Mafao na haki za Marais wastaafu wa Marekani ni balaa, wa kwetu hapa cha mtoto

Mafao na haki za Marais wastaafu wa Marekani ni balaa, wa kwetu hapa cha mtoto

Benefits zao ni ndogo sana ukiilinganisha na uchumi wa Marekani. Yani rais mstaafu anapokea wastani wa $1M kwa mwaka sawa na bilioni 2.3 za kibongo, hiyo hela ndogo kwa nchi inayotuzidi bajeti around mara 1000
Hela ndogo kwako kwa mtizamo wako, Ni WaMarekani wangapi hawana ata Saving ya $ 100K kwa akaunti zao??

Alot of Americans Leave under $100K per year😊😊😊😊
 
Hela ndogo kwako kwa mtizamo wako, Ni WaMarekani wangapi hawana ata Saving ya $ 100K kwa akaunti zao??

Alot of Americans Leave under $100K per year[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Haya mawazo hayako kwenye sera za Marekani. Wao hawalipi salary na benefits kwa kuzingatia Palamagamba au Mashilingi aliyeamia US na kukosa ajira sasa analala mtaroni.

Ile nchi ni capitalist, ukifanya kazi unalipwa na usipofanya kazi kabisa subiri kupewa food ratio na state government kisha malazi, no other benefits. Wewe unaleta sera za Soviet Union waliokuwa wanamlipa test pilot wa air fighter hela sawa na mwalimu wa kuandika wa US. Kilichotokea ndio hiki kina Sikorsky walihamia US.

Kwahiyo kwa vile Watanzania wengine hawana hata pa kulala basi tusiwanunulie mawaziri magari?
 
Ni hela ndogo kulingana na nafasi zao huko ila kwetu ni kubwa ,

Pensheni ya milioni 500 kwa mwaka si haba.

Gharama za ofisi.

Milioni 200 kwa ajili ya mishahara ya wafanyakazi wake.

Ulinzi.

Hata akifulia kwenye issue nyingine bado anaweza maintain status yake angalau.
 
Back
Top Bottom