Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Hasira zako zielekeze kwa mme wa mama yako.

Bora tu ukae kimya kama utashindwa basi endelea kupiga kelele. Huna mamlaka yoyote juu yangu na hutakuwa na mamlaka dhidi yangu iwe leo, kesho na hata keshokutwa.

Ujuaji wa kipumbavu huo ungemuuliza mme wa mama yako kama umeutoa kwake au ni umeupata mtaani.

Yaani nitakupiga nakugeuza shoga, nakupiga utakimbia hutakaa uonekane huku, kipigo hadi sauti huta toa, utakuwa kibudu sasa hv, nyamafu wee, tena kwa mkono mmoja, nitakutia adabu, nyumbu pumbaf wee
 
Unanitishia kuniblock? Mimi [emoji3][emoji3][emoji3] hata hapa nimeblockiwa kwahiyo usinitishie kitu ambacho nimekizoea.

Mbona una mawazo mabovu namna hii!

Yaani nakugeuza kibudu, nitakupiga hadi hutajua chochote, huna adabu nyumbu wee... Hujawahi pigwa hata kidogo, utakojoa hata ukisikia unakanywa kitu, immediately utasikiliza, pumbaf, nasty
 
Umezalisha mashoga wangapi hadi sasa? mbona fikira zako zimekaa kwenye ushoga zaidi u mzima kweli?
Yaani nitakupiga nakugeuza shoga, nakupiga utakimbia hutakaa uonekane huku, kipigo hadi sauti huta toa, utakuwa kibudu sasa hv, nyamafu wee, tena kwa mkono mmoja, nitakutia adabu, nyumbu pumbaf wee
 
Kipindi akipiga kampen kuomba uraisi sikumwelewa mpaka ile siku anahutubia bunge kwa Mara ya kwanza kiukweli kamaneno Yale Mimi kwa kipindi hicho nilikuwa Sina kazi ila nilimuelewa Kama utajituma katika nafasi uliopo Basi taifa litakuwa mbali Sana nliona Kama nikiwa mkulima nikalima kuangalia soko Basi nitafanikiwa Kama nikiwa mfanyakaxi nikafanya kazi kwa bidii Basi taifa litafika mbali na Kama nikiwa mfanyabiashara na nikalipa Kodi Basi taifa litafika mbali sana.

Maneno yake mengi yanatoka moyoni hata ukimsikiliza tuu unaona n utashi binafsi na kiukweli inabidi afanye hvyo ili tufike mbali.

2. Kipindi anaongea na wafanyabiashara kwamara ya kwanza aliongea vitu vizuri tuu kibiashara kwa maana vitawanufaisha wait kibiashara na taifa kupitia ajira na ulipaji Kodi.

3. Yako mengi tuu kila analoongea anajaribu kuonyesha dira ya wapi tunatakiwa kuelekea lakini naona niwachache Sana wanamuelewa sio kwa wateuzi wake, watumishi, hata wananchi Kuna kitu kinaitwa siasa kwetu kinatumika vibaya Sana.

4. Hataleo hii akiongea kuhusu kikokotozi cha mafao kaongea vizuri mno sababu zile pesa kwenye mifuko wanapewa bure wao n kuangalia miradi ipi itaweza kuzalishwa kifaida nazile pesa ndo Mana kasema ile mifuko ikijipanga vizuri inaeza lips hata 70% ya pesa za mstaafu.

Binafsi NAMUELEWA Sana Rais MAGUFULI Kama watanzania tukiamini twende na spidi ya MAGUFULI kwa kila aliepokwenye nafasi yake ya kujenga taifa akasimama vizuri hii nchi tutang'aa Sana watanzania wenzangu niwaombeni tuache siasa za kutoitakia JEMA taifa letu Bali tupigane na yule anaeturudisha nyuma kimaendeleo
 
Napenda niungane na Mamilioni ya Watanzania kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kwa kufanya uamuzi wa Kila mfuko uendelee na kikokotoo Cha zamani Cha asilimia 50 na kibaki hivyo mpaka 2023.

Huu Ni uamuzi wa kiujasiri na wa kihistoria uliopokelewa kwa shangwe na alama isiyofutika kwa Kila Mtumishi. Leo hii Waalimu, Madaktari, Wahandisi, Watendaji na Watumishi wote Ni vicheko vitupu.

Watu waliotumia muda wao, nguvu zao zote, akili zao zote kulitumikia kwa uaminifu Taifa walikuwa walazimishwe kulipwa kidogo kidogo stahiki zao halali Kama vile kustaafu Ni dhambi kubwa wameitenda. Ahsante sana Rais Magufuli kuingilia Kati kwa kuwatetea Watumishi, Mwenyezi Mungu pekee ndio atakayekulipa kwa maamuzi haya yenye tija kwa umma.

Naam! Ni uamuzi wenye tija kwa maana kitendo Cha kuongeza kikokotoo toka 25% hadi 50% utaongeza wigo wa nguvu kazi kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii na kuleta matumaini makubwa kwa Wazee wetu wastaafu hapa nchini.

Pia uwepo wa kikokotoo Cha 50% utaongeza haki ya mikopo ya makazi kwa Watumishi ambao Sasa wataweza kujenga au kununua nyumba Kama awali ilivyokuwa.

Zipo faida nyingi kiukweli. Kwa kifupi, Matumaini ya Wastaafu ama hata ya nguvu kazi zilizopo kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii imerejeshwa Tena na Rais Magufuli.

*Mungu Mbariki Rais Magufuli*
*Mungu Ibariki Tanzania*

*Shilatu E.J*

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaishukuru serikali yakibaguzi !!! eti serikali ya wanyonge nasisi tusio wanyonge yetu niipi

Nani kakwambia kuwa kaongeza?????Yaani mtu anajitekenya na kucheka mwenyewe halafu watu timamu tushangilie?
 
Serikali iache kutamani pesa za mifuko ya jamii

Serikali ikusanye pesa kwenye utalii, madini na gesi
 
Kiki at work
IMG-20181228-WA0061.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaacha mema. Wanachukua ya kijinga. Jenister Mhagama must go...
 
Back
Top Bottom