Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mkuu Rais siyo wa kuzurura Magomeni wala kariakoo. Tuwe waelewa jamani. Vinginevyo tutapeana u Field Marshall hali hata u lance corporal tu hatuna.

Au nasema uongo ndugu zangu?
Mkuu kuonekana ni kuzurura? Niishie hapa nisikukwaze mkuu
 

This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.

Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti ( Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi...
Nitamkumbuka kwa kuwa Mwanasayansi aliyeamua kupingana na sayansi na kujiletea yeye na nchi yake maafa. Lakini pia nitamkumbuka kwa kufanikiwa kuleta uwajibikaji kwa watoa huduma serikalini.
 

This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.

Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti ( Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi..
Aliyekufa kafaaa.

Siye tunamkumbuka Yesu tu aliyekufa na kufufuka.
 
Kutokujali mauaji yaliyotokea nchini wakati yeye ndio Mkuu wa nchi.
 
Dr Magufuli stands out in his humility and self-deprecation. He shuns wealth, and fame. In a country where thieves are celebrated, and murderers elevated — Dr Magufuli is the one public servant who forsook worldly possessions. Mark 8:38 asks: “For what shall it profit a man, if he shall gain the whole world and lose his own soul?” Methinks the author in the good book must have had Dr Magufuli in mind.

The simplicity of this Societal and moral giant is the one thing that remains an enigma to me and many. He always roots for the little guy. He abhors hierarchy and disdains flamboyance,he’s ruthlessly self-critical. He always puts himself last. He’s a rare breed.

Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
 
Kwa msimamo wake wa kutoiga lockdown kipind cha mwanzo wa COVID 19 ambapo nchi nyingi duniani zikiamuru lockdown.
 
Nitamkumbuka kwa kukomesha majambazi na vibaka lakini sasa wameanza kurudi tena kwa kasi kubwaaaaaaaa!😀
Nitamkumbuka kwa kupiga vita rushwa lakini sasa mmmmmmh yangu macho shimoooooooooooooooooo tuna rudi zama zile 2006-2010 mmh
 
Hii ilisaidia sana kwa wafanyakazi kujiongeza na kujifunza Ujasiliamali. Maana watu wengi walibweteka na mishahara yako.. Inchi ipo kwenye construction MODE...
Upo sahihi. Miradi ya kimkakati kama vile uwanja wa ndege wa Chato.
 
Upo sahihi. Miradi ya kimkakati kama vile uwanja wa ndege wa Chato.
Ndio..na tunamshukuru sana kwa hilo, na soko la dhahabu la kimataifa, hospitali ya kanda, daraja la busisi, mbuga ya burigi, upanuzi barabara za mwanza, ujenzi wa airport mwanza, ma meli ya kutosha ziwa victoria...una jingine la kuongezea?
 
Ndio..na tunamshukuru sana kwa hilo, na soko la dhahabu la kimataifa, hospitali ya kanda, daraja la busisi, mbuga ya burigi, upanuzi barabara za mwanza, ujenzi wa airport mwanza, ma meli ya kutosha ziwa victoria...una jingine la kuongezea?
Inaonekana kichwa chako hakina majukumu mazito, maana una nafasi ya kukumbuka mpaka vitu vya kawaida.

Barabara za Mwanza ni zipi unazozikumbuka? Maana nyingi ni makorongo. Ukiacha ile ya Sabasaba-Buswelu-Nyakato, ipi nyingine?

Iliyopanuliwa, zaidi ya hiyo ya Furahisha - airport (4km), ipo nyingine?
 
Inaonekana kichwa chako hakina majukumu mazito, maana una nafasi ya kukumbuka mpaka vitu vya kawaida.

Barabara za Mwanza ni zipi unazozikumbuka? Maana nyingi ni makorongo. Ukiacha ile ya Sabasaba-Buswelu-Nyakato, ipi nyingine?

Iliyopanuliwa, zaidi ya hiyo ya Furahisha - airport (4km), ipo nyingine?

Muda wa Porojo za kilomita sina..nimeorodhesha navyoweza..na mzee huenda alikuwa na mipango mikubwa zaidi kwa Mwanza. Ila hata kwa hayo machache tuna mshukuru kwa dhati. Hapo sijataja SGR...gape tulilolipa kimiundo mbinu hata mtusahau miaka 200 ijayo..poa tu..mzee alijua kusawazisha development and infrastructure imbalance ambapo mwanza ilisahaulika sana
 
Muda wa Porojo za kilomita sina..nimeorodhesha navyoweza..na mzee huenda alikuwa na mipango mikubwa zaidi kwa Mwanza. Ila hata kwa hayo machache tuna mshukuru kwa dhati
Umenena vema hapo mwishoni ... Kwa hayo machache .... Mimi ningemshukuru zaidi yako endapo tu kama asingefanya yafuatayo:

1) kuua watu wanaomkosoa
2) kuteka na kuwapoteza wanaomkosoa
3) kubambikia watu kesu za uhujumu uchumi na utakatishaji fedha haramu
4) upendeleo kwa kanda yetu, akiamini anatufurahisha
5) ubinafsi wa kutaka kuendeleza kijiji chake cha Chato
6) kuvuruga uchumi kwa kuwafukuza wawekezaji na kusababisha ongezeko kubwa la ukosefu wa ajira
7) kufanya siasa za kilaghai kwa kuwadanganya watu kuwa uchumi wetu unakua kwa kasi ilihali ukuaji wa uchumi, ukuuaji wa utalii, ukuaji wa mauzo ya mazao ya kilimo ja ukuuji wa uzalishaji na thamani ya mauzo ya dhahabu, vyote vikiwa vimeporomoka kwa kasi kubwa
 
Umenena vema hapo mwishoni ... Kwa hayo machache .... Mimi ningemshukuru zaidi yako endapo tu kama asingefanya yafuatayo:

1) kuua watu wanaomkosoa
2) kuteka na kuwapoteza wanaomkosoa...
Hilo utajua mwenyewe

Hapo sijataja SGR...gape tulilolipa kimiundo mbinu hata mtusahau miaka 200 ijayo..poa tu..mzee alijua kusawazisha development and infrastructure imbalance ambapo mwanza ilisahaulika sana. Natamani angetawala zaidi.
 
Sasa sijui kwanini alikuwa akijitapa kwamba pesa ipo Sana lakini ajira tu hakutoa katika kipindi Cha uongozi wake.mpaka watu wakajitolea kazi lakini hamna kitu wakapata.

Sijapinga kuhusu kujitolea maana hata ulaya watu wanajitolea na baadae wanapata kazi hapohapo ofisini walipojitolea Ila Huku kwetu unaweza kujitolea na Bado usipewe hata posho aibu Sana kwenye ishu ya ajira serikali mnaniangusha sana.
 
Back
Top Bottom