ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Ushuzi tupu....Asingeogopa kifo asingejiwekea ulinzi mzito wa majeshi na wachawi kwa namna ile.
kwa akili yako fupi unadhani raisi halindwi!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushuzi tupu....Asingeogopa kifo asingejiwekea ulinzi mzito wa majeshi na wachawi kwa namna ile.
[emoji1787][emoji1787]Asingeogopa kifo asingejiwekea ulinzi mzito wa majeshi na wachawi kwa namna ile.
Mabeberu wa wapi!?Magufuli amepigwa nyundo na mabeberu
Kumtegemea Mungu ni kuziishi njia zake
Chuki zako zimezoeleka. Hautegemewi kuandika maoni tofauti na haya.
Kumbuka kila anayepumua udongo unamsubiri.
Watoe na wenzangu ubaki peke yakoHaya nakutoa wewe....tuko wengi tu.
Toka zako hapa farasi mkubwa wewe...usikute wewe ni mmoja wa washiriki wa kumpoteza kiongozi wetu mahiri,miaka yote ni mzima anazunguka na kazi tunamuona,ameanza kampeni za Urais mpaka amekua Rais kwa miaka yote 6 na nguvu kubwa,then kirahisi tu mje mtuambie alikua na tatizo la moyo? sisi siyo wajingaNi kawaida ukiwa na tatizo fulani la kiafya kubwa huwezi kuogopa kifo.
Mzee wetu alikuwa na tatizo la Moyo kwa muda mrefu, alijitahidi kuona kifo sio big deal. Probably aliogopa mwanzoni ila alipogundua sio kitu anaweza badili inabidi akubaliane na ukweli tu kuwa atakufa anytime.
Mkuu hata wewe ukiambiwa kansa imeshakula tumbo lote utashtuka mwanzoni tu kisha baada ya muda utakuwa tayari kwa kufa kimawazo na kimatendo
Sawa mkuu...nitajie hao wenzako niwatoe kaka....peke yangu haiwezekani kwani tuko wakutosha kasoro wewe na hao wenzako utakaonitajia....Watoe na wenzangu ubaki peke yako
Sasa unapaniki nini blaza. Unabisha kitu ambacho kimesemwa na uongozi na hata kumbukumbu za magazeti kumuombea michango wakati ni mwanafunzi akatibiwe moyo uliwekewa. Anyways farasi mwenyewe!Toka zako hapa farasi mkubwa wewe...usikute wewe ni mmoja wa washiriki wa kumpoteza kiongozi wetu mahiri,miaka yote ni mzima anazunguka na kazi tunamuona,ameanza kampeni za Urais mpaka amekua Rais kwa miaka yote 6 na nguvu kubwa,then kirahisi tu mje mtuambie alikua na tatizo la moyo? sisi siyo wajinga
Ushahidi? Dua za watu aliowaua kwenye uchaguzi zenyewe zimemtosha.Ukiambiwa ulete uthibitisho utapeleka? Nenda mahakamani mkuu.
Leo siyo zamu yako ya kuilinda kaburi?Katika jambo la kushangaza kwenye siasa za Afrika ni mfumo wa uongozi, yaani Kiongozi anaweza kuamua kukaa madarakani apendavyo na hii upelekea kufanya lolote atakalo kisa katiba fake.
Mbowe hana wa kumthibiti ndani ya cdm although mwanachama mwingine yeyote anakaripiwa jwa nguvu na barua ya onyo ikimfuata.
Magufuri atabaki kuwa yeye na mbowe atabaki kuwa hivyo na hakuna nafasi ya kumfanya Magufuri awe shetani hama wewe NO, so mbowe hata akishinda/akikesha na media au online hataweza kubadilisha, maana kila mtu huja na njia yake.
That's why kuna neno 'past tense!'