FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hahahah, yaani miwani ya mbao sio?Lakini viwavi jeshi wa ufipa watakwambia hawaoni faida ya ndege
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah, yaani miwani ya mbao sio?Lakini viwavi jeshi wa ufipa watakwambia hawaoni faida ya ndege
Huyu mama hua nafatilia makala zake, lakini nimegundua kitu ...."anatumiwa".
Yaan ni speaker kama alivo Musiba
Lakini viwavi jeshi wa ufipa watakwambia hawaoni faida ya ndege
Tunajenga kwa fedha zetu wenyewe. Kwani mkopo sio fedha zetu.? Ukikopa benki ujajenga nyumba hiyo nyumba unakuwa umejenga wewe au imejenga benki. Kuna tofauti ya msaada na mkopo ambao unaulipa.
Mbona akina Zitto and co kila siku wanamponda Magufuli? Kwanini makala or issue zote ni kumponda Magufuli? Don't you expect balance on that?Hakuna mtu serious atakaeshindwa kuona kuwa anatumiwa na serikali ya jiwe. Kwa nini "makala" zake zote ziwe za kumsifu Magufuli? I have no problem kwa mtu kumsifia Magufuli, but you would expect balanced documentaries featu
Tuambie wewe faida ya ndege. Na utoe takwimu ambazo zinaweza kuwa verified.
Tanzania ya viwanda imefikia wapi? Kwenu vimejengwa vingapi?Tulikuwa tukiomba na kusali kuwa tanzania inatakiwa apatikane rais shupavu, mkali asiyecheka na nyani,mwenye kau dictator hivi n.k tulitaka sana rais wa hivyo.
Hatimaye maombi yetu yamejibiwa amepatikana na tayari anafanya yale ambayo tulikuwa tukitaka yafanywe.hayumbishwi,hatishwi,hatetemeshwi. Anachapa kazi hajui kuuma uuma maneno.
Koleo anaita kolea na kijiko anaita kijiko. Watanzania tunataka nini tena?turudi nyuma kwenye biashara za madawa ya kulevya na kudanga? Hapana. Kamwe tusirudi huko.
Dr. Magufuli kamua baba, kamua...
Duh!Unataka "akamue" huku hukati mauno pumbafu kabisa!!!
Kata mauno hata kama "tigo" imepata moto!!!
Walahi mbavu zangu 😁 😀Unataka "akamue" huku hukati mauno pumbafu kabisa!!!
Kata mauno hata kama "tigo" imepata moto!!!
Mbona akina Zitto and co kila siku wanamponda Magufuli? Kwanini makala or issue zote ni kumponda Magufuli? Don't you expect balance on that?
Tanzania ya viwanda imefikia wapi? Kwenu vimejengwa vingapi?
kweli maana hata wakulima wa KOROSHO mpaka leo kawaumaTulikuwa tukiomba na kusali kuwa Tanzania inatakiwa apatikane rais shupavu, mkali asiyecheka na nyani,mwenye kau dictator hivi n.k tulitaka sana rais wa hivyo.
Hatimaye maombi yetu yamejibiwa amepatikana na tayari anafanya yale ambayo tulikuwa tukitaka yafanywe.Hayumbishwi,hatishwi,hatetemeshwi. Anachapa kazi hajui kuuma uuma maneno.
Koleo anaita kolea na kijiko anaita kijiko. Watanzania tunataka nini tena?turudi nyuma kwenye biashara za madawa ya kulevya na kudanga? Hapana. Kamwe tusirudi huko.
Dr. Magufuli kamua baba, kamua...
Utakuwa unakaa uswahilini. . Ushuani wanapewa mandinga kama kawaSasa hivi wadangaji wanapakuliwa haya kwa buku 2000,enzi zile wa chini kabisa bila ishirini elfu utabaki kuwaita mashemeji tu.
Kaheshima kwa sasa walau kapo kileleni ki-pierre liquid.
Ulitaka asisifiwe? Binafsi namsifu naenda Mwanza kesho narudi Alhamisi kwa 384,000 (non-stop, ATC), wakati Precision Air 700,000 (masaa 6 kupitia Kilimanjaro). Kwa nn nisimsifu?Ujinga bado tatizo kubwa Tanzania.
Yani anasifiwa kisa kununua ndege?
Aiseee.
Wewe binafsi unaenda mwanza unarudi, majority waliotoa pesa zao hawaifaidi. Serikali inayotoa huduma inayowanufaisha watu wachache at expenses of others ni gansger government.Ulitaka asisifiwe? Binafsi namsifu naenda Mwanza kesho narudi Alhamisi kwa 384,000 (non-stop, ATC), wakati Precision Air 700,000 (masaa 6 kupitia Kilimanjaro). Kwa nn nisimsifu?
Siku benki wakija piga mnada hiyo nyumba ndio utajua si yako...Tunajenga kwa fedha zetu wenyewe. Kwani mkopo sio fedha zetu.? Ukikopa benki ujajenga nyumba hiyo nyumba unakuwa umejenga wewe au imejenga benki. Kuna tofauti ya msaada na mkopo ambao unaulipa.
Hata mimi nilikuwa nataka dikteta mkuu hivyo amenisemea na mimiusiwasemee watanzania wengine, ni wewe na familia yako ndio mlikua mnataka rais dikteta.