Pre GE2025 Mafanikio ya SGR na Bwawa la Umeme ni aibu kwa Lissu na CHADEMA yote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huwezi fananisha jambo lililo hai na lisilo hai. Laiti na wao wangetekeleza Yale waliyohisi yalikuwa mbadala ndio ungeweza kulinganisha nani amepatia. Huwezi kusifia treni moja imebeba abiria 600 sawa na mabasi 10 wakati huohuo unaua daladala zenye uwezo wa kubeba abiria 30 Kwa bajaji 10 zinazobeba abiria 30 sawa na Costa moja.
 
Lisu atapinga vibaya sana
Kama akipinga sio malaika,nadhani Lissu na yule mshirika Zitto Kabwe walitaka reli ijengwe kwa kutumia raslimali zetu za ndani.Wao walitaka bila mihemko tutumia chuma cha Liganga na Mchuchuma ndio kijenge reli.Nia na madhumuni ni kujenga nchi sio kubomoa nchi.
Faida zake tunge import material kidogo sana,tukatumia pesa za kigeni kidogo.
Sasa mnalalamika eti hakuna forex exchange?Zitoke wapi na
Kwa mtaji upi?Au ndio elimu jinga ya kula kama malaya?
Mjomba Magu alidhani shida ni kulipa shida,kumbe fanya kwa uwezo wako.Ebu niambie unauza nje 30 lakini unanunua nje 100 una upungufu wa 70.Hii miradi mikubwa bila kuifanyia upembuzi yakinifu kabla ya kuitekeleza ni sumu ya mamba we gonna perish or collapse very soon.
 
Mpumbavu mmoja wewe jitu lishajifia huko kila mara unatupigia kelele hapa. Kalifufue
yale yale tuyasemayo, matusi, hutumiwa kama silaha na wale ambao 'their medulla oblongata is full of goat manure'
 
Leo tarehe 14/6/2024 treni ya umeme (SGR)imeanza rasmi safari zake za Dar - Moro ambapo abiria 600 wamesafirishwa ambao ni sawa na mabasi 10!, abiria hao wametumia masaa mawili tu kufika Morogoro hivyo kuokoa muda na foleni barabarani. Mwezi wa saba tarehe 25 treni hiyo itaanza rasmi kwenda Dodoma hivyo kuendelea kuokoa muda zaidi na kupunguza foleni njiani.

Ikumbukwe wakati Rais wa awamu ya 5, Hayati Magufuli akiweka jiwe la msingi kuanza ujenzi wa reli ya umeme na bwawa la mwl Nyerere alitukanwa na kukejeliwa na Tundu Lisu, John Heche, na Chadema kwa ujumla kwamba hiyo miradi itakuwa white elephant na haitafika popote zaidi ya kuharibu hela za wananchi tu. Tunashukuru moyo wa Magufuli aliokuwa nao wa kutokata tamaa na sasa watanzania tunaona faida yake baada ya miradi hiyo kukamilika.

Vipi kama Magufuli angesikiliza matusi ya Chadema na kuamua kuachana na hiyo miradi, Leo tungeona hizi faida za kuisha kwa mgao wa umeme na kupungua kwa foleni Nyerere road?
Ni aibu pia Kwa vijana wa mama Nape, Januari na Kinana
 
Hujajibu swali !

Plan ya kujenga bwawa la umeme ilikuwepo tangu 1970, na mradi ukafutiliwa mbali Lissu alikuwepo kwenye uongozi?

Plan ya ujenzi wa SGR kama ilivyo Ubungo interchange na DART hazikuanza enzi za Magufuli bali yeye amekuta ziko katika hatua ya mwisho za mwisho kuanza utekelezaji maana financiers walikuwepo tayari.
MAGU mpeni maua yake hata kama humpendi, mradi wa umeme haukuanza miaka ya1970 ulifikiriwa kabla ya uhuru angekuwa wa kawaida na yeye angeutia mfukoni kama hao wengine.mradi wa sgr hata kama angeutaka angefuata ushauri wa jirani lzm ingekuwa diesel kulingana na uchumi wetu kuwa chini kuliko wa jirani,makao makuu Dom ilianza 1973 lkn kilichofanyika ni ujenzi wa barabara ya pentagon na area c pumzi zikakata,
 
Leo tarehe 14/6/2024 treni ya umeme (SGR)imeanza rasmi safari zake za Dar - Moro ambapo abiria 600 wamesafirishwa ambao ni sawa na mabasi 10!, abiria hao wametumia masaa mawili tu kufika Morogoro hivyo kuokoa muda na foleni barabarani. Mwezi wa saba tarehe 25 treni hiyo itaanza rasmi kwenda Dodoma hivyo kuendelea kuokoa muda zaidi na kupunguza foleni njiani.

