Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mleta thread, sehemu salama unayotakiwa kuwepo kwa wakati huu ni Mirembe tena ktk uangalizi mkali wa daktari bingwa wa magonjwa ya 'kichwa'.
 
Utanyooka tu hata ukiwa nje ya nchi. Ndugu zako mafisadi huku wananyoshwa pole mkuu!!
Fisadi gani amenyooshwa? mafisadi wote bado wapo ccm na wanadunda. si umeona wamelamba 1.5 trillion za walipa kodi bila aibu. Pambaf kabisa!
 
Dr Magu sio mtu wa kubadirisha msimamo wala hatishiki na haogopi kelele za wengine.Hakuna haja ya kupoteza muda kumyoshea kidole kuwa ata change gear angani,NEVER.Ndio Raisi wetu hadi 2020 na labda hadi 2030.Tushaabiwa tupambane na hali zetu.
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Huyu ndiye Rais tuliyemsubiri kwa miaka mingi kwa sasa yupo na ataendelea kuwepo hadi 2025 panapo uhai. Hupendi kunywa sumu ufe. Endeleeni kutengeneza movie zisizo na mvuto

Hakuna kazi ngumu kama "Kumuamsha aliejifanya Amelala".

Mkuu wewe yote yanayotokea haya huyaoni wala kusikia.
 
Utanyooka tu hata ukiwa nje ya nchi. Ndugu zako mafisadi huku wananyoshwa pole mkuu!!
nitajie mafisadi 10 tu ambao wamenyooka mpaka sasa! anza na wale wa escrow. usinitajie wale kina rugemalila wala manji. taja hawa kina chenge. kisha malizia na wale wa makinikia. na utwambie 1.5 trilion zipo wapiiiiiiiiiiiiiiii
unajisifia mafisadi kunyooka inatusaidia nini sisi wakati bajeti za maendleo hazifiki. only 22%
 
Huelewi kitu wewe dogo tulia dawa ikuingie vizuri
 
Hii thread ni ya kumtakia dhihaka. Nadhani nia yako ni kuona anatukanwa.
 
Fisadi gani amenyooshwa? mafisadi wote bado wapo ccm na wanadunda. si umeona wamelamba 1.5 trillion za walipa kodi bila aibu. Pambaf kabisa!
Wewe sitayari umenyooshwa ulizoea ubabaishaji sasa mpaka unajiita pilipili kichaa kwa sababu umenyooka umebaki kutoa mapovu ambayo hayana madhara yoyote hata watz waliowengi wameshawaelewa hawana muda na watoa mapovu kama wewe! Wakina BAK wako wapi?
 
Ila wako wasaidizi wake wanampaka matope mkuu kwa kiwango cha kutisha. Kama huyu wa uhamiaji zile juhudi zote zilizo fanywa kuhusu ardhi yetu ambayo ndio urithi hata maskini wa nchi alionao yeye kazitupia kapuni. Wote tuna kumbuka katika kuilinda ardhi yetu tukafikia mahali kuwa acha wenzetu wa songe mbele kwenye mchakato wa EAC. Maajabu makubwa sasa huyu mkurugezi wa uhamija kaona juhudi zile zilikuwa za kijinga kaamua kuwagawia Warudi bwerere kabisa.
 
Politics of phenomenom.

Wanasiasa na malofa ya akili yameishiwa hoja yamebaki na siasa za uzushi zisizo na tija.

Mr President JPM anasonga mbele 2020 mtatoka vichwa mnainamisha chini.
Shida ya kuongozwa na Madj ndio hiyo wenzenu wanaweka maprofesa na ma Dr.
 
Mkuu ukiona Prof na Dr anaamini mwenge unaleta maendeleo basi ujue hapo taifa lina kazi. Sasa kama utaratibu tu wa kufanya usafi kila mwezi umewashinda hapo unatarajia kuna jipya? Ww gumboots zako na koti la kufanyia usafi kumuunga mkono rais umetupa wapi, au uchafu uliisha? 1.5t ukweli unaanza kujongea taratibu.
 
Politics of phenomenom.

Wanasiasa na malofa ya akili yameishiwa hoja yamebaki na siasa za uzushi zisizo na tija.

Mr President JPM anasonga mbele 2020 mtatoka vichwa mnainamisha chini.
Shida ya kuongozwa na Madj ndio hiyo wenzenu wanaweka maprofesa na ma Dr.
Kuna jinsi ya kuandika post ikavutia na kumjenga unayemsifia... Huu ulioandika ni upuuzi na umemharibia kijuha mno
 
Politics of phenomenom.

Wanasiasa na malofa ya akili yameishiwa hoja yamebaki na siasa za uzushi zisizo na tija.

Mr President JPM anasonga mbele 2020 mtatoka vichwa mnainamisha chini.
Shida ya kuongozwa na Madj ndio hiyo wenzenu wanaweka maprofesa na ma Dr.
Uzushi uko wapi hapo??

Je mathalani pesa trillion 1.5 hazijapotea katika mazingira ya kutatanisha??

Tuelezeni ziko wapi pesa trillion 1.5 ambazo ni pesa za walipa kodi wa nchi hii. OVA
 
Back
Top Bottom