Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Tumejawa dharau na kebehi! Mustakabali wa Taifa lolote lile duniani..... ni watumishi wa Umma! Nina uhakika hata Wao wanofanya kebehi kwa watumishi wa Umma wamepita na wanaendelea kupita kwenye mikono ya watumishi wa Umma!
 
Nani kasema ataongeza mishahara sababu ya uchaguzi? Majogoo yawike au yasiwike lazima kutapambazuka,CCM ushindi lazima
Hakuna lolote wala chochote.

Mishahara keshasema sio kipaumbele chake. Yeye ni ujenzi na ujenzi. Iwe barabara, SGR, Umeme nk.

Haumizi kichwa kuhusu uchaguzi kwa sababu atatangazwa mshindi kwa vyovyote vile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameanzisha kampuni na kusaka partners south africa.. Mie nimetoa mfano tuu sio lazma nawe ufanye ila najua waoga wa maendeleo wako wengi.. Mtu yuko radhi akomae na mshahara wa laki nne hata ukimuonyesha njia.. kisa eti "job security" 😃😃😂😂.. Take risks and die trying or Keep your job and die poor

Umekariri boss au kama hujakariri basi bado huna uzoefu na ulimwengu wa biashara au mishahara. Msemo wako wa take risk and die trying unaonyesha kuwa labda huna hata familia still ni kijana hivyo hujui majukumu' and msemo wa keep your job and die poor Nikukumbushe tu Sio kila mshahara unaanzia na TSH af unaishia na 5 zeros or six. Halafu sijamponda huyo rafk yako nimesema ana changamoto nyingi za kutatua kama atafanya udalali huu wa kupewa 10% na wanunuzi.

Nikukumbushe tu kuwa unatakiwa upime na kuijua thamani yako kiujuzi na kielimu halafu ulinganishe na unachopata bila kujali unakipata kwenye ajira au biashara.

Pia ujue mwisho wako kabla hujaanza kupambana na mwanzo wako. Achana na mawazo ya die trying, una majukumu ya kutatua. Die with success. Na success haipatikani kwenye biashara tu. Kama una elimu nzuri na uzoefu, kuna kampuni zitahitaji skills zako na kukulipa mpaka 215m per year na marupurupu. Ila Kama thamani yako ni ndogo na hauna uzoefu hata kwenye biashara you will end up die trying.
 
Hivi bado mnalipwa 7,000 tu pale Lumumba?
Naomba kuwasilisha waungwana

Katika kipindi cha takribani miaka minne ya Mh.Rais watumishi Wa umma wamekuwa wakilia na kulalamikia nyongeza.

Naomba nikili kuwa si kweli kuwa mh rais aliamua kuzuia nyongeza kwa makusudi Bali ni kutokana na mipango mipana aliyokuwa nayo Mh.Rais katika kuhakikisha taifa linasonga mbele

Ili kuonesha kuwa rais wetu anajali masrahi ya watumishi Wa umma kuna taarifa nimepenyezewa toka chanzo cha kuaminika kuwa kilio cha watumishi Wa umma kitatatuliwa hivi karibuni ambapo Mh .rais JPM atapandisha mishahara ya watumishi Wa umma maradufu kwa mwaka Wa fedha 2019/2020

Naomba nitoe pongezi zangu za dhati kutoka kwenye uvungu Wa moyo wangu kwa Mh. JPM kwa hatua hii ya kuwajali watumishi Wa ummma

Viva magufuli,Magufuli for 2020-2025

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elimu bureElmu bure,huduma bora za afya,ujenzi Wa miundo mbinu vyote hivo vinaibeba CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu bure ni uzushi mtupu Miundombinu mnatuambia hella za ndani kumbe ni mikopo yenye mashat magumu isio fata taratibu za ukopaji imetuongezea mzigo wa deni la Taifa kila Mtanzania anadaiwa milioni 4.3 unategeme kura kutoka kwa nani hapa ni Sera Mbadala na Tundu Lissu 2020
 
Mkuu acha kuota ndoto za asubuhi,lissu kuwa rais ni sawa na jua kuchomoza kusini na kuzama kasikazini,haiwezekani nakwambia
Elimu bure ni uzushi mtupu Miundombinu mnatuambia hella za ndani kumbe ni mikopo yenye mashat magumu isio fata taratibu za ukopaji imetuongezea mzigo wa deni la Taifa kila Mtanzania anadaiwa milioni 4.3 unategeme kura kutoka kwa nani hapa ni Sera Mbadala na Tundu Lissu 2020

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yaani Magufuli atumie nyongeza alizozibana kwa miaka 4 kuwapa wafanyakazi halafu useme kapandisha mshara?

