Mafanikio ya rais Samia siku 78 tangu ashike madaraka

Ni Jambo jema kumalizia huu mradi,

Namuunga mkono Mh. Rais Samia katika hili.
 
Wewe kweli ulikuwa na chuki dhidi ya mwendake.
 
We ulitaka nyumba za Mwanza zibomolewe kwa msingi gani? Kama kungekuwa na mradi i.e wa barabara nyumba ata za mwanza zingebomolewa tu acha siasa za chuki na unafiki usio na sababu.
 
Wazo bora sana
 
We ulitaka nyumba za Mwanza zibomolewe kwa msingi gani? Kama kungekuwa na mradi i.e wa barabara nyumba ata za mwanza zingebomolewa tu acha siasa za chuki na unafiki usio na sababu.
Ni mnafiki sana huyo jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…