Mafanikio ya Trump kwenye vita baada ya Siku 20: Mafuta ya Russia na Iran yameondolewa vikwazo

Iran ya Ayatollah ilikuwa mfadhili mkuu wa makundi ya magaidi, kwakuwa hakufa ndugu yako unaona sawa

Iran alikuwa Dikteta akitawala miaka 40+ akitesa Wa Iran

Juzi kauwa maelfu ya Wa Iran kwenye maandamano, kwakuwa hakufa ndugu yako unaumia

Upande wa Maduro huyo Dikteta, akitesa mno raia wa Venezuela akafadhili makundi ya kihuni ya drug dealers, kwakuwa hakuna ndugu yako aliyeathirika na cocaine unaone Babu Trump amchekee mhuni wa hivo

laZima wahuni wakipate

Ya Iran yanakuumiza ila hapa Tanganyika vijana zaidi ya 10,000 waliuliwa na hukulalamika
Tanganyika mliuliwa kwa ujinga wenu wa kumsikiliza Kitii ma, na tunaenda kumpa KESI ya uhaini Keytima
 
Vita ni gharama hata Trump alikuwa hivyo
USA alilazimika kupiga Iran kutoa magaidi na wafadhili wao
Kulinda amani ya Dunia na maslahi yake mashariki ya kati
Kwani hao Iran hawapati hasara kiuchumi.
[/QUOT

Huo ugaidi WA Irani umeusoma kwenye vitabu gani, au umefanyiwa ugaidi upi na Iran, hebu tu inpe mifano sisi watanganyika tuelewe. Isije ikawa unalibeba jambo la watu wengine bila kujua
 
😅😃 Kamfufue gaidi Ayatollah
Kufa kwa viongozi wa Iran akujaleta pengo lolote la kitaifa! Iran inatoa kipondo mwanzo mwisho! Wameanza na Mungu watashinda vita kwa uwezo wa Mungu.... mashoga wote mashariki ya kati wataangamizwa hadi nyie mashoga wadogodogo wa manzese kwa mfuga mbwa.
 
Kweli kobazi hawezi kumiliki akili
 
Iran ya Ayatollah ilikuwa mfadhili mkuu wa makundi ya magaidi, kwakuwa hakufa ndugu yako unaona sawa

Iran alikuwa Dikteta akitawala miaka 40+ akitesa Wa Iran

Juzi kauwa maelfu ya Wa Iran kwenye maandamano, kwakuwa hakufa ndugu yako unaumia

Upande wa Maduro huyo Dikteta, akitesa mno raia wa Venezuela akafadhili makundi ya kihuni ya drug dealers, kwakuwa hakuna ndugu yako aliyeathirika na cocaine unaone Babu Trump amchekee mhuni wa hivo

laZima wahuni wakipate

Ya Iran yanakuumiza ila hapa Tanganyika vijana zaidi ya 10,000 waliuliwa na hukulalamika
Wewe rudi tu kwenye mautopolo ya yanga na simba huku unapelea mno, unaonekana hamnazo.

Marekani ndio perpetrator namba moja katika kuvuruga amani duniani. Yani wao wame fund vita vya Gaza kuuwa maelfu ya raia wa Palestina wasio na hatia. Hapo hapo serikali yao inatangza haina hela ya kujiendesha inashindwa kulipa hata mishahara lakini Netapussy akikohoa tu Trumpet anatoa mabilion ya USD ku fund vita.

Nchi moja kuivamia na kumteka rais wa soveresign state ni makosa ya kivita, lakini angalia Trump ameenda kumteka Maduro kisa Venezuela ina reserve kubwa ya mafuta.

Leo hii CUBA umeme hakuna nchi nzima kisa Trump kuzuia shehena za mafuta kuingia Cuba. Wagonjwa kwenye ventillators, watoto kwenye incubators wote wamekufa kwakukosekana umeme. Wanaosubiri upasuaji wanakufa na kuendelea kuteseka.

Hapo Iran US na shoga yake Israel wameanza kuwashambulia Iran huku wakikwa kwenye mazungumo kuhusu nuclear programme. Strait of Hormuz ndio mlango bahari pekee ambao meli zilikuwa hazitozwi fee yoyote kupita kama ambavyo inafanyika kwenye straits na canals nyingine kama cabot, suez, panama.

Lakini utakuta kuna watu kama nyie kwakuwa mnakuwa fed western propaganda na mainstream media hamna hata uwezo wa kuchambua mambo mnajikuta mnamsifia Trump kumbe ndio takataka kabisa duniani.

Trump ameshakuwa blackmailed na wayahudi na Epstein Files hana ujanja.
 
Iran anaunga mkono uhuru wa wapalestina, anaviunga mkono vikundi vinavyopigania uhuru WA palestina na ndilo kosa lake, Kwa Israel mtu yeyote anayetetea palestina ni adui ni gaidi , Historia inaonesha vyama vya kupigana uhuru viliitwa hiyvyo na wakoloni mfano Chama cha MWISHO kuondolewa kwenye ugaidi ni ANC cha Mandela,
Kwa hiyo unachopaswa kutambua jina gaidi lipo Kwa maslahi ya watawala Israel marekani na wenzao ,huwezi msikia mchina au mrusi akiwaita wengine Kwa majina hayo. Tafakari kw kina kati ya marekani Israel na Irani nani anawaua wenzake na napaswa kitwa gaidi. Wapelstina zaidi ya 70elfu wameuliwa na Israel
 
Wewe rudi tu kwenye mautopolo ya yanga na simba huku unapelea mno, unaonekana hamnazo.

