Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Sasa mkuu unaogopa kufa ili iweje? In fact kifo kipo na lazima tufe, uogope ama kutoogopa haizuii kifo. Binafsi hata Mimi siogopi kufa ila naogopa kufia dhambini
 
Kujiamini tu. Ukijiamini unakuwa huna cha kupoteza.wala sio kwasababu alikuwa na ugonjwa.
Yote kwa yote hata ukiogopa kifo utakufa tu.

Alikuwa MWAMBA! Apumzike kwa amani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kawaida ukiwa na tatizo fulani la kiafya kubwa huwezi kuogopa kifo.

Mzee wetu alikuwa na tatizo la Moyo kwa muda mrefu, alijitahidi kuona kifo sio big deal. Probably aliogopa mwanzoni ila alipogundua sio kitu anaweza badili inabidi akubaliane na ukweli tu kuwa atakufa anytime.

Mkuu hata wewe ukiambiwa kansa imeshakula tumbo lote utashtuka mwanzoni tu kisha baada ya muda utakuwa tayari kwa kufa kimawazo na kimatendo
Toka zako hapa farasi mkubwa wewe...usikute wewe ni mmoja wa washiriki wa kumpoteza kiongozi wetu mahiri,miaka yote ni mzima anazunguka na kazi tunamuona,ameanza kampeni za Urais mpaka amekua Rais kwa miaka yote 6 na nguvu kubwa,then kirahisi tu mje mtuambie alikua na tatizo la moyo? sisi siyo wajinga
 
Toka zako hapa farasi mkubwa wewe...usikute wewe ni mmoja wa washiriki wa kumpoteza kiongozi wetu mahiri,miaka yote ni mzima anazunguka na kazi tunamuona,ameanza kampeni za Urais mpaka amekua Rais kwa miaka yote 6 na nguvu kubwa,then kirahisi tu mje mtuambie alikua na tatizo la moyo? sisi siyo wajinga
Sasa unapaniki nini blaza. Unabisha kitu ambacho kimesemwa na uongozi na hata kumbukumbu za magazeti kumuombea michango wakati ni mwanafunzi akatibiwe moyo uliwekewa. Anyways farasi mwenyewe!

Alivyofanya kampeni za urais term ya kwanza ni sawa na alivyofanya term ya pili?

Uliwahi kujiuliza alikuwa anatembea na ile cooler (air condition) ya nini kwenye ziara zake hata akiwa kwenye majukwaa?

Uliwahi kujiuliza kwanini alikuwa hapandi ndege ila kwa lazima sana?

Ingekuwa nina akili kama zako ningekutukana sana ila kwa kuwa tunatofauti basi itoshe tu kukwambia Farasi mwenyewe.
 
Ukishatenda dhambi hasa ya kumwaga damu za watu innocent uso wa Mungu unajitenga nawe!! Unakuwa so exposed kwa adui yoyote kukuvamia na kukuangamiza kwa urahisi mno...hii inakwenda sambamba na wewe kukitafuta kifo kwa either kugomea matibabu ya maana etc

Mwacheni akakutane na akina saanane na Azory...!! Sasa sijui watamuacha salama maana wao washakuwa wenyeji kuzimu!!
 
Nimesikiliza Clip moja ya Mbowe akiwa nyumbani alikozaliwa imenisikitisha sana kwa kweli mwanzoni nilikuwa najua ni siasa tu lkn kumbe nimeamini huo ni ukweli mtupu Mbowe amefirisika kisiasa adhibitiwe mapema ni hatari kwa Taifa

Ninapingana naye kwa 100% Kuwa Magufuli alichukia watu wa kaskazini kwa hoja kwamba

Magufuli ndani ya miaka 5 amefanikiwa kupeleka Reli ambayo ilikuwa imekwama kwa zaidi ya miaka 30 iliyopita huu ni upendo mkubwa Sana upendo wa Agape umewasaidia kwa kiwango kikubwa sana watu wa kaskazini lkn wewe Mbowe hao watu wa kaskazini umewasaidia nn kwa miaka yote hiyo yote uliyokuwa mwanasiasa zaidi ya kuwa mfanya fujo uliyepelekea hata mikoa hiyo kupoteza hadhi yake? Mbowe umekuwa mbunge wa Hai kwa miaka mingi vipi Hai imekuwa kama Ulaya? vipi umeajiri wananchi woote w Hai? Mbona unakuwa na siasa za kishenzi kipumbavu na kitapeli?

