Mafanikio ya Royal Tour yaanza kuonekana kwa kasi ya kutisha, Hongera Rais Samia

Sifa za kijinga
 
Tuondolee upumbavu wako. Kitu ambacho hakijaonyeshwa kitakuwaje na mafanikio wewe!? Akili za kushikiwa hizi kutaka kulazimisha mafaniko FAKE. Kadanganyeni pale lumumba siyo humu. Royal Tour ni upigaji kama upigaji mwingine. BEBERUS wamechukua chao mapema.

Kuzinduliwa bado unaweweseka,ushiriki wa Rais hata kabla ya kuzinduliwa ni habari kubwa ikishazinduliwa si ndio mtazimia?
 
HALAFU YANATOKEA MA CHADEMA NA KUANZA KUULIZA GHARAMA ZA HIYO ALIFANYA RAIS WAPUUZI SANA HAWA KENGE
 
Acha siasa jombaa.
 
Kama ni mazoea isingekuwa Habari! Hii ni impact ya The Royal Tour

.. Documentary ya Royal Tour bado haijarushwa.

..Hiki sio kipindi sahihi cha kupima mafanikio ya documentary hiyo.

..Pia mlipuko wa ugonjwa wa CORONA umeiathiri sekta ya UTALII dunia nzima.

..Katika mazingira hayo sio sahihi kujiwekea matarajio makubwa kuhusu idadi ya watalii watakaotembelea vivutio vyetu.

..Juhudi za Royal Tour ni jambo jema. Lakini tusijazane matumaini ya uongo. Hiki ni kipindi ambacho dunia nzima wamefunga mikanda.
 
Kujisemesha kila mtu anaweza kwa sababu una Domo ila kuthibitisha sasa ndio shughuli
Pimbi wewe Ngorongoro nimezunguka kuanzia Engaruka, Mt. Oldonyo lengai, hadi Loliondo. Nikalala Waso(hapo Liliondo) kesho yake nipita shotikati kutokea ngoro2 kwenye Oldupai (waswahili mnaita Olduvai) nikaangalia Fuvu, nikaenda kwenye "MOVING sand" nikaenda creta nikazunguka hadi kwenye bwawa la viboko na mamba tukamalizia getini.

Geti la kuingilia wanaotokea Karatu.


Mi.sio kama.wewe pimbi

View attachment 1946175View attachment 1946176
 
Ndio hawa wanne walioletwa na Royal Tour? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Enzi zile walikuwa wanapanda ndege kututafutia wawekezaji. Hivi wako wapi hao wawekezaji? Watu wanachezea sana dhamana na hela ya walipa kodi
 
Makampuni ya utalii yamekuwa yakifanya kazi na agents walioko nchi mbali mbali, na hao agents wamekuwa wakija nchini mara kibao tokea zamaniiiii. Hakuna jipya hapo
Muache huyo, kaamua kujigeuza msukule wa Samia toka Magufuli alipo fariki.
 
Enzi zile walikuwa wanapanda ndege kututafutia wawekezaji. Hivi wako wapi hao wawekezaji? Watu wanachezea sana dhamana na hela ya walipa kodi

..wakati mwingine nadhani mafanikio ya kweli hayatangazwi au kupigiwa upatu.

..hayo yanayotangazwa sana ni failures na blunders ambazo tunalazimishwa tuamini kuwa ni mafanikio.

..Ni jambo baya sana serikali na chama tawala kuwa na makundi ya kudanganya na kupotosha wananchi.

..Royal Tour haijarushwa halafu wanatokea watu wanadai tumeshaanza kufaidika na documentary hiyo.
 
Hata mimi nimepita mikumi,selous,katavi,tarangire,Manyara na ngorongoro ila kwenye bus nikaona wanyama πŸ˜€πŸ˜€
 
Tunajidanganya mpaka lini? Hii ni nchi yetu na tuna wajibu wa kuipenda na kuijenga. Tuamke kwenye usingizi wa kupoteza muda na kuanza kufanya kazi kwa weledi ili kupata maendeleo.Kupata maendeleo sio lelemama. Tusipobadilika tutaendelea kuwa vichekesho
 
Wewe unaamini kwamba ile filamu aliyorekodi chifu Hangaya less than a month ago tayari imeshaeditiwa na kutushwa kwenye runinga marekani au ndio wale wa kupongeza tu hata rais akijikwaa mnampongeza.
 
Kwa akili yako unadhani makampuni makubwa ya utalii duniani hawajui kuwa Rais Samia ametoka kurekodi Royal Tour saivi?

Unafikiri Wazungu wao wanalalia fursa Kama mlivyo nyie washamba wa hapa bongo?
 
Wewe unaamini kwamba ile filamu aliyorekodi chifu Hangaya less than a month ago tayari imeshaeditiwa na kutushwa kwenye runinga marekani au ndio wale wa kupongeza tu hata rais akijikwaa mnampongeza.
Wewe unadhani Tour operators wakubwa duniani wana akili kama zako?

Wao wanajua kabisa kuwa sasa Royal Tour inarekodiwa Tanzania na ivyo kutakuwa na biashara kubwa kwao kwa upande wa Tanzania.

Wanachofanya saivi ni kuja kuweka mazingira sawa ikiwa kuingia mikataba na hoteli na makampuni ya Tanzania ili Documentary ikiwa aired tu booking zinawakuta wakiwa wameshaweka mazingira sawa!
 
Kwa maana hiyo wao wameisha iona hiyo movie ya ROYAL TOUR kabla hata ya launching....!!
Endeleeni kukariri! Ndo mjivunze wazungu wanavyojua kutengeneza fursa!

Hawa na agent wamekuja kuweka mikataba na ma hoteli ya kitanzania pamoja na kampuni za bongo ili booking zitakapoanza wawe kwenye biashara tayari kuingiza pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…