Akiongeza haitamaanisha kuwa kaongeza mshahara, bali ni kwamba atakuwa anawalipa wafanyakazi malimbikizo yao wenyewe aliyoyasitisha toka 2015!

ni sawa na niwe nakudai nyongeza ya laki kila mwaka usinipe kwa miaka 4 halafu mwaka wa tano uniongezee kwenye mshahara wangu shilingi laki 4, hapo unakuwa hujaongeza mshahara bali umetumia stahili zangu zilezile kudai kuwa umeniongezea mshahara
 
Naomba kuwasilisha waungwana

Katika kipindi cha takribani miaka minne ya Mh.Rais watumishi Wa umma wamekuwa wakilia na kulalamikia nyongeza.

Naomba nikili kuwa si kweli kuwa mh rais aliamua kuzuia nyongeza kwa makusudi Bali ni kutokana na mipango mipana aliyokuwa nayo Mh.Rais katika kuhakikisha taifa linasonga mbele

Ili kuonesha kuwa rais wetu anajali masrahi ya watumishi Wa umma kuna taarifa nimepenyezewa toka chanzo cha kuaminika kuwa kilio cha watumishi Wa umma kitatatuliwa hivi karibuni ambapo Mh .rais JPM atapandisha mishahara ya watumishi Wa umma maradufu kwa mwaka Wa fedha 2019/2020

Naomba nitoe pongezi zangu za dhati kutoka kwenye uvungu Wa moyo wangu kwa Mh. JPM kwa hatua hii ya kuwajali watumishi Wa ummma

Viva magufuli,Magufuli for 2020-2025

Sent using Jamii Forums mobile app
Nusu bei bado imo kichwani inafanya kazi

Kwa umbea huu mmmmmhhh! hata kama kulikuwa na nia ya kuongeza mshahara ndio kabisa mnaharibu….hawataki la kuambiwa jamani!!
 
Naomba kuwasilisha waungwana

Katika kipindi cha takribani miaka minne ya Mh.Rais watumishi Wa umma wamekuwa wakilia na kulalamikia nyongeza.

Naomba nikili kuwa si kweli kuwa mh rais aliamua kuzuia nyongeza kwa makusudi Bali ni kutokana na mipango mipana aliyokuwa nayo Mh.Rais katika kuhakikisha taifa linasonga mbele

Ili kuonesha kuwa rais wetu anajali masrahi ya watumishi Wa umma kuna taarifa nimepenyezewa toka chanzo cha kuaminika kuwa kilio cha watumishi Wa umma kitatatuliwa hivi karibuni ambapo Mh .rais JPM atapandisha mishahara ya watumishi Wa umma maradufu kwa mwaka Wa fedha 2019/2020

Naomba nitoe pongezi zangu za dhati kutoka kwenye uvungu Wa moyo wangu kwa Mh. JPM kwa hatua hii ya kuwajali watumishi Wa ummma

Viva magufuli,Magufuli for 2020-2025

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unajua maana ya maradufu?
 
rais yupi wa kupandisha mshahara mara dufu?!

pesa atatoa wap??

kwani yaliyosababisha akwame kupandisha miaka iliyopita asha yamaliza??!

unataka kuniambia mwenye kupokea milion 1 atapokea 2.

labda nikuulize kwa sasa mishahara tuu ni billion takribani 500 unamaanisha sasa itakua trillion 1??

msipende kuandika kimahaba! sio kila mtu wa JF ni juha!!
Labda misemo ya kiswahili imebadilika, labda maradufu lina maana nyingine zaidi na ninayoijua!
 
Naomba kuwasilisha waungwana

Katika kipindi cha takribani miaka minne ya Mh.Rais watumishi Wa umma wamekuwa wakilia na kulalamikia nyongeza.

Naomba nikili kuwa si kweli kuwa mh rais aliamua kuzuia nyongeza kwa makusudi Bali ni kutokana na mipango mipana aliyokuwa nayo Mh.Rais katika kuhakikisha taifa linasonga mbele

Ili kuonesha kuwa rais wetu anajali masrahi ya watumishi Wa umma kuna taarifa nimepenyezewa toka chanzo cha kuaminika kuwa kilio cha watumishi Wa umma kitatatuliwa hivi karibuni ambapo Mh .rais JPM atapandisha mishahara ya watumishi Wa umma maradufu kwa mwaka Wa fedha 2019/2020

Naomba nitoe pongezi zangu za dhati kutoka kwenye uvungu Wa moyo wangu kwa Mh. JPM kwa hatua hii ya kuwajali watumishi Wa ummma

Viva magufuli,Magufuli for 2020-2025

Sent using Jamii Forums mobile app
Chaguzi zipo mbele eti ahh !!
WaTz mtu yeyote anaweza kuwaongoza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom