Bajeti ya kunguru
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 1,379
- 1,069
Kwakweli katiba ingebadilishwa tu tumuondolee ukomo tulikuwa tushapoteza uelekeo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fisadi gani amenyooshwa? mafisadi wote bado wapo ccm na wanadunda. si umeona wamelamba 1.5 trillion za walipa kodi bila aibu. Pambaf kabisa!Utanyooka tu hata ukiwa nje ya nchi. Ndugu zako mafisadi huku wananyoshwa pole mkuu!!
Huyu ndiye Rais tuliyemsubiri kwa miaka mingi kwa sasa yupo na ataendelea kuwepo hadi 2025 panapo uhai. Hupendi kunywa sumu ufe. Endeleeni kutengeneza movie zisizo na mvuto
Na ukirudi moto ukuwakie au inabidi ubebe mabox mpaka uwe bibi kizee huko huko!!lilafi halina kiasi na alitosheki linaiba hadi rambirambi
Yapi ya kushughulikiwa mafisadi kama wewe??!!Hakuna kazi ngumu kama "Kumuamsha aliejifanya Amelala".
Mkuu wewe yote yanayotokea haya huyaoni wala kusikia.
nitajie mafisadi 10 tu ambao wamenyooka mpaka sasa! anza na wale wa escrow. usinitajie wale kina rugemalila wala manji. taja hawa kina chenge. kisha malizia na wale wa makinikia. na utwambie 1.5 trilion zipo wapiiiiiiiiiiiiiiiiUtanyooka tu hata ukiwa nje ya nchi. Ndugu zako mafisadi huku wananyoshwa pole mkuu!!
Utaondoka wewe kwanza na mzoga wako utaliwa na mbwa mwitu!Kile kibetriii chake kwenye moyo wake kitaisha charge kabla ya 2020. Iyo 2025 ataiona wapi?
Huelewi kitu wewe dogo tulia dawa ikuingie vizurinitajie mafisadi 10 tu ambao wamenyooka mpaka sasa! anza na wale wa escrow. usinitajie wale kina rugemalila wala manji. taja hawa kina chenge. kisha malizia na wale wa makinikia. na utwambie 1.5 trilion zipo wapiiiiiiiiiiiiiiii
unajisifia mafisadi kunyooka inatusaidia nini sisi wakati bajeti za maendleo hazifiki. only 22%
Ukinunua dai Risiti na ukimsifia dai katiba mpya
Wewe sitayari umenyooshwa ulizoea ubabaishaji sasa mpaka unajiita pilipili kichaa kwa sababu umenyooka umebaki kutoa mapovu ambayo hayana madhara yoyote hata watz waliowengi wameshawaelewa hawana muda na watoa mapovu kama wewe! Wakina BAK wako wapi?Fisadi gani amenyooshwa? mafisadi wote bado wapo ccm na wanadunda. si umeona wamelamba 1.5 trillion za walipa kodi bila aibu. Pambaf kabisa!
Politics of phenomenom.
Wanasiasa na malofa ya akili yameishiwa hoja yamebaki na siasa za uzushi zisizo na tija.
Mr President JPM anasonga mbele 2020 mtatoka vichwa mnainamisha chini.
Shida ya kuongozwa na Madj ndio hiyo wenzenu wanaweka maprofesa na ma Dr.
Kuna jinsi ya kuandika post ikavutia na kumjenga unayemsifia... Huu ulioandika ni upuuzi na umemharibia kijuha mnoPolitics of phenomenom.
Wanasiasa na malofa ya akili yameishiwa hoja yamebaki na siasa za uzushi zisizo na tija.
Mr President JPM anasonga mbele 2020 mtatoka vichwa mnainamisha chini.
Shida ya kuongozwa na Madj ndio hiyo wenzenu wanaweka maprofesa na ma Dr.
Uzushi uko wapi hapo??Politics of phenomenom.
Wanasiasa na malofa ya akili yameishiwa hoja yamebaki na siasa za uzushi zisizo na tija.
Mr President JPM anasonga mbele 2020 mtatoka vichwa mnainamisha chini.
Shida ya kuongozwa na Madj ndio hiyo wenzenu wanaweka maprofesa na ma Dr.
Idiotic imbecile.Politics of phenomenom.