Mafanikio ya TARURA, Yaibeba TAMISEMI na Kumng'arisha Rais Samia, Speed Iliendelea Hivi, 2025 Hatahitaji Kupiga. Itakuwa ni "Anameremeta"

Kwamba anameremeta sio!!

Ni kweli Ndio maana kapitisha jina lako KWENYE ubunge au SIO!!

Tumsaidie ayangoze vema makundi yote,yasiwepo makundi yanayolalamika kumhusu!

Bado 2025 ni mbali Sana naziona sarakasi nyingi sana kabla ya kampeni!

Tuombe mzee Warioba amalizie uandishi wa kitabu chake!!

"Maendeleo ya mtanzania yataletwa na mtanzania na sio mgeni hata kama ni mzuri machoni Tumakinike"
 
Kumbe na wewe ni chawa kupe
 
P. Endelea kupopoma utajua haujui!!
 
Kumbe na wewe ni chawa kupe
Hujanisoma !Chama changu kitazaliwa BAADA ya katiba mpya kupatikana!hivi vilivyopo vimeshachakaa kabisa vinatuhuma Sana AMBAZO hawawezi jibu!!

Tuombe mungu katiba mpya ipatikane kwanza!ndio tufanye siasa za akili kuliko hizi chafu zilizopo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…