rais Magufuli kwa maoni ya watanzania wengi walimpa nafasi ndogo ya kuwa mgombea urais kupitia CCM hata yeye mwenyewe aliwahi kukiri ali beep na ikaiitikia.

Kwa muda wa utawala wake Mheshimiwa Rais Magufuli amefanya mambo ambayo nina uhakika hakuna mgombea yeyote ndani ya CCM na nje ya CCM angeweza kufanya.

Ninaposema Rais Magufuli ni chaguo la Mungu ni kuwa taifa linapozidi Ufisadi na Dhuluma mwenyezi mungu huleta kiongozi kama Rais Magufuli ili aje kuondoa hiyo dhuluma na ufisadi kwenye ardhi ya Tanzania.

Madhambi yakipungua mwenyezi mungu hushusha neema leo sehemu nyingi mfumko wa bei ya chakula umeshuka kwa kiasi kikubwa.

Mheshimiwa Rais Magufuli wewe chapa kazi na ufahamu kuwa Mwenyezi Mungu yupo nyuma yako hawa wanaojiita watetezi wa Demokrasia walikuwa wanaipeleka nchi hii kubaya sana.

Haya tena. Mleta mada ni mtaalam mwingine tena anayedandia basi kwa mbele. Kadhri siku zinavyoenda, udandiaji wa namna hii umetumika kuwavusha wengi na hata kupelekea wadandiaji kadhaa kupata teuzi kubwa kubwa.

Nakutakia uteuzi mwema. Ila ngoja tueleze uhalisia ili angalau taifa lisiwe duwanzi moja kwa moja.

Iukua kwa uchumi hakupimwi kwa kuteremka mfumuko wa bei pekee. Ni lazima uangalie na indicator nyingine, hususan kukua kwa pato la taifa kwa kichwa (GDP per capita). Tanzania tulifikia gdp pc ya juu kabisa mwaka 2013, ambapo ukubwa wa uchumi ulimaanisha kila mtanzania anazalisha wastani wa usd 902 kwa mwaka. Tulibakiza usd 100 tu kufikia kiwango cha uchumi wa kati, yaani usd 1,005 kwa mwaka. Leo hii gdp pc imeshuka mpaka usd 810, na inaendelea kuporomoka kwa sababu kasi ya ukuwaji wa uchumi uko chini kufuatia uwekezaji kupungua na biashara kufungwa.

Kupungua kwa bei ya vitu inaweza ikatokea kufuatia uchumi kupormoka, kwani mzunguko wa hela unakuwa pungufu kuliko huduma zinazozalishwa katika eneo. Watoa uuduma wanapunguza bei ili angalau wapate chochote, lakini katika kufanya hivyo, wanakuwa hawapati faida linganifu na juuudi zao na mwisho wanafunga biashara. Hii inapelekea uchumi kuendelea kusinyaa mpaka huduma zinazotelewa zilingane na mzunguko uliopo. Nilishangaa sana siku nilisikia mwanasiasa anasifia mapango ya nyumba kupungua... ni dalili ya kutoelewa mambo. Kati ya viashiria vikubwa kabisa ya uchumi kusinyaa, ni kupungua kwa bei za nyumba, ikiwapo na bei ya pango.
 
Kwanza Mh ...Rais anabid ...aje akanushe...kuhusu tuhuma za kuzaa na mke wa Mtu....maana Rais wetu tunampenda sana....maana huku mtaani wanasema kuwa Mh rais aliimpa mimba Angera kailuki......[HASHTAG]#kwaiyo[/HASHTAG]. ...sisi Mh Rais tunakupenda sana.
unastahili kutekwa na kutupwa baharini!
 
Hata Mimi ni chaguo la MUNGU, sidhani ama kuna mtu ambaye nichaguo la shetani.....MUNGU anaweza kumchagua Mtu ili mtu huyo akamilishe mission fulani ya MUNGU, rejea kisa cha Nabii Amos ambaye alienda kumuoa Kahaba na akapata watoto na kahaba. Je, huyu hakua chaguo la MUNGU?? Alikua chaguo la MUNGU ila kwa Special Mission, mifano iko mingi sana sanaa, Rejea pia kisa cha Yehoshafati ambaye aliweka nadhiri kwa MUNGU kuwa endapo atashinda vita basi siku akirudi salama nyumbani kwake, chochote kitakochotoka kumlaki cha kwanza atakitoa dhabihu ya kuteketezwa kwa MUNGu, imagine what> Aiyetoka ni binti yake wa pekee, na jamaa alitekeleza kiapo chake, je huyu nae hakua chaguo la mUNGU? Daudi je? Mke wa Uzia? Mke wa Lutu? Binti wa Lutu? Kijana Solomon?

