Mafanikio ya Royal Tour yaanza kuonekana kwa kasi ya kutisha, Hongera Rais Samia

Unajuaje Kama sikuwa na id nyingine?

Kwa taarifa yako nina id nyingine ya kuanzia 2011 niliyoacha kuitumia 2015!
Sawa Mkuu. Ila point yangu ilikuwa ni kwamba wakati hili jukwaa linaanza uchangiaji wa kisiasa haukuwa wa kishabiki kama sasa. Vilevie wakati wa BCS kabla ya Jambo Forums.

Siasa za vyama hapa zilianza around 2010. Kama ulikuwepo, you should know better.
 
Hii kitu tusiachie weupe tu ,tuanze pia sisi wenyewe kua na agent wa kuratibu utalii wa NDANI kila wilaya ,WATU wanapenda ila Sasa hatuna uratibu mzuri , katika Hili bado pia serikali itapata ,mapato ya kutosha, ni mipango tu,fikili KILA wilaya inakua na agent wa kuandaa tour,KILA wakati katika MOJA ya vivutio vyetu , KWa mwaka itakua serikali imeingiza kiasi gani? Mawazo tu
 
Kweli fedha fedheha yaani filamu ambayo bado hata haijaeditiwa ndio imeleta watalii? Jamani embu kueni basi hata na haya kidogo, mnasifiia hata mtu akikohoa kwa bahati mbaya mnasifia, kuweni na akili jamani hata kidogo tu
 
Unajua maana ya Tourism agent?
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Tuache uongo uongo. Tumejidanganya sana, imetosha. Hebu tufanye kazi kwa bidii. matokeo ya kazi yatajieleza. Watanzania sio wajinga tena. Hebu tufanye kazi tuache porojo
 
Nyie mbona mlisifia hata kupigwa risasi kwa tundu Lisu dodoma
Kwa wanaonijua humu watakwambia. Moja ya sababu zilizofanya nisimuunge Mkono Mwendazake ni hilo jambo unalosema hapo!
 
Mbona tourist agents wamekuwa wakija nchini toka kitambo!
Sawa maneno yako.
Lakini watalii hawaji wengi.

Sasa lengo kupandisha watalii kutoka 2.4 mil kwa mwaka kufikia 5mil.

Let us be positive na tuchangie kujenga nchi yetu
 
Miaka 60 je kuna vivutuo vipya?
 
Rwanda wanajitangaza kwa kuwa wame wekeza kwenye vivutuo vipya vya utalii
 
Kimanjaro, serengeti,manyara mbona zipo kitambo tu, njooni na ubunifu wa vivutuo vipya, add value vilivyopi, au leteni technologia mpya kuwatembeza watalii, ndo tujitangaze

huko cambodia wamebuni drone ya abiria, huku inawza tumika tembeza watalii
 
Kilaza huyu.
Makampuni ya utalii yamekuwa yakifanya kazi na agents walioko nchi mbali mbali, na hao agents wamekuwa wakija nchini mara kibao tokea zamaniiiii. Hakuna jipya hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…