Mafanikio ya Royal Tour yaanza kuonekana kwa kasi ya kutisha, Hongera Rais Samia

Mkuu naona umempiga mtu na kitu kizito kichwani 😂😂

Uzuri wa praise team huwa mara zote wanaishia kuumbuka.
 
Kwa hiyo the Citizen wakiandika inamaanisha ni jambo jipya? Aisee!
Huyu ni taahira mkuu buna sababu ya kunishana nae.

Royal tour yenyewe hata kuonyeshwa haijaanza hadi 2022, huyu kenge yeye anasema ni faida za royal tour, unajiuliza watu wameiangalia kwenye nini hiyo tour?

Changamoto ya utalii wetu sio kwamba vivutio havijulikani, leo mtu ataniambia Samia ni Maarufu kuliko Serengeti hadi aitangaze? Kuna kitu maarufu nchi hii kama Serengeti?

Ni mataahira tu wanaweza kuandika alichokiandika huyu mtu.
 
Mkuu naona umempiga mtu na kitu kizito kichwani [emoji23][emoji23]

Uzuri wa praise team huwa mara zote wanaishia kuumbuka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimemnyoosha mbuzi wa kijani yule
 
Wewe taahira tu kaa pembeni kule unakaririshwa upumbavu na wewe unaingia mzima mzima
Nakaririshwaje?

Naingiaje mzima mzima wakati unaona Tour operators wa kimataifa wanazidi kumiminika?

Au hupendi kusikia kwa sababu yanafanyika baada ya influence ya Rais Samia?

Kunywa juice ya ndimu tu ndugu
 
Unadhani wenzenu ngozi nyeupe wana akili kama zenu za kulalia fursa??

Wenzenu wameshatafiti na kufuatilia so wanajua Mama amerekodi Royal Tour na itaanza kurushwa siku si nyingi.

Wanachofanya saivi ni kufanya maandalizi ya kukamata izo fursa za kuleta watalii huku kwenu huku nyie mkizidi tu kukonda
 
"to sample tourist attractions" sijui umeelewa?
Hao matapeli wanakuja kutalii bure.
Wameshatuona ni mazuzu, so wakirudi kwao wanaambizana wale 🙊 bado wamezubaa nendeni kama agents 😂
Unamkumbuka yule black Amerika alimwambia Mwakyembe anakuja kujenga tren ya juu Dar?? mpaka Mwakyembe akamuita "huyu baba"
😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😡
 
Mbona hamjatoa jibu Royal tour imegharimu kiasi gani! Limekuwa swali gumu hilo?
 
"to sample tourist attractions" sijui umeelewa?
Hao matapeli wanakuja kutalii bure.

Unamkumbuka yule black Amerika alimwambia Mwakyembe anakuja kujenga tren ya juu Dar?? mpaka Mwakyembe akamuita "huyu baba"
Tumekwisha... Eti "to sample tourist attractions""
Wapuuzi kabisa.
 
Wameshatuona ni mazuzu, so wakirudi kwao wanaambizana wale 🙊 bado wamezubaa nendeni kama agents 😂

😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😡
Hawa mimi nimewachukulia kama Explores...
Duh.. mabeberu noma.
 
Hahahaha hii comment imenifurahisha sana. Umemaliza kila kitu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mikataba ya wizi ndio inakuhemsha?
 
Mbona tourist agents wamekuwa wakija nchini toka kitambo!

End of this year nakuandalia tour visit to USA my dearest. Sio USA River ya Ara, bali the real maandishi matatu U.S.A.

Nasie tukawatalii hao watasha.

Miss you sisy.

-Kaveli-
 
Kwa akili yako unadhani makampuni makubwa ya utalii duniani hawajui kuwa Rais Samia ametoka kurekodi Royal Tour saivi?

Unafikiri Wazungu wao wanalalia fursa Kama mlivyo nyie washamba wa hapa bongo?

..royal tour itakaporushwa na baada ya msimu wa utalii ndipo tutakapoweza kujua mafanikio na changamoto zake.

..and trust me there will be more work to do, or thing to work on, in order to achieve the goals we are aiming for.

..tuache KUDANGANYANA kwamba Royal Tour ikisharushwa tu, basi kutakuwa na mafuriko ya watalii wanaokuja Tz.

..Ukweli ni kwamba sekta za utalii na usafiri wa anga ktk nchi zilizoendelea zimeathirika sana na mlipuko wa ugonjwa wa Corona.

..Mazingira hayo yanapunguza idadi ya watalii wanaotoka ktk nchi hizo kuja huku kwetu.

..Itachukua muda sekta hizo kutengemaa na kurudi ktk hali iliyokuwepo kabla ya ugonjwa wa corona.

..Ni vizuri kuwa OPTIMISTIC lakini tuwe na kiasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…