Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Niko safarini naelekea makongorosi nikitokea Mbeya mjini nayaona mabadiriko makubwa
Barabara kutoka mbeya mjini kuitafuta chunya mkeka safi
Barabara ya kutoka chunya mjini kuitafuta tabora kupitia makongorosi mradi unamaendeleo makubwa
Inajengwa kwa ufanisi wa hali ya juu madaraja yanakarabatiwa kwa ufanisi!!!

HONGERA MUHESHIMIWA RAISI NA WATENDAJI WAKO MUNGU AWABARIKI
 
Safi sana , hongera serikali kwa kuitengeneza barabara hii, nimekumbuka niliipita mwaka 2014 lakini tulilala makongorosi kutokana na ubovu wa barabara, nilitamani hii barabara ijengwe ili kuwasaidia Watanzania wenzetu
 
Ujenzi unakwenda kwa kasi ya ajabu sana ninavyopita mpaka moyo unakwenda taratibu na mapigo ya moyo yanaratibiwa vizuri kabisa
 
Niko safarini naelekea makongorosi nikitokea Mbeya mjini nayaona mabadiriko makubwa
Barabara kutoka mbeya mjini kuitafuta chunya mkeka safi
Barabara ya kutoka chunya mjini kuitafuta tabora kupitia makongorosi mradi unamaendeleo makubwa
Inajengwa kwa ufanisi wa hali ya juu madaraja yanakarabatiwa kwa ufanisi!!!

HONGERA MUHESHIMIWA RAISI NA WATENDAJI WAKO MUNGU AWABARIKI
Hongera JPM
 
1.Baba akisema saa 1.00 jioni familia nzima inatakiwa iwe nyumbani,wanafamilia wote akiwepo baba wanakuwa nyumbani,sio mama kwa kuwa anajua baba hurudi saa 9 usiku naye anarudi saa saa 7 usiku ,na sio watoto kwa kuwa wanajua baba hurudi saa 9 usiku na mama hurudi saa 7 husiku na wao wakike na wakiume wanarudi saa 5 usiku,hiyo haijawahi kuwa familia.Ndio maana mpaka sasa hajakwenda nchi yoyote ya Ulaya na America au Asia anasimamia familia.

2.Ameweza kuwatia hatiani watu ambao walikuwa wanajiona wakubwa kuliko serikali wakina Seth + Rugamalila wa Dowans na kadhalika.

3.Ameweza kuamua kujenga Reli ya kisasa ambayo itawanufaisha watanzania wengi zaidi kuliko wanasiasa wafanyabishara wa mizigo na abiria ambao wasingekuwa tayari reli ya kisasa ijengwe kwani ingeondoa maslahi yao,vivyo hivyo kwenye elimu,afya nk

3.Magufuli hana mshipa wa aibu,ndio mana hata uwe mshikaji wake ukiharibu anakutoa hakuangalii usoni,ndio Rais anayeweza kuwa ametengua na kuteua viongozi wengi sana kuliko marais wote waliotangulia.

4.Rais Magufuli anaamini katika vijana,yeye alipata unaibu waziri wa Miundombinu/Ujenzi akiwa mbichi about 35 years of age kama kumbukumbu zangu zipo saw a,hivyo aliweza kuonyesha kipaji chake,Mkapa akampa Uwaziri na akamudu,na akaenda wizara tofauti akang'ara na hatimaye Rais wa nchi.Vijana wana matarajio makubwa,hawaogopi kukosea wanathubutu ndio namna pekee itakayotutoa hapa tulipo umri unaruhusu wakikosea kwa nia njema wasaidie nchi itakwenda.Nakuelewa sana,wazee waliopo kwenye utumishi wa umma sahivi wanaogopa kuthubutu kwa kuwa wanalinda kutoharibu wakakosa hata hicho kidogo walichowekeza kwenye utumishi kwa muda huo wote.

5.Watu wa aina yako ni nadra sana kupatikana,naamini kwa ulivyo makini utakua umeanza kuandaa succession plan kwa ajili ya atakayekuja baada yako,vinginevyo tutarudi tulikotoka.

6.Baba yangu mzazi jina lake la kwanza ni John ,ninajisikia fahari sana ninapoona John wa aina ya kwako,najisikia furaha kumpa mwanangu jina la john.

7.Naomba kwa Leo niishie hapa,huku mtaani wameshakuelewatunawahitaji akina Harmonize wengi zaidi ambao ni wa kweli wapo kwa ajili ya maslahi mapana ya nchi.
" Ni Mimi John jina la kati"
 
Back
Top Bottom