Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Watanzania tutakulipa nini?

Reli ya kisasa... wewe

Kinyerezi two... wewe

Bombardier....wewe

Kuhamia Dodoma...wewe

Ubungo interchange project....wewe

Bomba la gesi.....wewe.

ukuta mererani ...wewe

Fly over....wewe

"Hakika mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni"

Kura yangu 2020 ni kwa Dk.John pombe Joseph Magufuli.View attachment 754685
Wasijulikana ____wewe[emoji196] [emoji218] [emoji379] [emoji61]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Watanzania tutakulipa nini?

Reli ya kisasa... wewe

Kinyerezi two... wewe

Bombardier....wewe

Kuhamia Dodoma...wewe

Ubungo interchange project....wewe

Bomba la gesi.....wewe.

ukuta mererani ...wewe

Fly over....wewe

"Hakika mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni"

Kura yangu 2020 ni kwa Dk.John pombe Joseph Magufuli.View attachment 754685
Sawa mkuu, ushauri wako utazingatiwa. Atanyongwa na haki zake zote atazikwa nazo kama ndugu zake hawata-mind!![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watanzania tutakulipa nini?

Reli ya kisasa... wewe

Kinyerezi two... wewe

Bombardier....wewe

Kuhamia Dodoma...wewe

Ubungo interchange project....wewe

Bomba la gesi.....wewe.

ukuta mererani ...wewe

Fly over....wewe

"Hakika mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni"

Kura yangu 2020 ni kwa Dk.John pombe Joseph Magufuli.View attachment 754685
Mpuuz umesahau airport ya chato,hosp chato,umesahau aiport hizo mpya ,bomoa bomoa ya kimara ili kujengwe bara bara 10 juu na chini,,

1.5 trilion ,,,, nyamaaaaaa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kama ww amekupa uteuzi sawa,ila kazi yake haijareflect maisha ya jamii yangu
 
True leaders never seek followers,followes are attracted to the gift of the leader.He doesnt take us where we want to go,they are not our priorities
 
Watanzania tutakulipa nini?

Reli ya kisasa... wewe

Kinyerezi two... wewe

Bombardier....wewe

Kuhamia Dodoma...wewe

Ubungo interchange project....wewe

Bomba la gesi.....wewe.

ukuta mererani ...wewe

Fly over....wewe

"Hakika mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni"

Kura yangu 2020 ni kwa Dk.John pombe Joseph Magufuli.View attachment 754685
kwani alitoa fedha zake mfukoni?
 
Watanzania tutakulipa nini?

Reli ya kisasa... wewe

Kinyerezi two... wewe

Bombardier....wewe

Kuhamia Dodoma...wewe

Ubungo interchange project....wewe

Bomba la gesi.....wewe.

ukuta mererani ...wewe

Fly over....wewe

"Hakika mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni"

Kura yangu 2020 ni kwa Dk.John pombe Joseph Magufuli.View attachment 754685

Nami lazima nirudi nije kumpa Kura yangu. Jembe.
 
1.5 trolioni yeye jamani jamani hivi ndo kala jelemiah na roma waliimba nyimbo gani. Ile ya ahadi
 
Watanzania tutakulipa nini?

Reli ya kisasa... wewe

Kinyerezi two... wewe

Bombardier....wewe

Kuhamia Dodoma...wewe

Ubungo interchange project....wewe

Bomba la gesi.....wewe.

ukuta mererani ...wewe

Fly over....wewe

"Hakika mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni"

Kura yangu 2020 ni kwa Dk.John pombe Joseph Magufuli.View attachment 754685
😀😀 acha nicheke tu....jana nimepata mlo mmoja,sijui kesho itakuwaje,,lakini mungu yupo
 
Mintauliza maswali na naomba unisaidie;

hayo yoote uliyoyataja ni mema kabisaaaaaaa.

lakini je yamebadilishaje maisha ya mtanzania wahali ya chini!!! Yaani namaanisha yame mwezeshaje mtanzania wahali duni sasa;-

*Kuishi kwenye nyumba bora

*Kupata mlo bora

*Kupata huduma za afya bora

*Kupata kipato kinacho muwezesha kuwa na akiba

*Kupata elimu bora

*Kutatua shida ya maji safi na salama


-Lakini je, yote uliyo yataja hapo juu yamekamilika kwa asilimia 100? Na je yote yameanza awamu hii ya tano? Je unaweza kutupa mpaka sasa yamechangia ukuaji wa kipato na uchumi kwa mtanzania kwa kiasi gani?

Lakini je nikweli bombadia imemfaidisha mtanzania wa chini? Na nikweli watanzania walio wengi wanao uchumi wa kupanda bombadia ya one way mwanza dar inayo zidi laki300

Na je umeme wa gesi umekuwa wa gharama ya chini kuchochea viwanda vingi kuzalisha bidhaa nyingi kwa kutoa ajira na mapato kama ilivyo bainishwa hapo awali?? Unaweza kufafanua nikiasi gani kimesha wekezwa kwenye bomba hili na mpaka sasa tuna kiasi gani au tunatarajia faida kiasi gani?

Na je kutumia majengo ya chuo kikuu cha dodoma kama wizara wakati bado kuna maelfu ya wanafunzi wameachwa mtaani kwa kukosa mikopo while chuo kilijengwa kuhimili idadi kubwa ya wanachuo kunatija kwa watanzania? Je tuliamia dodoma tukakake udom au??

Nikweli ukuta wa mererani umezuia utoroshwaji madini na upotevu wakodi mpaka sasa? Mpaka leo ni kiasi gani sasa tumeokoa toka kujengwa kwa ukuta ule??

Mikataba ya madini inasemaje??




Ntashukuru ukinisaidia best!
 
Back
Top Bottom