Mafanikio ya rais Samia siku 78 tangu ashike madaraka

Urithi auhadisiwi au kulazimishwa uridhi unajionyesha ndugu vp msimamo wa korona vp kuhusu kuita wazungu mabeberu
 
Tunaomba uandike na mema yake
Ukitweza utu wa mtu kama wewe unajipa laana.
Utu wa mtu hauwezi kufananishwa na mfugale flyover au ubungo.
Utu wa mtu hauna ghalama ya kuilinganishia.
Jiweke kwenye viatu vya unaemuonea ndipo utajua kuwa unafanya dhambi kubwa sana.

Kama unapenda watu wako huwezi waonea.
 
Wewe ulitwezwa utu wako kwa kulalwa?
 
Siwezi kumwona mbaya ikiwa hakuna ubaya wowote aliyonifanyia, so sina kosa kumwombea mema na kutangaza na kusifia yale mema ambayo nina uthibitisho nayo, na kama kuna mabaya sina budi kumsamehe sababu hata nisipomsamehee hayupo tena nasi dunia hii, makasiriko na kujibebesha mzigo wa machukizo ni kujitesa.
 
Utakuwa ni shetani mwenzake
 
Tunaomba uandike na mema yake
wewe km nani wakati tumebamizwa pesa zetu na Task force, watu wamepotea
leo ndio tunauona mwanga halafu ninyi mnataka kutulazimisha kuwa kina SABAY walitawala vizuri, acheni tuishi kwa amani, Madikteta huwa hawadumu
 
Tunaomba uandike na mema yake
wewe km nani wakati tumebamizwa pesa zetu na Task force, watu wamepotea
leo ndio tunauona mwanga halafu ninyi mnataka kutulazimisha kuwa kina SABAY walitawala vizuri, acheni tuishi kwa amani, Madikteta huwa hawadumu
kitu kimepita ACHENI kipotee hatutaki hata katika Historia makosa aliyafanya JK hakumjua yeye na kabila lake km atabeba na kutuachia mizigo hii
 
Mungu akubariki sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…