johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wewe huna ajira?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukienda kwenye bwawa la Rufiji, SGR na Mabarabarani huoni watu wakichapa kazi?Sasa sijui kwanini alikuwa akijitapa kwamba pesa ipo Sana lakini ajira tu hakutoa katika kipindi Cha uongozi wake.mpaka watu wakajitolea kazi lakini hamna kitu wakapata.sijapinga kuhusu kujitolea maana hata ulaya watu wanajitolea na baadae wanapata kazi hapohapo ofisini walipojitolea Ila Huku kwetu unaweza kujitolea na Bado usipewe hata posho aibu Sana kwenye ishu ya ajira serikali mnaniangusha sana.
Kuua watu, nyie Warundi mnaojificha kwenye Usukuma nyie , rudini kwenu mtuache na Tanzania yetu.He is My sons's legacy
Amenisaidia Mambo mengi...
Hiyo no.7&8 babkubwa. Naendeleza;1.KUAPA KUTOPELEKA maendeleo KILIMANJARO NA ARUSHA.
2. kutengua wachagga wote waliokuwa kwenye nyadhifa, akina Kimei, Tenga, Shayo, Mramba wa TANESCo....
Ni mikopo hiyo.Ukienda kwenye bwawa la Rufiji, SGR na Mabarabarani huoni watu wakichapa kazi?
KIMEI kaondolewa na mwendazake , tena kujiuzulu bila nitisi.Je Jaji haya unaona ni busara yaendelezwe? Rais hana authority ya kumuondoa mtendaji mkuu wa Taasisi ambayo sio wholly owned na serikali!!! Kimei aliondolewa na Bodi yake na sio mwendazake.
hii inhi ilifika pabaya sanaNi mikopo hiyo.
Usisahau kile kipindi kilivyokuwa mahiri bila aibu katika kupika data.
Hadi polepole anakosoa hesabu za CAG.
Agree with tou 100%
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.
Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti ( Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi...
Wewe bana.Ni mikopo hiyo.
Usisahau kile kipindi kilivyokuwa mahiri bila aibu katika kupika data.
Hadi polepole anakosoa hesabu za CAG.
Mikopo siyo fedha za ndani sasa.Ni mikopo ambayo mpaka anaondoka alikuwa hajalipa. Sanasana kaacha deni kubwa kuliko wote waliomtangulia ,sijui alizipeleka wapi.Wewe bana.
Ukikopa haulipi?. Ukiwa na uwezo wa kulipa wewe ni tajili. Masikini hakopesheki,
Nahangaika tu hapa. Badae.Mikopo siyo fedha za ndani sasa.Ni mikopo ambayo mpaka anaondoka alikuwa hajalipa. Sanasana kaacha deni kubwa kuliko wote waliomtangulia ,sijui alizipeleka wapi.
Masikini wanakopa tu mbona. We unaishi dunia gani?
Pomoja na hilo,,,kanivunjia nyumba zangu mbili kibamba.,kisa tu sisi ni wapinzani tubomolewe. Ila kule kanda ya ziwa aliwalipa sababu kwao na walimchagua. Alikuwao ya uharibifu mno. Kumbukumbu zangu kwake mwendazake ni hizo tu.Kuwaweka wafanyakazi wa Uma miaka 7 bila nyongeza ya mshahara wala kupanda daraja. Hili haliwezi kusahaulika
Pole.Nahangaika tu hapa. Badae.
Chato ni Tanzania pia inahitaji maendeleo kama haya siwaelewi wenye fitina wanaoilalamikia chato kupata maendeleo1.Chato International Airport
2.Chato National Park
3.Trafic light Chato
4.3 star hotel Chato (TANAPA)
5.Bohari ya kanda madawa Chato
6.Hospital ya rufaa Chato
7.Stadium (proposa)
8.CRDB Chato