Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Sasa sijui kwanini alikuwa akijitapa kwamba pesa ipo Sana lakini ajira tu hakutoa katika kipindi Cha uongozi wake.mpaka watu wakajitolea kazi lakini hamna kitu wakapata.sijapinga kuhusu kujitolea maana hata ulaya watu wanajitolea na baadae wanapata kazi hapohapo ofisini walipojitolea Ila Huku kwetu unaweza kujitolea na Bado usipewe hata posho aibu Sana kwenye ishu ya ajira serikali mnaniangusha sana.
Ukienda kwenye bwawa la Rufiji, SGR na Mabarabarani huoni watu wakichapa kazi?
 
1.KUAPA KUTOPELEKA maendeleo KILIMANJARO NA ARUSHA.
2. kutengua wachagga wote waliokuwa kwenye nyadhifa, akina Kimei, Tenga, Shayo, Mramba wa TANESCo....
Hiyo no.7&8 babkubwa. Naendeleza;

9. Kukwapua pesa za wananchi wake kwa kutumia jeshi, mfano Bureau De change,personal a/c kufungiwa N.k

10. Kutekana, kupotea kuua watu wasio na hatia kwa amri yake, Akwilin Peter, Ben sanene,lissu na wengine wasio fahamika.

11. Kutumia lugha za ovyo ovyo in public ili hali yeye ni kiongozi mkuu wa nchi.

12. Kuharibu mahusiano ya kibiashara, diplomasia na nchi jirani mataifa yaliyo endelea kwa kigezo cha vita ya uchumi.

13. Kutumia pesa za umma kwa bila kufuata utaratiibu ama sheria za nchi, mfano ununuzi wa ndege, uwanja wa ndege chato wakati geita mkoani kuna kituo cha ovyo cha mabasi.

14. Kuuana biashara za ndani, local producer kwa ku install taxes zisizo rasmi

15. Mwisho, alijaribu kutaka kuja kuongeza muda wa ukomo wa raisi, nukuu spika Job aliwahi kusema bungeni"atake asitake tutamuongezea muda, kuna yule mshenga mbunge Juma pia. Asante.
 
Je Jaji haya unaona ni busara yaendelezwe? Rais hana authority ya kumuondoa mtendaji mkuu wa Taasisi ambayo sio wholly owned na serikali!!! Kimei aliondolewa na Bodi yake na sio mwendazake.
KIMEI kaondolewa na mwendazake , tena kujiuzulu bila nitisi.
 

This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.

Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti ( Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi...
Agree with tou 100%
 
Ni mikopo hiyo.
Usisahau kile kipindi kilivyokuwa mahiri bila aibu katika kupika data.
Hadi polepole anakosoa hesabu za CAG.
Wewe bana.

Ukikopa haulipi?. Ukiwa na uwezo wa kulipa wewe ni tajili. Masikini hakopesheki,
 
Wewe bana.

Ukikopa haulipi?. Ukiwa na uwezo wa kulipa wewe ni tajili. Masikini hakopesheki,
Mikopo siyo fedha za ndani sasa.Ni mikopo ambayo mpaka anaondoka alikuwa hajalipa. Sanasana kaacha deni kubwa kuliko wote waliomtangulia ,sijui alizipeleka wapi.
Masikini wanakopa tu mbona. We unaishi dunia gani?
 
Mikopo siyo fedha za ndani sasa.Ni mikopo ambayo mpaka anaondoka alikuwa hajalipa. Sanasana kaacha deni kubwa kuliko wote waliomtangulia ,sijui alizipeleka wapi.
Masikini wanakopa tu mbona. We unaishi dunia gani?
Nahangaika tu hapa. Badae.
 
Kuwaweka wafanyakazi wa Uma miaka 7 bila nyongeza ya mshahara wala kupanda daraja. Hili haliwezi kusahaulika
Pomoja na hilo,,,kanivunjia nyumba zangu mbili kibamba.,kisa tu sisi ni wapinzani tubomolewe. Ila kule kanda ya ziwa aliwalipa sababu kwao na walimchagua. Alikuwao ya uharibifu mno. Kumbukumbu zangu kwake mwendazake ni hizo tu.
 
Jinsi wauza madawa ya kulevya, vyeti feki, mafisadi, wala rushwa, wakwepa kodi, wavivu, wapiga madili ,wazulumaji ,majambazi walivyopata tabu
 
1.Chato International Airport
2.Chato National Park
3.Trafic light Chato
4.3 star hotel Chato (TANAPA)
5.Bohari ya kanda madawa Chato
6.Hospital ya rufaa Chato
7.Stadium (proposa)
8.CRDB Chato
Chato ni Tanzania pia inahitaji maendeleo kama haya siwaelewi wenye fitina wanaoilalamikia chato kupata maendeleo
 
Nikipindi LISU alipopigwa Risasi kama wanaua tembo^^^ lakini Mungu Mkubwa Lisu tunaye
 
Amenifundisha ujasiri na uthubutu wa kufanya mambo bila kuogopa au kusubiri Kesho, la Leo lifanywe leo

JPM shujaa wa maisha yangu yote
 
Back
Top Bottom