Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Huyo wa Msoga achana naye.Huyo Mama Salma Kikwete angetuhurumia kidogo.
Huyo anakula hizo "kufuru zote" hapo juu, bado anaongezea posho za bungeni, mshahara wa ubunge, na kiinua mgongo kinachofikia milioni 200 baada ya miaka mitano ya ubunge wake kwisha.
Huyu kama akijua mbinu za uwekezaji anaweza kuitwa bilionea siku sio nyingi, lakini kama ndio zile akili zetu za ngomani, anaweza akawa ndio kwanza anawaza 2025 atarudi vipi bungeni aendelee kutukamua wajinga.