Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yapi mkuuHii ni post yako ya 29 inaonekana wewe ni kati ya wanaotekeleza maombi ya Ndugai
Yapi mkuu
Hivi kumbe kazi mojawapo ya mwenge ni kufichua mafisadi?Nimeifuatilia kwa Karibu ziara ya Rais Magufuli katika mikoa ya Mwanza, Simiyu, Mara na Singida kwa kweli kasi ya kuibua maovu na kuyashughulikia kwa haraka imenifurahisha sana. Unapokuwa na Rais aina ya Dr Magufuli hauhitaji mwenge wala wapinzani kufichua uovu, serikali inatosha. Niishie hapo!
Mimi ni mstaafu mkuu!Unajitahidi sana, ipo siku na wewe utaonwa kwenye teuzi, endelea na moyo huo huo. Awamu hii inahitaji watu kama nyie.
Great thinkerNimeifuatilia kwa Karibu ziara ya Rais Magufuli katika mikoa ya Mwanza, Simiyu, Mara na Singida kwa kweli kasi ya kuibua maovu na kuyashughulikia kwa haraka imenifurahisha sana. Unapokuwa na Rais aina ya Dr Magufuli hauhitaji mwenge wala wapinzani kufichua uovu, serikali inatosha. Niishie hapo!
Bado yule aliepiga 1,5tNimeifuatilia kwa Karibu ziara ya Rais Magufuli katika mikoa ya Mwanza, Simiyu, Mara na Singida kwa kweli kasi ya kuibua maovu na kuyashughulikia kwa haraka imenifurahisha sana. Unapokuwa na Rais aina ya Dr Magufuli hauhitaji mwenge wala wapinzani kufichua uovu, serikali inatosha. Niishie hapo!