Ikumbukwe wakati Rais wa awamu ya 5, Hayati Magufuli akiweka jiwe la msingi kuanza ujenzi wa reli ya umeme na bwawa la mwl Nyerere alitukanwa na kukejeliwa na Tundu Lisu, John Heche, na Chadema kwa ujumla kwamba hiyo miradi itakuwa white elephant na haitafika popote zaidi ya kuharibu hela za wananchi tu. Tunashukuru moyo wa Magufuli aliokuwa nao wa kutokata tamaa na sasa watanzania tunaona faida yake baada ya miradi hiyo kukamilika.

Vipi kama Magufuli angesikiliza matusi ya Chadema na kuamua kuachana na hiyo miradi, Leo tungeona hizi faida za kuisha kwa mgao wa umeme na kupungua kwa foleni Nyerere road?

Chawa ! wenyewe walikuwa wanalaumu hakuna umeme na utafutiwe suluhu sasa umeme umeongezeka wewe unasema hawapendi mafanikia ambayo wenyewe ndiyo walikuwa wanayapigia kelele! Hivi siku hizi watu wa namna hii wanawezaji hata kuingia huku JF kwa ujinga jinga walio nao nashangaa
 
Leo tarehe 14/6/2024 treni ya umeme (SGR)imeanza rasmi safari zake za Dar - Moro ambapo abiria 600 wamesafirishwa ambao ni sawa na mabasi 10!, abiria hao wametumia masaa mawili tu kufika Morogoro hivyo kuokoa muda na foleni barabarani. Mwezi wa saba tarehe 25 treni hiyo itaanza rasmi kwenda Dodoma hivyo kuendelea kuokoa muda zaidi na kupunguza foleni njiani.

Ikumbukwe wakati Rais wa awamu ya 5, Hayati Magufuli akiweka jiwe la msingi kuanza ujenzi wa reli ya umeme na bwawa la mwl Nyerere alitukanwa na kukejeliwa na Tundu Lisu, John Heche, na Chadema kwa ujumla kwamba hiyo miradi itakuwa white elephant na haitafika popote zaidi ya kuharibu hela za wananchi tu. Tunashukuru moyo wa Magufuli aliokuwa nao wa kutokata tamaa na sasa watanzania tunaona faida yake baada ya miradi hiyo kukamilika.

Vipi kama Magufuli angesikiliza matusi ya Chadema na kuamua kuachana na hiyo miradi, Leo tungeona hizi faida za kuisha kwa mgao wa umeme na kupungua kwa foleni Nyerere road?
Mafanikio ni unapoangalia gharama ulizowekeza na kipato kinachopatikana, je una faida au hasara? Tueleze katika mtazamo huo, la sivyo nchi itakuwa inapoteza na kufanya ubadhirifu rasilmali kwa sababu za kisiasa!
 
Matege ya akili huwa yana madhara makubwa.
 
Leo tarehe 14/6/2024 treni ya umeme (SGR)imeanza rasmi safari zake za Dar - Moro ambapo abiria 600 wamesafirishwa ambao ni sawa na mabasi 10!, abiria hao wametumia masaa mawili tu kufika Morogoro hivyo kuokoa muda na foleni barabarani. Mwezi wa saba tarehe 25 treni hiyo itaanza rasmi kwenda Dodoma hivyo kuendelea kuokoa muda zaidi na kupunguza foleni njiani.

Ikumbukwe wakati Rais wa awamu ya 5, Hayati Magufuli akiweka jiwe la msingi kuanza ujenzi wa reli ya umeme na bwawa la mwl Nyerere alitukanwa na kukejeliwa na Tundu Lisu, John Heche, na Chadema kwa ujumla kwamba hiyo miradi itakuwa white elephant na haitafika popote zaidi ya kuharibu hela za wananchi tu. Tunashukuru moyo wa Magufuli aliokuwa nao wa kutokata tamaa na sasa watanzania tunaona faida yake baada ya miradi hiyo kukamilika.

Vipi kama Magufuli angesikiliza matusi ya Chadema na kuamua kuachana na hiyo miradi, Leo tungeona hizi faida za kuisha kwa mgao wa umeme na kupungua kwa foleni Nyerere road?
Wewe kila kitu ni Siasa, kuleta ati nani kafanya nini na kuwagawa WaTanzania, JPM alikuwa Rais na hayo aliyoyafanya ndiyo ilikuwa kazi tuliyompa; wala siwezi kubisha uwezo wake kikazi. Lisu alisema nini kuhusu kuhusu huu mradi ni wewe ambaye hujui siasa huna kazi ya kufanya unaanza kugawa watu. Unajua maana ya Upinzani? Ulitaka Lisu aanze kulamba viatu vya JPM? Grow up brother, I am (we are) tired of your kind!
 
Na rais wa sasa hivi umempa kazi gani?

Mbona Lisu analamba miguu ya mabeberu?
 
Back
Top Bottom