Kila mtu ni chaguo la MUNGU kwa special mission, kwahio usitutishe na mambo ya chaguo la MUNGU, kumbuka kisa cha Ayubu, mali zake zote ziliteketea na hii na baada ya maongezi ya MUNGU na shetani.....issue hapa ni chaguo la MUNGU kwa mission ipi?? Ya kututia umaskini? ya kutufarakanisha? au kutuunganisha?? I rest my case.
 
Kwanza Mh ...Rais anabid ...aje akanushe...kuhusu tuhuma za kuzaa na mke wa Mtu....maana Rais wetu tunampenda sana....maana huku mtaani wanasema kuwa Mh rais aliimpa mimba Angera kailuki......[HASHTAG]#kwaiyo[/HASHTAG]. ...sisi Mh Rais tunakupenda sana.
Kuja na hoja za kijinga dhidi ya Mheshimiwa Rais ni kukosa malezi na adabu
 
Hata Mimi ni chaguo la MUNGU, sidhani ama kuna mtu ambaye nichaguo la shetani.....MUNGU anaweza kumchagua Mtu ili mtu huyo akamilishe mission fulani ya MUNGU, rejea kisa cha Nabii Amos ambaye alienda kumuoa Kahaba na akapata watoto na kahaba. Je, huyu hakua chaguo la MUNGU?? Alikua chaguo la MUNGU ila kwa Special Mission, mifano iko mingi sana sanaa, Rejea pia kisa cha Yehoshafati ambaye aliweka nadhiri kwa MUNGU kuwa endapo atashinda vita basi siku akirudi salama nyumbani kwake, chochote kitakochotoka kumlaki cha kwanza atakitoa dhabihu ya kuteketezwa kwa MUNGu, imagine what> Aiyetoka ni binti yake wa pekee, na jamaa alitekeleza kiapo chake, je huyu nae hakua chaguo la mUNGU? Daudi je? Mke wa Uzia? Mke wa Lutu? Binti wa Lutu? Kijana Solomon?

Kila mtu ni chaguo la MUNGU kwa special mission, kwahio usitutishe na mambo ya chaguo la MUNGU, kumbuka kisa cha Ayubu, mali zake zote ziliteketea na hii na baada ya maongezi ya MUNGU na shetani.....issue hapa ni chaguo la MUNGU kwa mission ipi?? Ya kututia umaskini? ya kutufarakanisha? au kutuunganisha?? I rest my case.
Hakuna linaweza kutendeka kwenye Planet hii bila baraka ya Mwenyezi Mungu.
 
Kwa niaba ya wanachadema wenzangu wote tuliokuwa tukipigania unayoyatekeleza leo na tuliobaki na akili zetu, napenda kukutakia Valentine day yenye FURAHA tele!

Wenye akili zetu tunajua hatukuchagua malaika, hivyo kama binadamu kasoro haziwezi kukosekana, lakini ukweli RAIS wetu unajitahidi saaaaana kutimiza wajibu wako tofauti na tulivyokuwa tumezoea huko nyuma.

Kwa muda mfupi wenye macho tumeona jinsi ulivyoirudisha nchi kwenye mstari.

Tunakuombea Mwenyezi Mungu azidi kukulinda ili ndoto zako kuistawisha jamii ya watanzania na kukomesha UFISADI na uonevu kwa raia wa Tanzania ziweze kutimia.

Nilikupigia kura wewe na kumuacha yule jamaa mliyetuuzia kwenye chama chetu kwa sababu nilikuamini kutokana na historia yako.

SIJAWAHI KUIJUTIA KURA YANGU KWAKO kwa sababu kila siku umekuwa UKINIBARIKI kwa matendo yako.

Nakuombea Mungu azidi kukutia nguvu na ujasiri, usiweze kukatishwa tamaa na kelele za makamanda UCHWARA wanaohangaika baada ya kuwasaliti wananchi2015.
 
hee,bado tuna safar ndefu!!

Mpeni kwanza Tundu lissu pesa yake ya matibabu kama mlivofanya kwa yule anayeugulia huko INDIA! hii nchi ni ya kwetu wore wala siyo ya wanaCCM pekee!!
Mkumbuke kuna wananchi hatumo kwenye chama chochote!!!
 
