Mafanikio ya Royal Tour yaanza kuonekana kwa kasi ya kutisha, Hongera Rais Samia

Dr. Shumake🤣
Hiki ni kielelezo kuwa tulishindwa kutumia hii fursa!

Tungeruhusu huyu kupitia private sector ajenge reli yake hata mjini kwenda tegeta na kimara leo hii tungekuwa na city train ya kisasa!

Usinchukulie Kama tapeli, we jiulize Serikali walifanya sehemu yao kwa mujibu wa iyo taarifa?
 
Alienda mbuga gani?
Sina uhakika ila anadai alienda safari ya kutalii kuona wanyama, sasa anashangaa anazungushwa huku na kule amwone simba holaaa, huku na huku amwone chui holaaa, mara huku na huku amwone fisi waapi.......siku ikakatika hiyo. Yeye alijua ukifika hapo unamkuta simba kalala, ukizunguka nyuma ya kichaka tembo huyu hapa, ukitembea dakika mbili fisi huyu hapa, ukipita huku honey badger huyu hapa kawasimamisha simba.....
 
Ndo ujue ni kwa jinsi gani hiki kipindi kinaleta matokeo! Hapo hakijarushwa tu hali iko hivi watu wanakuja kuchangamkia fursa! Je kikirushwa hali itakuwaje?
We dogo ni mbwiga. Kichwa cha mada ni "mafanikio ya Royal Tour" kisha baadae unakiri hakijarushwa. Ni aibu kwa mtoto wa kiume kuwa na kiherehere cha kiwango hiki. Ukisubiri ukasema maneno haya baada ya kutolewa kwa hiyo filamu utakuwa umechelewa?? Kiherehere cha hivi utagongwa na magari mjini humu!
 
Chadema watakwambia kuwa hao watalii wamekuja kuhudhuria kesi ya Mbowe 😆
 
Huyo jamaa wamarekani wenyewe wanasema ni tapeli ana tuhuma lukuki zinazomzunguka halafu unasema fursa 🤣
 
Hii iwafikie sukuma gang na machadomo..

Mama akili kubwa anajua kutafuta pesa sio kama wale pimbi wengine roporopo..

Kuna wengine walikuja wiki iliyopita kutoka western europe
 
Pingapinga Fc tumeshawazoea! Nyie kila kitu kupinga na kuzua nadharia zenu!
Pinga pinga yao isikupe mashaka wala wasi wasi mkuu, maana haina tija wala faida kwao. Si unaona mwenyew kila wakipinga uchaguzi ukifika wanagongwa.
 
Kwa maana hiyo wao wameisha iona hiyo movie ya ROYAL TOUR kabla hata ya launching....!!
 
"to sample tourist attractions" sijui umeelewa?
Hao matapeli wanakuja kutalii bure.

Unamkumbuka yule black Amerika alimwambia Mwakyembe anakuja kujenga tren ya juu Dar?? mpaka Mwakyembe akamuita "huyu baba"
Na wewe ambae sio tapeli umewahi hata kutalii kijijini kwenu au njaa kali?
 
Hiyo Royal Tour haijaonyeshwa popote pale mara imeshaanza kuzaa matunda!!! 😂😂😂😂😂
Kuzinduliwa bado unaweweseka,ushiriki wa Rais hata kabla ya kuzinduliwa ni habari kubwa ikishazinduliwa si ndio mtazimia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…