Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tehtehteh.....ananikera mkuu
Yaani hivi tu buku 7 tayari?Magufuli anacheza huu mchezo vizuri sana.watanzania wameanza kurudishiwa siha zao katika nyuso zao.watanzania Wana akili Sana wanapenda Sana kuambiwa ukweli na bahati mbaya miaka ya nyuma kidogo hapa wamedanganywa hatimaye Sasa wamempata Rais asiyeficha kitu.mnaomia roho raisi anapoeleza ukweli endeleeni kuumia hivohivo.
Nashangaa sana! Hayo ni matumizi mabovu sana ya kodi zetu. Nashauri waboreshe utaratibu, mtu atumie angalau maneno 1000 kupamba, kila neno sh.07/= at least. Huyu kunguru john tayari kalipwa sh.175/= kwa kila neno!Yaani hivi tu buku 7 tayari?
Endeleeni kujidanganya hivo hivo halafu muone 2020 wananchi watamuweka Nani madarakaniNashangaa sana! Hayo ni matumizi mabovu sana ya kodi zetu. Nashauri waboreshe utaratibu, mtu atumie angalau maneno 1000 kupamba, kila neno sh.07/= at least.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba utujulishe kuwa ni serikali ya chama gani ilipoteza hizo siha katika nyuso za watanzaniaMagufuli anacheza huu mchezo vizuri sana.watanzania wameanza kurudishiwa siha zao katika nyuso zao.watanzania Wana akili Sana wanapenda Sana kuambiwa ukweli na bahati mbaya miaka ya nyuma kidogo hapa wamedanganywa hatimaye Sasa wamempata Rais asiyeficha kitu.mnaomia roho raisi anapoeleza ukweli endeleeni kuumia hivohivo.
Relax sasa mkuu mbona wasiwasi mwingi? Mimi nimeongelea utaratibu wa malipo ya posho, vyuma vikazwe zaidi ili tuongeze mapambio na tuzivune kwa uhalali kabisa hizo buku07 zetu ambazo ni kodi zetu wenyewe, tayari wewe umerukia 2020 bila kujua hata kesho ni nini kinaweza kutokea. Je uchaguzi ukifanyika 2022 kama tunavyoanza kuandaana kisaikolojia?Endeleeni kujidanganya hivo hivo halafu muone 2020 wananchi watamuweka Nani madarakani
Handsome wa msoga kapotezwa ndan ya week tu chezea HAPA KAZ TU u-handsome mwisho ilikuwa November 5.
Umeshaanza... uko wapi wewe?