Marekani ndio perpetrator namba moja katika kuvuruga amani duniani. Yani wao wame fund vita vya Gaza kuuwa maelfu ya raia wa Palestina wasio na hatia. Hapo hapo serikali yao inatangza haina hela ya kujiendesha inashindwa kulipa hata mishahara lakini Netapussy akikohoa tu Trumpet anatoa mabilion ya USD ku fund vita.

Nchi moja kuivamia na kumteka rais wa soveresign state ni makosa ya kivita, lakini angalia Trump ameenda kumteka Maduro kisa Venezuela ina reserve kubwa ya mafuta.

Leo hii CUBA umeme hakuna nchi nzima kisa Trump kuzuia shehena za mafuta kuingia Cuba. Wagonjwa kwenye ventillators, watoto kwenye incubators wote wamekufa kwakukosekana umeme. Wanaosubiri upasuaji wanakufa na kuendelea kuteseka.

Hapo Iran US na shoga yake Israel wameanza kuwashambulia Iran huku wakikwa kwenye mazungumo kuhusu nuclear programme. Strait of Hormuz ndio mlango bahari pekee ambao meli zilikuwa hazitozwi fee yoyote kupita kama ambavyo inafanyika kwenye straits na canals nyingine kama cabot, suez, panama.

Lakini utakuta kuna watu kama nyie kwakuwa mnakuwa fed western propaganda na mainstream media hamna hata uwezo wa kuchambua mambo mnajikuta mnamsifia Trump kumbe ndio takataka kabisa duniani.

Trump ameshakuwa blackmailed na wayahudi na Epstein Files hana ujanja.
Nataka unambie gaidi na mfadhili wa magaidi wewe ungekuwa Trump ungemfanyaje?

Ungekuwa Trump Dikteta na drug dealer kama Maduro ungemfanyaje?

USA na Trump wana nguvu acha waondoe vilaza wenye viburi na wauaji
 
Magaidi ni Trump na Netanyahu wanaovamia nchi za watu hovyo. Wewe kama gaidi yupo Iran acha Iran wa deal nae. Kwanini Samia hapeleki jeshi kuattack Iran?

Why Trump? Why Netapussy?
 
Trump:nitapiga miundo mbinu ya Iran
Mandezi wa god of Israel TZ:Israel taifa Teule,Iran lazima ipigwe andiko Litimie
Trump:sitopiga miundombinu yao italked with Iran
Iran:hatujaongea na Trump
Mandezi wa god of Israel TZ:Israel ikiamua inaweza piga popote Iran,🐒🐒🐒😆😫😅😃🤣
 
Nataka unambie gaidi na mfadhili wa magaidi wewe ungekuwa Trump ungemfanyaje?

Ungekuwa Trump Dikteta na drug dealer kama Maduro ungemfanyaje?

USA na Trump wana nguvu acha waondoe vilaza wenye viburi na wauaji

Kwa hiyo, unapoingia kwao Libya, Somalia, Iraq, Afghanistan, Syria, Iran, Venezulea kuiba resources na kuvunja serikali zao, unakuta wakiwa na resistance, unawaita magaidi.
Unawa-oppress, kama una-control kwa nguvu, na wanapojitahidi kupinga, unawaweka kwenye kundi la magaidi!

Kama unavyojua, Mandela, Castro, Che Guevara, Samora Machel, wote walikuwa wanapigania uhuru, lakini walikuwa wanaitwa magaidi kwenye wakati wao.
Leo hii, wanaitwa heroes, lakini wakati wao walikuwa enemies of the state. That’s funny, right?
Kwa sababu standards zinabadilika.

Tanzania pia ilikuwa kwenye hiyo situation. In the current context, ukisema Tanzania ilisaidia uhuru, inamaanisha walikuwa na camps za wanaharakati kutoka nchi kama Mozambique, Zimbabwe, Namibia, South Africa. But today, those same camps would be considered terrorism camps based on current standards.
Museveni alizindua vita za msituni pia kutoka Tanzania.

Now, fikiria pia hata yule mungu , the one who was crucified by the Romans, if He were to come back today to Bethlehem or Nazareth, His birthplace, don’t you think wayahudi would still call Him a terrorist or a traitor? Or wouldn’t they beat him again like they did before? It’s crazy how history judges people based on context. He would probably be seen as a terrorist au mhaini kama alivyoshtakiwa mwanzoni, au siyo?

Now, let’s keep it real, kuna taifa lililoshambulia taifa lingine zaidi kuliko Marekani au Israeli katika miaka ya hivi karibuni ?
Their military footprint is everywhere.
So, who’s the real “terrorist” here?
Who’s the one causing all this mayhem, destruction and bloodshed?

Who is the real terrorist?
 
Basi acha na hao kobazi Trump awashike Kalio na kuwauwa kama nyumbu
Kumbe ulikua unatoa maelezo yako hapa kwa chuki ya udini?
Ndio maana ulikua unaandika vitu ambavyo hata mtoto wa darasa la pili tu hawezi kukubaliana navyo.
 
Hamna udini
Me nachukia viongozi wanauwa wananchi wao kama Ayatollah.
 
Back
Top Bottom