wewe Mbowe nakuuliza kuwa haujaona kiwanda Cha ngozi na viatu kilichozinduliwa na JPM mkoa wa Kilimanjaro? hivi hauoni kwamba ni maelfu ya wananchi watasaidiwa kwa kupata ajira? kwa nn weww huna shukrani? unataka nn? kwa nn una roho mbaya kiasi hiki?

wewe Mbowe nakuuliza haujaona Mradi wa Maji wa kiasi cha billioni 500 unaojengwa Arusha mbona nyie mlishindwa? mbona mliwatesa ndugu zenu kwa kufanya mambo yenu binafsi? wewe Mbowe mbn muongo sana unataka nn au umeishiwa hoja?

Hivi hapa Tanzania kuna sekta gani muhimu kama kuwa na Mkurugenzi wa TISS ambaye ni mtu wa kaskazini akina Agrey Mwanry wa wapi kweli? Masawe BOT wa wapi kwli? Lyimo, Masawe, Makundi, Reiza, Mfuru, watu wa wapi?

Hoja yako ni nn? mbona wewe baba una roho mbaya sana kiukweli wewe umewatumia ndg zako kwa masilahi yako binafsi unazani unafurahisha watu kumbe unaharibu haya saa endelea
.
wakati Kaskazini ikitoa mwaziri wakuu wengi kuliko kanda yoyote ss tuko kimya kuna Lowassa sumayi, Sokoine, Msuya sisi hatukuongea lolote wewe mbaba wewe una roho mbaya sana

Mawaziri wa Fedha akina mramba Daniel yona waliotamba enzi hizo ss hatukusema lolote

Mkurugenzi CRDB DR KIMEI amekaa 20years sisi hatukusema lolote. Wachaga wamejazana BOT,kwenye mabank sisi hatukusema lolote wachaga wamejazana kwenye mabandari sisi hatukusema lolote wewe mbowe wewe ni babu kuwa na heshima kabisa
 
Katika jambo la kushangaza kwenye siasa za Afrika ni mfumo wa uongozi, yaani Kiongozi anaweza kuamua kukaa madarakani apendavyo na hii upelekea kufanya lolote atakalo kisa katiba fake.

Mbowe hana wa kumthibiti ndani ya cdm although mwanachama mwingine yeyote anakaripiwa jwa nguvu na barua ya onyo ikimfuata.

Magufuri atabaki kuwa yeye na mbowe atabaki kuwa hivyo na hakuna nafasi ya kumfanya Magufuri awe shetani hama wewe NO, so mbowe hata akishinda/akikesha na media au online hataweza kubadilisha, maana kila mtu huja na njia yake.

That's why kuna neno 'past tense!'
 
Mafanikio ya raid Magufuli ni kifo tu.

Alifaa kufa ili Tanzania ipate uongozi usio wa kishetani na ninaona aliheshimu kifo na kuamua kufa.

Magufuli abaki mfu.
 
Katika jambo la kushangaza kwenye siasa za Afrika ni mfumo wa uongozi, yaani Kiongozi anaweza kuamua kukaa madarakani apendavyo na hii upelekea kufanya lolote atakalo kisa katiba fake.

Mbowe hana wa kumthibiti ndani ya cdm although mwanachama mwingine yeyote anakaripiwa jwa nguvu na barua ya onyo ikimfuata.

Magufuri atabaki kuwa yeye na mbowe atabaki kuwa hivyo na hakuna nafasi ya kumfanya Magufuri awe shetani hama wewe NO, so mbowe hata akishinda/akikesha na media au online hataweza kubadilisha, maana kila mtu huja na njia yake.

That's why kuna neno 'past tense!'
Leo siyo zamu yako ya kuilinda kaburi?
 
Back
Top Bottom