Ukweli tu kitu cha mshingi kitakachotuweka HURU na si vinginevyo. Huwezi kuwa mbaya kuafanya mabaya yote na huwezi kuwa mwema kisha mwisho wa siku ukajikuta ukifanya mema yote.

Hongera mkulu japo tunaomba Demokrasia ya kweli na uhuru wa vyombo vya Habari.

Amina/Amen
 
Jpm kaleta maendeleo makubwa sana. Wananch wa hali ya chini wanafurahia maisha yao tofauti na kipindi cha jk.
Kipindi cha jk migodini tu watu walikuwa wnafunikwa na kufa kimya kimya pale bulyanhulu kana kwamba serikali haipo. Kodi zimeondoka hivyo hada baba yangu anayelima kijijini anapata faida.
Ameleta heshima ya msomi japo ajira bado changamoto. Serikalini walikuwa wamejaa ambao hawana vyeti na hewa na ndo hao walikuwa wakitudharau wasomi kuwa siku hizi kusoma ni kupoteza mda tu.

Mi nakumbuka niliajiliwa na mtu mmoja darasa la saba lakini anafanya kazi benki ya posta kama manager. Alikuwa anatutukana hadharani magraduates kuwa hatuna akili kumbe alikuwa hana akili.

Leo hii pale kampala university wamemwaga ajira kama mvua mana zilikuwa zimezibwa na wasiofaa tunaofaa tuko mtaani tu wala jk hajari.

Kwanza nikisikia unamsema vibaya jpm nakuchapa hata kosa. Graduates were nothing but they are slowly becoming something.

Akina mwaka na hawa wengine wa herbal clinics walikuwa wanawdharau sana madaktari waliosomea. Leo madaktari wako betteroff na akina mwaka wamekimbia nchi.

Nchi ilikuwa imeoza kila kona halafu hata wachungaji uchwara wameemerge na kuwadanganya watu kuwa maendeleo ni tatu mzuka na si kufanya kazi kwa juhudi. Leo hii wanaanza kutapatapa angalia akina gwajima jawalopoki tena mana watu wana akili sasa hawadanganya jpm kawafungua akili. Angalia kanisa la kweli linalosisitiza kazi linavyoflourish i.e roman catholic
 
Raisi wetu ni mzuri, ila yako mengine anayaacha tu.
Huyu magufuli ni mzuri akiwa nje ua ccm. Chama ndicho kinamhalibu.
NAMPENDA KWA %89 LAKINI NAICHUKIA CCM
 
Kweli magufuli baba nimeamini ujio wako ni mpango wa mungu

Ujio wako ni mpango wa mungu wa kubadilisha nchi hatimaye kutawaliwa na chama kingine


Ujio wako umewapa wapinzani njia nyeupe ya kukuandama


ujio wako ni fursa kwa watanzania na wanazidi kuamka


Ujio wako ni njia ya kuelekea ukombozi baada ya miaka 55 ya ukoloni mamboleo wa chama


Najivunia juu ya hili na wala sitojuta kuzungumza haya


Nimalizie kwa kurudia kusema kuwa ujio wa magufuli ni mpango wa mungu wa kubadilisha utawala na mfumo wa nchi yetu tulozoea kutawaliwa na chama cha mapinduzi kuja kwa vyama vingine

Asante baba kwa kutuonyesha njia


Mwaka huu unalo baba!
 
1. AMEFANIKIWA KWA KIASI KUPUNGUZA MATUMIZI YASIYO YA LAZIMA 2.AMEKUNGUZA UZEMBE KAZINI KWA WATUMISHI 3.AMEWABANA WATUMISHI WA UMMA HILI TABAKA LA WATU WACHACHE KITENDO HIKI KINAFANYA TABAKA LA WASIO WATUMISHI NA WENGI WAMSHANGILIE . Kwa msemo bora wote tukose . 4. ANALINDA RASILIMALI ZA TAIFA MADINI,WANYAMAPORI, Kwa faida ya vizazi vijavyo 5. Mh JPM Ndiye mzalendo wa kweli tumuunge mkono kulinda rasilimali CONSERVATIVE right wing 6.ANAFANYA MAMBO AMBAYO UPINZANI WALITUAMBIA kama elimu bure,kupambana rushwa,ufisadi, 7.MWISHO NAULIZA TULIAMBIWA KATIBA YETU MBOVU INAFAA KUBADILISHWA. Basi nashangaa sana mtu anaposema Rais haheshimu katiba
 
Back
Top Bottom