Hela ndogo kwako kwa mtizamo wako, Ni WaMarekani wangapi hawana ata Saving ya $ 100K kwa akaunti zao??Benefits zao ni ndogo sana ukiilinganisha na uchumi wa Marekani. Yani rais mstaafu anapokea wastani wa $1M kwa mwaka sawa na bilioni 2.3 za kibongo, hiyo hela ndogo kwa nchi inayotuzidi bajeti around mara 1000
Haya mawazo hayako kwenye sera za Marekani. Wao hawalipi salary na benefits kwa kuzingatia Palamagamba au Mashilingi aliyeamia US na kukosa ajira sasa analala mtaroni.Hela ndogo kwako kwa mtizamo wako, Ni WaMarekani wangapi hawana ata Saving ya $ 100K kwa akaunti zao??
Alot of Americans Leave under $100K per year[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Hahahahah hawa vijana hawa. Ati haimsaidii Tanzania kweli?Kweli Hujajifunza kitu kipya kabisa.?